Kero yangu ni hii Ofisi ya Utumishi, nimewasilisha ombi la uhamisho zaidi ya miezi sita sasa likapita ngazi zote ndani ya mwezi mmoja, hii ni ngazi ya mwisho kabisa ya maamuzi lakini miezi kama mitano wako kimya, hawajibu chochote umepata umekosa au kuna kasoro yoyote.
Je, hii mifumo imekuja...
Anonymous
Thread
jibu
kidigitali
maana
maombi
miezi
mifumo
ofisi
uhamisho
utumishi
Ni, Ubia wa PPP wa Dola Milioni 116: Vituo vya Ukaguzi wa Vyombo vya Moto Kujengwa Mikoa 26
===
Dar es Salaam – Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia mitaji binafsi kupitia ubia wa sekta ya umma na sekta binafsi (PPP), baada ya kusainiwa mkataba wa thamani ya Dola za Marekani milioni 116...
Katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2026, Wadau wa Sekta ya Habari wamekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya tasnia hiyo, hususan katika kukabiliana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia.
Akizingumza leo Aprili 29, 2026, Mwenyekiti wa Mkutano...
Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
Kitendo cha Dar es Salaam stock exchange (DSE), kuondoa option ya wawekezaji kuammend order ya kununua au kuuza wenyewe kwenye MTP na badala yake kuwalazimisha kuwasiliana na broker inaongeza urasimu na haina mantiki yoyote kwenye digitalization.
Wajitahidi kuongeza urahisi wa wawekezaji...
Ukienda Polisi kutoa Taarifa hukuti Afisa wa Polisi kwenye meza ya mapokezi, hukuti makaratasi bali unakuta vifaa vya kidigitali pekee. Ni vituo janja vya polisi ambapo mtu anaweza kutoa taarifa yeye mwenye moja moja kwa kuweka taarifa hiyo kwenye vifaa janja na Polisi kupokea taarifa na kujibu...
1)Utambulisho wako..hutakuwa na haja ya kutembea na KADI wala KITAMBUKISHO(kadi ya benki,kitambukisho,kadi ya bima,kadi yoyote..n.k
2)VYETI na HATI..certificates...vyeti vya elimu,hati za umiliki,hati ya utambulisho wa umiliki,leseni za biashara n.k
3)PESA ZA MAKARATASI..zitaondolewa..itaanza...
Kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakichangishana fedha na kukopeshana kwa mfumo unaoitwa benii za vijijiji (VICOBA).
Kupitia mfumo huo, wanachama waliokubaliana huchanga fedha na lkuziweka kwenye sanduku linalokaa kwa mjumbe mmoja kati yao aliyeteuliwa kukaa na funguo.
Kisha wameweka utaratibu...
Tumia nyenzo za kidigitali kubainisha eneo halisi ilipopigwa picha hii amba mdau aliuliza "hii ni sehemu gani bongo?" Je, umetumia nyenzo gani kujua eneo halisi?
Habari wakuu,
Najua fika kuwa ni watu wachache sana wenye uwezo wa kiufundi kama huu wangu wa kuunda na kuikamilisha mifumo inayoweza kuhudumia mamilioni ya jamii,
ninacho jivunia siyo utajiri wala umaarufu, bali ni ule uwezo wa kuingia kwenye mradi na kutengeneza na kukamilisha kitu chenye...
Unatafuta mfumo bora wa kidigitali wa kusimamia shule yako?
AcademiazSoft ni jibu sahihi kwa shule za kisasa zinazotaka uwazi, ufanisi na taarifa sahihi kwa wakati.
Tunatoa:
✅ Usimamizi wa wanafunzi (registration, attendance, discipline)
✅ Taarifa za kitaaluma – Matokeo, Report Cards...
Chama cha Demokrasia na Mendeleo kimeandaa Baraza la Kidigitali ambalo leo Agosti 27, 2025 kwa lengo la kujadili mustakabali wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Fuatilia...
https://www.youtube.com/watch?v=X6MuQ8tB36M
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Baraza la Kidigitali linalotarajiwa kuketi saa 4:30 asubuhi Agosti 27, 2025.
Taarifa iliyotolewa na CHADEMA leo Agosti 25 imeeleza:
Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Bw. Said Idd (katikati) akielezea kuhusu huduma za Yas na Mixx kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule (kulia) katika maonyesho ya NaneNane yanayoendelea jijini Dodoma. Ziara ya Mkuu wa Mkoa ilifanyika jana jijini humo. Kushoto ni Meneja wa Mixx by Yas...
Wafugaji wengi hupoteza muda, fedha, na kuku kwa sababu hawana mfumo bora wa kusimamia miradi yao. Ndiyo maana tulitengeneza Fuga App , msaidizi wako wa kidigitali kwenye kilimo cha kuku!
✅ Rekodi gharama zote za mradi
✅ Pata ratiba sahihi ya kulisha kulingana na umri wa kuku
✅ Kumbushwa siku...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya ccm, mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa kidigitali, umefanyika kwa kwa mafanikio makubwa, kwa maelewano na utulivu wa kiwango cha juu sana miongoni mwa wajumbe wa mkutano huo, tena kwa gharama kidogo na muda mfupi sana.
Teknolojia imetumiwa ipasavyo na ccm...
Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets).
Maelezo ya Wazo:
Katika siku maalum kama vile Yanga...
Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! 🔥
Habari mfanyabiashara!
Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha bila wewe kujua?
Usijali tena, Bizi: Rekodi Mauzo iko hapa kukuondolea changamoto hizo zote.
📱 Bizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.