ujana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Ujana ni mengi lakini baadhi ya makosa huacha makovu ya maisha

    Naomba tujadili jambo hili kama jamii, wazazi na vijana wenyewe. Ujana ni kipindi cha kujifunza, kufanya maamuzi, kujitafuta na kujenga msingi wa maisha ya baadaye. Ni kweli kwamba hakuna binadamu asiye na makosa, lakini si kila kosa linapaswa kufanywa kwa kisingizio cha ujana. Baadhi ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Millennials wengi walipuuza wazee, enzi za ujana walioa Hardcopy kuzidi Softcopy. Leo, wengi wanajutia, Gen Z, msirudie history ya millenials.

    Kwa wakati wa Millennials wakiwa vijana, ilikuwa ni enzi ya taiti, vitop, mini na vivazi vilivyoacha Hardcopy ikionekana wazi. Wengi walipagawa. Hata muziki ukabadilika nyimbo zikaanza kusifia mashepu, makalio, mapaja na uzuri uliokuwa ukionekana kila kona. Millennials wengi wakaingia kwenye...
  3. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wahuni wasiofahamu maana ya ujana wameanzisha mpango wa kuchoma Trasformer za umeme

    Kuna mpango unaendelea wa kundi la wahuni, unapanga kuchoma transformer za umeme october 29/2026 Mpango huu ni wa kulaani kwa nguvu zote kwasababu utalaza wananchi giza kwa muda usiokuwa na kikomo Wananchi mlioko karibu na transformer za umeme kuweni walinzi kwasababu transformer mnazoziona...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Yote ni ubatili! Ujana ulinifanya niwe wa moto sana kwa wadada wenye makalio makubwa. Nilitumia pesa sana lakini nilipoteza muda ila niling'atuka

    Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida Niliwafanya kila namna, niliwageuza kila angle, huku nikiwa najipa moyo nitatosheka ila hakuna kitu , unacheza tu na mihemuko yako...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mliambiwa kuwa ujana ni maji ya moto? Sidhani. Soma kitabu hiki kujua kwa nini sio kweli

    Ndani ya kitabu hiki kilichosheheni ujuzi kuhusu ujana na ndoa, hakika utapata kuyajua mengi ambayo pengine awali ulitilia shaka, au hukuwa na hakika nayo. Kwa maelezo ya ziada karibuni DM
  6. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

    Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu mkubwa Ngaluli alikuwa akinichukua na kunipeleka sehemu ambayo makahaba huwa wanajiuza. Alikuwa ananipa...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo Enzi Za Ujana

    Hapa akiwa fratel
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa katika harakati zako za ujana maji ya moto, ni kitendo kati ya hivi haujawahi kugusa kabisa?

    1: punyeto 2: clubbing/pub 3: unywaji wa pombe/liqour/whiskey/wine/visungura/gongo 4: mihadarati (bangi, heroin, meth, cocaine) 5: utumiaji wa makahaba 6: kuwa na sponsor/mshangazi 7: kuangalia pornography 8: betting 9: kuwa na mchepuko 10: group/party sex 11: threesome 12: kutoa...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Waziri wa vijana wiki mbili tu ushakimbia ujana kwa spana.

    Yule jamaa ukisikiliza mada zake unaweza kujua katoboa kumzidi Bakharesa na matajiri wengine kwa zile kanuni zake. Si unajua siku hizi umaarufu ndio unapewa idara kwa serikali ya CCM. Sijui kapotelea wapi?.
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mkienda sehemu za starehe kulewa kuweni makini sana, oneni yaliyomkuta kijana mwenzenu huyu

    Mkienda sehemu za starehe kulewa kuweni makini sana, oneni yaliyomkuta kijana mwenzenu huyu Soma pia: Mkienda sehemu za starehe kulewa kuweni makini sana, oneni yaliyomkuta kijana mwenzenu huyu
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

    Wakuu, Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi. Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu. Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka nancy mitikisiko na blog yake, ila ujana🤣, ni maji ya moto aisee!

    Mabaharia na waliosoma tel aviv ndio watajua namaanisha nini😁 Yule mumamaa sijui aliishiaga wapi aisee maana bongo hasikiki tena
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kama bado upo kwenye ujana, jitahidi sana kufanya mazoezi

    kwa wale ambao bado mko chini ya 40, fanya vyote ila mazoezi usisahau! naongea ivi kwa huzuni baada ya kushuhudia watu wana magonjwa ambayo hospitali wanasema hauna dawa, pia issue ya kisukari ni kubwa sana usisubiri mpaka magazeti yaanze kuandika
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ujana ni maji ya moto

    Hello wana JF,, Je ushawai sikia watu wakisema "Ujana ni maji ya moto"? Huu uzi ni kwaajili ya kutoa mawazo yako juu na mada husika, je wewe unaelewa vipi katika ilo! Je ujana huo kuwa wa moto unaleta mitazamo chanya au hasi katika jamii inauokuzunguka? See you at the top; karibuni wataalamu.😙🙃
  15. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Ujana, Siasa za Ugaibuni

    "Wanasiasa wengi wa upinzani Afrika ni kama watoto wa Kitanzania waliokuwa na ndoto za kuwa madaktari, marubani, wahadisi n.k., hadi walipopewa hesabu ya kidato cha pili, wakaamua bora wauze chipsi."— Alloyce, P.R. 😄
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Taifa linaloendeshwa kwa ujana wa bandiko na umbea—tumwangalie mtoto wa 2050

    Katika enzi hii ya kidigitali, tunashuhudia namna baadhi ya mataifa yanavyoweza kuendeshwa kwa mbinu nyepesi lakini hatarishi kwa mustakabali wake. Kinachohitajika ni kuhakikisha raia wana bando—ndiyo, intaneti—hata kama ni ya gharama kubwa. Wananchi wakishakuwa hewani, basi hupewa ‘connection’...
  17. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Twendeni kanisani

    Leo ni siku nzuri sana ❤️ Jumapili njema yenye kupendeza,nawakumbusha Baba, mama,kaka,dada zangu. Lakini na wadogo zangu pia. Twendeni kanisani (wakristo) Ni utaratibu mzuri,unaotukumbusha kufanya Yale yanayompendeza Mungu, Starehe zote ni ubatili hakuna jipya,niwashukuru wazazi wangu Kwa...
  18. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli kabisa maisha ya ujana wa mapenzi

    Mkasa ni wa kweli kabisa Mnamo mwaka 2024 mwezi 7 niliapata kujuana na bint tumuite rose alikua muuza duka la nguo mimi nikiwa msimamizi wa eneo hilo lote. Huyu bint rose ni bint wa kinyakyusa huko kwao TUKUYU, mfupi mweusi ana kwa mwanya fulani amaizing ni mcheshi sana Basi siku moja...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ewe mzazi, kabla ya kumpa mtoto jina, fikiria kitaa, ujana wake na shuleni ataishije nalo. Mtoto wa kiume anaitwa "Cesi"....

    Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi sana wanafanyiwa bullying kupitia majina yao na wanaishia kuyakataa au kutenda uhalifu. Juzi hapa...
  20. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ujana wako utumie kwa adabu zote

    Ushauri wa bure, ujana wako utumie kwa adabu zote usiwe na muda wa kupoteza kwa mambo yasiyokuwa na faida , Tengeneza familia yako weka kipaumbele maendeleo yako ya kiuchumi , starehe na makundi ya kiurafiki yasiyo na faida yanaweza yakawa kikwazo cha maendeleo yako. Dunia haimthamini maskini.
Back
Top Bottom