Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Chamwino Dodoma leo Novemba 20

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2023.

404555546_18216035746258462_1310070970231533067_n.jpg
 
Wakitoka hapo wanaenda kusaini posho wanatia m^takoni haoo wengine kwa madanga yao wengine kwa wake zao huku sisi tunapata adha kubwa mitaani.

Naishi Mbezi Makabe msimu huu wa mvua barabara zimekatika na zimeharibika vibaya mno hivyo kuna hujuma kubwa inafanywa na manispaa na tanrod wanaingiza magreda huku mvua zinanyesha yaani unashangaa wanachonga barabara huku maji yanatiririsha udongo then wametoa tenda ya kununua kifusi kinamwagwa kule walikoharibu wenyewe na msimu wa mvua haujaisha,kuna mbunge,kuna diwani kuna hao wanaoitwa mawaziri sijui naibu kuna makatibu wizara ya ujenzi sijui rais personally sijawahi kuuona umuhimu wao wote ni giza tu.
 
Back
Top Bottom