asasi za kiraia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Wiki ya asasi za kiraia yazinduliwa Dar es Salaam

    Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndungulile amezitaka asasi za kiraia kuwa vinara wa kutoa mtazamo mbadala kuhusu miswada inayowasilishwa ili kuwasaidia wabunge kufanya maamuzi sahihi. Ndugulile amesema kazi hiyo kufanywa katika hatua za awali kabla ya muswada kuwa kwenye hatua za mwisho...
  2. MSONGA The Consultant

    Mkakati wa Kuongeza Vyanzo vya Fedha kwa Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Asasi za Kiraia (AZAKI) katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, zinategemea ufadhili wa ndani na nje ili kutekeleza miradi na mipango. Vipaumbele vya wafadhili vimekuwa vikibadilika mara kawa mara, hali iliyopelekea upungufu wa ufadhili kwenye baadhi ya sekta. Ushindani miongoni mwa...
  3. Paul Isaac

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala bora: Mabadiliko yanayohitajika Tanzania

    Utangulizi Uwajibikaji na utawala bora ni masuala muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika Tanzania. Kwa muda mrefu, nchi yetu imekabiliwa na changamoto katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ufisadi, ukosefu wa uwazi, na udhaifu katika utekelezaji wa sheria...
  4. The Sheriff

    Kuna Umuhimu wa Serikali na Asasi za Kiraia kuongeza Ufahamu na Uelewa wa Wananchi kuhusu Sheria zinazohusu Usalama wa Kidigitali

    Sheria za usalama wa kidigitali zinahusiana moja kwa moja na ulinzi wa haki za binadamu, kama vile haki ya faragha, uhuru wa kujieleza, na haki ya usalama binafsi. Kujua sheria hizi kunaweza kusaidia kuzuia ukiukwaji wa haki hizo na kushughulikia ukiukwaji wowote ambao unaweza kutokea. Kwa...
  5. Roving Journalist

    THRDC, EAHRI na DPI watoa Mafunzo kuhusu Utakatishaji Fedha na Njia zinazotumika Kufadhili Ugaidi kupitia Asasi za Kiraia

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
  6. Getrude Mollel

    Serikali ya Rais Samia Suluhu yaahidi kuimarisha uhusiano wake na Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Ni siku 565 tangu Rais Samia Suluhu aingie madaraki, na Serikali yake imekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano wake na asasi za kiraia nchini katika kutambua mchango wa asasi hizo katika ujenzi wa Taifa. Kupitia Mwenyekiti wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali, Mwantumu Mahiza...
  7. J

    Umuhimu wa Taarifa: Nini Nafasi ya Watunga Sera, Mahakama na Asasi za Kiraia?

    NAFASI YA WATUNGA SERA: 1) Kujenga uelewa kwa Umma juu ya Haki ya Faragha na Ulinzi Wa Taarifa 2) Kushirikiana kwa karibu na Wadau wengine kuhusu Masuala ya Kulinda Taarifa 3) Kutengeneza Mifumo ya Kulinda Taarifa kulingana na Sheria na Viwango vya Kimataifa vya Haki Za Binadamu ASASI ZA...
  8. beth

    Mbunge Neema Lugangira: Sheria ya Ulinzi wa Data iharakishwe

    Mbunge Neema Lugangira amesema mchakato wa Anuani za Makazi unaleta changamoto kubwa ya Usalama wa Taarifa Binafsi za Watu, akitoa wito wa kuharakishwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Amesema, "Natambua zipo Asasi za Kiraia ambazo zimeshaanza Mchakato huu, mfano ni Jamii Forums na...
  9. G-Mdadisi

    Asasi za Kiraia: Kukosekana kwa Mifumo Imara chanzo Wanawake kukosa haki za Uongozi Zanzibar

    ZANZIBAR IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa mifumo imara inayotoa fursa sawa za upatikanaji wa haki za msingi kwa wanawake na wanaume katika jamii nyingi nchini ndio chanzo cha wanawake wengi kukosa uwezo wa kusimama kudai haki zao na kushiriki kikamilifu katika ngazi mbalimbali za maamuzi. Hayo...
  10. Mromboo

    Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Aziomba hela za NGO's kutoka USAID

    Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao...
  11. Suley2019

    Spika Dkt. Tulia awatahadharisha Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge kutoshawishiwa na asasi za kiraia

    Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson amewataka wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge kuwa makini kuepuka kuingizwa kwenye mitego ya kudanganywa na asasi za kiraia zinapotaka ushawishi wa chombo hicho kupitisha ajenda fulani kwa utashi na maslahi yao. “Bunge huwa ni chombo ha ushawishi...
  12. Sifael Mpollo

    Ujana ni kama Moshi, ukitoka haurudi; Maendeleo ya taifa letu yanahitaji watu na watu wenyewe ni vijana

    Na. Sifael Essau Mpollo. Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
  13. beth

    Dodoma: Waziri Mkuu awataka vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa rai kwa Vijana kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo kupitia sekta mbalimbali zikiwemo Kilimo, Maliasili, Utalii, Ujenzi, Uchukuzi, Mawasiliano, Nishati, Madini, Viwanda na Biashara. Amesema hayo leo akiwa katika Kongamano la Tano la Taifa la Uwezeshaji...
  14. beth

    Ununuzi wa ndege mpya ya Rais wa Senegal wazua gumzo

    Ununuzi wa Ndege ya Rais umeibua mjadala Nchini humo ambapo Wanachama wa Asasi za Kiraia na Upinzani wametaka kuwepo uwajibikaji katika ununuzi wa Ndege hiyo aina ya Airbus A320 Neo itakayowasili Julai. Msemaji wa Serikali, Oumar Guèye amesema Ndege iliyopo imekuwa ya kizamani huku gharama za...
Back
Top Bottom