ikulu dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RWANDES

    Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?

    Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
  2. Baraka Mina

    Ikulu, Dodoma: Humphrey Polepole na Waziri Kindamba waapishwa

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo: WAZIRI KINDAMBA WAZIRI...
  3. Jidu La Mabambasi

    Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

    Kati ya viongozi wa Uingereza waliowahi kunikatisha tamaa ni Tony Blair. Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kati ya mwaka 1997 mpaka 2007. Wakati akipata Uwaziri Mkuu, ndiye alikuwa kiongozi kijana kuliko wote kwa miaka 185 ya historia ya Uingereza, na alikuwa na miaka 44 tu. Na alikuwa...
  4. Replica

    Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  5. Countrywide

    Rais Samia Suluhu akutana na Makamu wa Rais Philip Mpango Ikulu ya Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021. -- Mama Samia hakika ni alama ya uongozi uliotukuka, anajua kupanga, anajua...
  6. K

    Vijana tumesahaulika

    Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya. Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa...
  7. J

    Rais Magufuli akutana na Rais Zanzibar, mzee Mangula na Dr Bashiru Ikulu Dodoma

    Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amekutana na Rais wa Zanzibar Dr Shein ambaye pia ni makamu wa mwenyekiti CCM huko visiwani. Katika kikao hicho alikuwepo pia mzee Mangula na Dr Bashiru Ally. Baada ya kikao hicho Rais Shein alienda kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa...
  8. Lovren10

    Uibaji wa Pesa mfuko wa PSSSF

    Nimekua nikifatilia mafao yangu pale mfuko wa PSSSF. Kuna michango ambayo kwenye statement haionekani na mwajiri alifanya process zote za kutuma na kuweka. Sasa changamoto inakuja ukienda PSSSF na ukiuliza mbona michango mingine haipo? Majibu toka PSSSF '' Hii michango mingine kuanzia February...
  9. utaifakwanza

    DODOMA: Rais Magufuli azindua ofisi ya Rais (Ikulu) Chamwino na mji wa Serikali eneo la Mtumba

    Rais wa Nchi Dr. JOHN MAGUFULI leo hii tarehe 13 Aprili anazindua rasmi ofisi za Rais Ikulu Makao Makuu Chamwino Dodoma. Pia Rais Magufuli anazindua mji mpya wa Serikali eneo la Mtumba. Hii ni kuashiria kuwa ni rasmi sasa Rais anahamia Dodoma, makao makuu ya nchi. Matukio haya yanashuhudiwa...
Back
Top Bottom