Wanaharakati wa Katiba na Haki za Binadamu wamekosoa kauli ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro juu ya kutoa elimu ya Katiba kwa kipindi cha miaka mitatu, wakidai mpango huo unalenga kuchelewesha mchakato na upotezaji wa fedha za umma.
Tamko hilo limetolewa na Kituo cha Sheria na...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema.
Pamoja na serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu kupongezwa na wadau mbali mbali wa haki za binadamu katika maeneo mengi ikiwemo kutoa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni uhuru, sakata la...
=================
===================
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Mamlaka ya Udhibiti, Usafiri Ardhini (Latra) wamelaani vikali kitendo cha waandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na dereva kushambuliwa wakati wanatekeleza...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC) umesema hali ya Uhuru wa Kujieleza nchini imebadilika na kuongezeka kwa Uhuru tofauti na miaka 6 ya utalawa wa Hayati Rais Magufuli. Lakini pamoja kuwepo kwa Uhuru huo bado Serikali haijazifanyia marekebisho Sheria zinazokinzana na Uhuru wa...
Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri.
"Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kuna umuhimu wa kutafakari kwa mapana kauli mbiu ya Siku ya Wanawake kwa mwaka 2023 isemayo “Ubunifu na mabadiliko ya teknolojia: Chachu kuleta usawa wa Kijinsia” ili katika utekelezaji...
Kamishina wa Polisi Jamii (CP), Fausitine Shilogile amewaelekeza wakuu wa upelelezi katika mikoa (RCO) pamoja na madawati ya jinsia kuhakikisha wanafuatialia kwa ukaribu kesi za ukatili wa kijinsia na unayanyasaji wa watoto ili wanapopeleka jalada kwa Mwanasheria wa Serikali liwe na ushahidi...
Wadau wametoa maoni yao juu ya kauli ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera (RPC), Wankyo Nyigesa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumteuwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania haliyakuwa (IGP) Simon Sirro bado anaihudumia nafasi hiyo.
Baadhi wamesema siyo jambo baya kwa mtu kutamani cheo fulani...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro.
-----------------------------------------------------------------------------------------
NGORONGORO: TAMKO...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema, bado Tanzania inakabiliwa na ukiukwaji wa haki za binadamu hapa nchini hasa katika maeneo ya uhuru wa habari na vyombo vya habari na uhuru wa kujieleza.
Hayo yamebainishwa jijini Dar es Salaam Oktoba 5, 2021 na Mratibu wa THRDC...
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewakaribisha Watanzania, kutoa maoni yao juu ya maboresho ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni za mwaka 2018, ili ziwe rafiki kwa matumizi.
Wito huo umetolewa leo Jumanne tarehe 11 Mei 2021, Mkoani Morgoro na Mkuu wa Sheria wa TCRA, Dk. Phillip Filikunjombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.