Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Aziomba hela za NGO's kutoka USAID

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,928
6,467
Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi?

Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao hawana huruma na vijana wa Taifa hili na una ndoto za kuwa Rais.

Kuna siku utapendekezwa vijana wote tupewe sumu tufe maana hutupendi hata kidogo. Hata hao USAID wamekuona kiumbe wa ajabu sana maana serikali mmeshidwa kukusanya kodi sasa mnataka na hela za NGO. Shame!

Pia, soma=> Waziri Nchemba, ameiomba USAID, kuelekeza msaada wa dola bilioni 1.3, kwenye miradi ya kipaumbele ya Serikali ya Awamu ya Sita

Mwigilu Nchemba.jpg
 
Shule za kuungaunga matokeo yake ni haya
Yaani tuwapangie na pesa zao nani wampe nani wasimpe!
What a joke!
Mmezitafuna za ndani sasa mntaka na za wenyewe mgawane kama peremende khe
Wenyewe huwa wanapiga auditing wao kama wao mtaumbuka...

Aibu ya kutosha kwa serikali
 
Wacheni na hizo asasi za kiraia zipate hizo pesa zitasaidia watanzania wengine kupitia ajira watakazopata huko, mbona nyie zile pesa za tozo siku hizi hamtuambii makusanyo yake mnapata ngapi na matumizi yake ni yapi?

Pelekeni pesa za tozo kwenye hiyo miradi acheni uroho wenu, mnakusanya tozo kila siku bado mnakodoa macho kuangalia na kwingine halafu bila aibu anakimbilia twitter kuandika ujinga wake.
 
View attachment 2164939
Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi?
Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao hawana huruma na vijana wa Taifa hili na una ndoto za kuwa Rais.
Kuna siku utapendekezwa vijana wote tupewe sumu tufe maana hutupendi hata kidogo. Hata hao USAID wamekuona kiumbe wa ajabu sana maana serikali mmeshi dwa kukusanya kodi sasa mnataka na hela za NGO. Shame!
Akili hana, ni kama amerogwa.
 
Back
Top Bottom