Ununuzi wa ndege mpya ya Rais wa Senegal wazua gumzo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,199
2,000
Ununuzi wa Ndege ya Rais umeibua mjadala Nchini humo ambapo Wanachama wa Asasi za Kiraia na Upinzani wametaka kuwepo uwajibikaji katika ununuzi wa Ndege hiyo aina ya Airbus A320 Neo itakayowasili Julai.

Msemaji wa Serikali, Oumar Guèye amesema Ndege iliyopo imekuwa ya kizamani huku gharama za matunzo zikiwa kubwa. Lakini hoja hiyo haijapokelewa vizuri ikielezwa, Taifa lina vipaumbele vingine muhimu kama upatikanaji wa Maji na Chakula hivyo hakukuwa na haja ya ununuzi wa Ndege.
=====

The purchase of a new presidential air plane in Senegal has sparked controversy.

Members of the civil society and opposition have demanded for accountability on the purchase of the Airbus A320 Neo, which should be delivered on 16 July.

Government spokesperson Oumar Guèye said the current presidential plane had become obsolete and maintenance costs had gone up.

He said the A319 model was immobile for long periods forcing the government to charter planes for presidential missions.

This he said it was becoming expensive for the government.

The opposition said there was no need to be secretive about the cost of purchasing the plane and the procurement process.

The government is yet to disclose this information to the public.

A group of civil societies, called Nio Lank movement, said the country had other priorities like food and water provision, terming the purchase as unnecessary, Radio France Internationale reports.

Source: BBC
 

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,599
2,000
Aibus A320 huku kwetu Magufuli alinunua kwaajili abiria na ndiyo ile mama anapigia mishe za Uganda-Kenya-Dodoma to Dsm kwasasa Dodoma Hapa Kazi tu* wao wananunua kwaajili ya kuwa ndege ya Rais.
 

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,536
2,000
Aibus A320 huku kwetu Magufuli alinunua kwaajili abiria na ndiyo ile mama anapigia mishe za Uganda-Kenya-Dodoma to Dsm kwasasa Dodoma Hapa Kazi tu* wao wananunua kwaajili ya kuwa ndege ya Rais.

Za ATCL ni A220 sio A320
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom