matembezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    Rais Samia kuongoza Matembezi Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili na Udhalilishaji wa Kijinsia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuongoza matembezi ya hiyari, ikiwa ni hatua ya kuunga mkono maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili na udhalilishaji wa kijinsia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na taasisi ya Asma Mwinyi Foundation, ambayo ndiyo...
  2. Teknocrat

    Matembezi ya Jioni: Buza kwa Mpalange

    Habari za Jioni wa JF.... Nimekuwa nikifatilia tetesi kadhaa kuhusu maeneo ya Jiji la Dar es Salaama yanayojulikana kama Buza kwa Mpalange. Hii ilinipa shauku ya kwenda na kutembelea haya makaazi.... kuwa ni maeneo yaliyosahaulika kimaendeleo na kusababisha maoni tofauti kwa kila wananchi ...
  3. J

    Matembezi ya kuimarisha Muungano, kuhamasisha utalii wa ndani na kupinga viashiria vya kuwagawa viongozi wa kitaifa

    MATEMBEZI YA KUIMARISHA MUUNGANO, KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KUPINGA VIASHIRIA VYA KUWAGAWA VIONGOZI WA KITAIFA Kundi La JAMII MPYA TANZANIA likujumuisha wanachama wake zaidi ya 300 kutoka mikoa ya Tanzania Bara lafanya MATEMBEZI YA AMANI yenye jina la JAMII MPYA MUUNGANO TOUR kutoka...
  4. Ojuolegbha

    Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto

    Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi ataongoza Matembezi ya Kupinga Vitendo vya Udhalilishaji kwa Watoto. 12:00 Asubuhi. 19 Februari, 2023. [emoji625]Uwanja wa Hamburu Nungwi Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
  5. JanguKamaJangu

    Utafiti: Mazoezi ya matembezi nje ya nyumba yana faida kuliko ya ndani

    Watafiti wa Vyuo Vikuu vya Victoria na York vya Canada wamebaini kuwa mazoezi hayo yanafaida kubwa katika Afya ya Akili kuliko kufanya mazoezi ya aina hiyohiyo ya ndani. Aidha, utafiti huo umebaini kuwa mazoezi hayo pia yana faida kifiziki ambapo waliohusika katika sehemu ya utafiti huo ambao...
  6. Jabali la Siasa

    Rais Samia mgeni rasmi hitimisho la matembezi ya UVCCM kitaifa Paje, Zanzibar kusheherekea kumbukumbu za miaka 59 ya Mapinduzi

    Wazalendo amani iwe kwenu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufungaji wa Matembezi ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kuadhimisha Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Hafla itakayofanyika tarehe 10, PAJE - KUSINI...
Back
Top Bottom