George Boniface Taguluvala Simbachawene (born 5 July 1968) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kibakwe constituency since 2005.He held the post of the Minister of State in the President’s Office responsible for Regional Administration, Local Government, Civil Service and Good Governance from November 2015 to September 2017. He resigned from his post on September 7 2017 after his name was implicated in the Minerals report from his time in the Ministry of Energy and Minerals.On 21 July 2019, he is assigned as the Minister of State in the Vice President's Office.
ASKOFU AJIBU HOJA ZA SIMBACHAWENE JUU YA DKT. NCHIMBI NA KATIBA MPYA!
Ndugu Watanzania!
Mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma na aliyekuwa Waziri Mwandamizi katika serikali ya Samia na Serikali ya Magufuli, Mhe. George Simbachawene kasikika akisema kuwa katiba ya Tanzania iko imara na haina...
Unatetea katiba mbovu ambayo hata kipofu na kiziwi wanaweza kui palpate na kugundua makosa /mapungufu iliyonayo. Best katiba kama za marekeni mnazisfia, mnasahau kuwa ziliundwa/ziliandikwa na watu waliojitoa mhanga kama Lisu.
Mjue likitokea la kutokea muungano ukavunjika, your beloved ones will...
Imeelezwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi aliyepita, George Simbachawene, hausiki na wala hana akaunti yoyote katika Mtandao wa kijamii wa X (Twitter), hivyo Umma unapaswa kupuuza akaunti hiyo.
Wananchi na Umma kwa ujumla umetakiwa kupuuza maoni au taarifa zozote zile zinazochapishwa...
Habari za muda mrefu wa ukimya brother. Heri ya mapumziko ya sikukuu ya Maulid kitaifa.
Nimejiskia tu leo nikusabahi hadharani kaka. Nashukuru binafsi nasonga mbele vema.
Nakutakia majukumu mema brother ya kuwatumikia wananchi na waTanzania wote.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kwa tetesi zilizopo nasikia Simbachawene ameambiwa apashe misuli moto kuna namba uwanjani inapwaya vibaya mno... kikwazo ni kwamba hakuna kocha mwenye mamlaka wa kumtoa huyo mchezaji mchezoni labda wamuuwe
Mwigulu na Katambi na wengine wote wa rank za juu ni makatiri. Ndiyo sifa ya sasa kuwa Waziri, PM and the like.
Simbachawene alianza vizuri. Wakaona huyu siyo katiri wakamtoa
Simbachawane huyu mzee huwa sio chawa nakumbuka akiwa waziri wa nishati 2015 ndo alitoka na kuwambia Tanesco wasizime umeme kwenye mikutano ya upinzani ni mzee mwenye misimamo mikali sana na mzee mwenye busara sana.
Kutoka na Istoria ya simbachwane...
Simbachawene ameonekana kuwa mkubwa kuliko samia mwenye ushawishi ndio maana wahuni wamemtoa asisikike.
Nchi upumbavu mwingi sana hii tusitarajia mabadadiliko yoyote tena bali ni upumbavu tu
Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani?
Hukuona mwaka jana mapolisi wanasimama na kusema Padre fulani hakutekwa bali alikuwa kwa mpenzi wake? Hukuona wakisema kuwa Padre fulani hakutekwa bali...
Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko.
Mchizi ni kama ana spiriti ya Magufuli hasa katika utendaji kazi, ukisikiliza hotuba zake ndipo utagundua mwamba ni anajua...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini ili kuweza kuboresha mazingira ya kazi pamoja na kuwaongezea ujuzi na utaalamu ili kuendana na mazingira ya sasa ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi, ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini, ili kuboresha mazingira ya kazi pamoja na kuwaongezea ujuzi na utaalamu ili kuendana na mazingira ya sasa ya kiuhalifu...
Huu ujinga uliofanywa na wapumbavu wasiojielewa na matahira waliojiita wakatoliki nitashangaa sana kama utaachwa hivi hivi.
Wanaoweza kufanya upumbavu kama huo ni watu matahira wasiojua wanachofanya. Sisi kama taifa tumefika mbali kwenye hatua za kutekwa na upumbavu. Kama nchi yapo mambo mengi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema serikali itaendelea kuthamini sauti za viongozi wa kiroho na kidini kama washirika muhimu katika ujenzi wa taifa lenye kuthamini haki na amani na usalama katika nchi huku akiwataka watanzania wawe wavumilivu na serikali iko tayari...
Juzi tu Baada ya kuapishwa Mh Simbachawene alijitokeza hadharani akiwaelekeza Polisi namna nzuri ya kukamata Watuhumiwa, akapinga ukamataji wa kishamba kwa kutumia mabunduki mengi na magari ya kificho huku wakamataji wakivaa kininja
Leo yametokea huko Kidia Old Moshi AMBAKO bila wananchi...
Serikali imeanza mpango wa kuunganisha kitambulisho cha Taifa na Huduma nyingine za kiserikali ikiwemo Bima ya Afya,Leseni ya udereva na Masuala ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ili kuepusha utitiri wa vitambulisho pale mwananchi anapohitaji huduma mbalimbali.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
Mtu yeyote anayesahau alikotoka anayohatari ya kurudia makosa yake. Leo tuwaangazie mawaziri wetu wa mambo ya ndani katika awamu ya sita kujua tulipotoka, tulipo na kama tuna la kujifunza huko mbeleni tuendako.
Nimetafakari namna hawa mawaziri wawili, moja kijana, moja mkongwe, kijana akiwa...
Ukitulia vizuri ukachambua mambo ya siasa na wanasiasa kwa jicho la tatu, utagundua Tanzania ina uhaba wa wanasiasa wenye utulivu.
Lakini kila nikimuona Simbachawene naiona future iliyo bora kabisa kwa ustawi wa nchi yetu.
Namsihi aendelee hivyo hivyo, unaweza kuwa mtulivu na mwenye hekima na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.