Uzinduzi wa ikulu mpya Chamwino umefanyika leo ambapo viongozi mbalimbali wamehudhuria.
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Freeman Mbowe hakuhudhuria. Wakati uzinduzi unaendelea Mbowe na viongozi wengine wa Chadema wameendelea na operation +255 huko Kasulu mkoani Kigoma.
Hongera Mbowe na Chadema kwa kuonesha kuwa mnawajali wananchi zaidi kwa kuwapa elimu ya uraia na katiba mpya. Kwa juhudi zako ni matumaini yetu siku moja Chamwino patakuwa makazi yako.