azaki

Ammar Mohammad Alazaki (Arabic: عمار محمد عالزكي‎) is a Yemeni pop singer known for being a finalist in the fourth season of Arab Idol, broadcast by the MBC network. His nomination received widespread coverage in Yemen amidst the Yemeni Civil War (2015–present). Alzaki initially gained recognition for winning the 2006 Munshid Al Sharjah competition which specialized in Nasheed type of singing, hosted by the Sharjah Media Corporation and under the patronage of the Ruler of the Emirate of Sharjah.

View More On Wikipedia.org
  1. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, kweli AZAKI imesema CHADEMA wanaongozwa na tamaa zaidi?

    Azaki amesema Viongozi wakuu wa chama cha CHADEMA wamekuwa wakikosolewa mara kwa mara kwa kuendesha harakati zao kwa misingi ya tamaa ya madaraka na ubinafsi badala ya masilahi mapana ya taifa. Wakosoaji wengi wanabainisha kuwa maamuzi mengi ya kimkakati ndani ya chama hicho, ikiwa ni pamoja...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa wakati muafaka, CCM ifanye maandamano ya umoja wa kitaifa, kulaani AZAKI zote zilizopanga, na kutekeleza vurugu na maafa ya Oct.29.2025

    Maandamano hayo ya amani ya kitaifa, yazilaani AZAKI na vyama vya siasa ambavyo kwa makusudi kabisa, vilishiriki kuhamasisha na kuchochea fujo na maafa yaliyotokea Oct.29.2025. Lakini pia maandamano hayo ya kitaifa yatoe wito kwa mamlaka za serikali kuzifuta mara moja AZAKI zote ovu nchini, na...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania AZAKI zilipanga, zilikusudia, zililenga na kufadhili makundi ya vijana nchini ili kusababisha vifo zaidi ya elfu10 na kusingizia mamalaka za serikali.

    Sote ni mashahidi jinsi ambavyo AZAKI zilivyokua zinacelebrate na kufanya projections za vifo vya waTanzania kuhusu ghasia za Oct.29.2025, kabala ya tume ya jaji chande kuingia kazini na kuja na ukweli mtupu baada ya uchunguzi wa kina. Walilenga kabisa na kufadhili vijana wa ndani na nje ya nchi...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: AZAKI ndiye mpangaji na mfadhili mkuu wa matukio ya kigaidi na vurugu za Okt. 29.2025

    Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030. Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia...
  5. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asasi za Kiraia: Hatukubali pendekezo la Tume ya Jaji Chande kuunda chombo kingine kuchunguza

    Akizungumza leo Aprili 27 katika mkutano wa asasi za kiraia 14 zilizotoa msimamo kuhusu Tume ya Jaji Othman Chande, Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu chaa Dr es Salaam, Dk Azaveli Lwaitama amesema hawakubaliani na pendekezo la tume hiyo kutaka iundwe tume nyingine ya kuchunguza jinai, badala yake...
  6. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asasi za Kiraia: Takwimu za Tume ya Jaji Cande kuhusu vifo 518 hazitoi sura kamili

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 27 wakati Asasi 14 za kiraia zikitoa msimamo wao kuhusu ripoti ya Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani Oktoba 29, Wakili Jebra Kambole kutoka Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema takwimu za tume (vifo 518) hazitoi sura...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 AZAKI: Wafungwa wote wa kisiasa wanaoshikiliwa kuhusiana na Matukio Oktoba 29 akiwemo Tundu Lissu waachiwe huru

    Asasi za Kiraia (AZAKI) zimetoa uchambuzi wa awali wa ripoti ya Tume ya Jaji Chande iliyochunguza matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Wametaka wafungwa wote wa kisiasa wanaoendelea kushikiliwa gerezani kuhusiana na matukio ya Oktoba 29, 2025...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Azaki agusa umuhimu wa majadiliano ya kitaifa

    Geneva, Uswisi. Kiongozi wa asasi za kiraia nchini Tanzania, Martina Kabisama, ameangazia maendeleo yaliyofikiwa na Tanzania katika kuimarisha haki za binadamu, mshikamano wa kijamii na majadiliano ya kitaifa wakati wa kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachoendelea mjini...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Asasi za kiraia zaiomba CCM ikubali, tume huru ya kuchunguza kupotea kwa raia

    Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikitaka kuundwa kwa tume huru ya kiraia kuchunguza matukio ya utekaji na kupotea kwa watu, pamoja na serikali kusaini mikataba ya kimataifa ya kulinda watu dhidi ya kupotezwa kwa kulazimishwa...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Azaki zaishauri CCM kuunda tume ya kuchunguza utekaji

    Si dhani kama wanashaurika hawa watu? Ila mimi najuwa wanafahamu kila kitu kinachoendelea na wanauwezo wa kukomesha kabisa hata bila kuundwa hiyo tume ambayo itachukua kodi za wananchi. =================== Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya zionya NGOs na AZAKI kuepuka kutumika kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Serikali imeonya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) na Asasi Za Kiraia (AZAKI) kutokubali kutumika kama njia ya kutakatisha fedha kwa maslahi ya watu binafsi au vikundi mbalimbali, ikiwemo vya kisiasa, hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 CHADEMA yakabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kutoka kwa AZAKI 300 nchini

    Wawakilishi wa AZAKI pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) leo, Jumatano Oktoba 8.2024 wametembelea ofisi za makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa AZAKI hizo kutembelea vyama vya siasa kwa lengo la...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania FCS: Tumeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kiuchumi na kuziunganisha na Sekta Binafsi

    Shirika la Foundation for Civil Society (FCS), limeandaa mpango kazi utakaosaidia AZAKi kujikwamua kiuchumi kutokana na ushirikano utakaozikutanisha pamoja na Sekta Binafsi katika utekelezaji wa shughuli zao mbalimbali za maendeleo katika jamii. Afisa Oparesheni na rasilimali watu wa FCS, Karin...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Serikali haitakuwa kikwazo kwa AZAKI

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa, Kitila Mkumbo amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na Asasi za Kiraia nchini nakwamba haitakuwa kikwazo kwao katika shughuli zake za kuleta maendeleo, sanjari na kutoa mawazo yatakayojenga zaidi ili kutafuta fursa zilizopo ndani na nje ya nchi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Vijana katika michakato ya Kidemokrasia Nchini kujadiliwa katika Wiki ya Azaki

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la HAKIELIMU, John Kallaghe, akizungumza katika mkutano huo kuhusu ushiriki wao na mambo watakayofanya katika Wiki hiyo. Ushiriki wa makundi mbalimbali ya kijamii hususan vijana katika kutoa maoni yao kwenye michakato ya Kidemokrasia nchini, umetajwa kuwa moja ya...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania FCS, Vodacom Foundation wasaini makubaliano kuelekea Wiki ya Azaki

    Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na Vodacom Tanzania Foundation wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Shilingi milioni 150 ikiwa ni udhamini wa Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika Jijini Arusha kuanzia Septemba 9 hadi 13, 2024. Akizungumza katika...
  17. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Kuongeza Vyanzo vya Fedha kwa Asasi za Kiraia (AZAKI)

    Asasi za Kiraia (AZAKI) katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, zinategemea ufadhili wa ndani na nje ili kutekeleza miradi na mipango. Vipaumbele vya wafadhili vimekuwa vikibadilika mara kawa mara, hali iliyopelekea upungufu wa ufadhili kwenye baadhi ya sekta. Ushindani miongoni mwa...
  18. Interest

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Sijasema fedha za AZAKI ipewe Serikali

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amemaliza mkanganyiko wa taarifa kuhusu fedha za USAID na AZAKI ambayo ilionekana kutoeleweka vizuri na baadhi ya vyombo vya habari, wanaharakati na wadau mbalimbali. Itakumbukwa kuwa juzi akiwa Dodoma alifanya kikao kwa njia ya mtandao na...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Haki za Binadamu Zanzibar, somo latolewa kwa AZAKI jinsi ya kupambana

    Taasisi ya Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania (THRDC) imetoa mafunzo kisiwani Zanzibar kwa kujengea uwezo AZAKI visiwani humo juu ya namna ya ufuatiliaji, uandishi wa ripoti za haki za binadamu na utunzaji wa kumbukumbu. “Mafunzo haya yanakwenda kuwajengea uwezo namna ya kufuatilia...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa AZAKI katika mchakato wa uchaguzi, THRDC yatoa tamko

    May 18, 2020 Onesmo Ole Ngurumwa mratibu wa asasi za kiraia. Mwaka 2015 Asasi za kiraia zilishiriki kwa ukamilifu kabisa kutoa elimu ya uraia kupitia TWAWEZA, REDET UDSM, TEMCO , vyombo vya habari AJM , LHRC , Taasisi za Dini , Polisi n.k Mwaka 2020 uchaguzi unakaribia kuna changamoto kubwa...
Back
Top Bottom