Magufuli ndiye aliyejenga Ikulu ya Chamwino, acheni janja janja

Magufuli 05

JF-Expert Member
May 7, 2023
943
1,988
Watanzania,
Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO.

Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote, chuma kikaamua na leo imetimia rasmi,
Jiwe la msingi la UJENZI ameweka Magufuli, kwanini asitajwe?

Shauri yenu atawatokea humo na mtakimbia. Hata msipomtaja tutamtaja kwenye platform zingine. Aibu yenu wote mnaofanya uhujumu huu.😭 Hivi mama Janeth wamekualika kweli?
 
Watanzania,
Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO,
Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC,
Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote,chuma kikaamua na leo imetimia rasmi,
Jiwe la msingi la UJENZI ameweka Magufuli,,kwanini asitajwe,,shauri yenu atawatokea humo na mtakimbia.
Hata msipomtaja tutamtaja kwenye platform zingine.
Aibu yenu wote mnaofanya uhujumu huu.
Hivi mama Janet wamekualika kweli????
Sukuma Gang wacheni kubweka bweka kama mbwakoko,Ikulu imejengwa kwa kodi zetu.
 
Watanzania,
Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO,
Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC,
Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote,chuma kikaamua na leo imetimia rasmi,
Jiwe la msingi la UJENZI ameweka Magufuli,,kwanini asitajwe,,shauri yenu atawatokea humo na mtakimbia.
Hata msipomtaja tutamtaja kwenye platform zingine.
Aibu yenu wote mnaofanya uhujumu huu.
Hivi mama Janet wamekualika kweli????
Magufuli ni kama maji hata wasipomsema watamsikia Tu kama hapa.
 
Watanzania,
Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO,
Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC,
Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote,chuma kikaamua na leo imetimia rasmi,
Jiwe la msingi la UJENZI ameweka Magufuli,,kwanini asitajwe,,shauri yenu atawatokea humo na mtakimbia.
Hata msipomtaja tutamtaja kwenye platform zingine.
Aibu yenu wote mnaofanya uhujumu huu.
Hivi mama Janet wamekualika kweli????
Kwani nyie Sukuma Gang mshachoka kumtajataja mpk mtulazimishe na sie?
Mtajeni sana tu mpendavyo
 
Back
Top Bottom