Search results

  1. OKW BOBAN SUNZU

    Ni upuuzi kuongea mambo ya ofisini kwenu maeneo ambayo hayahusiki na kazi

    Leo kidogo nitakuwa mkali Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na ofisi zao. Unakuta maafisa wapo bar au sehemu ya chakula au hata kwenye basi, wanaongelea masuala ya...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Unajua sio kitu ubaki kusimuliwa, mengine inabidi uonje ili kujua mambo mengi hata kama sio kila kitu. Kwa hiyo wakati fulani nikataka kuonja radha ya katoto ka miaka ya 2000s. Wakati huo kalikua na miaka 21. Kale katoto ndio kalitoka kumaliza degree, kwa hiyo nikajiaminisha atakuwa anatumia...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Wana maghorofa wenzangu mmesikia ya Kigamboni?

    My Take Tuache short-cut. Kama bajeti inabana jenga kawaida tu
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Kutoka kunibania utamu mpaka kunigeuza ndama

    Mimi ni kati ya wale ndugu wasiopenda kutongoza, ni mtu wa kuweka mitego tu bidada anaelewa mwenyewe hapa anaombwa utamu. Mind you, huwezi mpata kila msichana kizembe namna hiyo. Hakika harakati zangu ziligonga mwamba mwaka mzima. Huyu mtu alikuwa akinipa sana muda wake lakini akawa hodari wa...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Kiingilio bure kama rede au ladies free!

    Mechi ya Yanga na Mamelod imenikumbusha mchezo wa rede ambao huwa hauna viingilio. Imenikumbusha pia disco ambazo viingilio huwa bure kwa wanadada warembo. Hili jambo viongozi na mashabiki wa Yanga waliangalie. Waache kuwafanyia mashabiki dhihaka ya kuwalipia viingilio kama wanakuja kutazama rede.
  6. OKW BOBAN SUNZU

    Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

    Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu. Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga mliolipiwa mnakalia wapi?

    Ndio nimefika Dar jana. Asubuhi nikafika vijiweni vya soka na kagawa. Nataka kujua kina nani wamelipiwa. Kila mwana Yanga ukimuuliza kama amelipiwa anasema yakhee niombe radhi mimi siwezi kulipiwa. Inaonekana kulipiwa kuna shida, kwa nini waliokwisha lipiwa wajifiche. Au kuna masharti mmepewa...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

    Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza. Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Mambo ya kutisha kuhusu Mamelod Sundowns "Masandawana"

    Wagumu nyumbani, sio wanyonge ugenini Mamelodi Sundowns ni miongoni mwa timu ambazo huwa sio rahisi kupoteza mechi kwenye uwanja wao wa nyumbani pindi inaposhiriki Ligi ya Mabingwa Afrika jambo linalochangia kuzipa presha timu nyingi ambazo huenda kukabiliana nayo. Tangu ilipofungwa mabao 2-1 na...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Hongera Feitoto kwa kuwakata kidomo-domo Utopolo

    Nitumie nafasi hii kumpongeza kiungo wa Azam FC Feisal Salum ‘Fei Toto’ baada ya kuitungua Utopolo goli la ushindi wa 2-1 kwenye mchezo dhidi ya waajiri wake wa zamani (Yanga SC) uliopigwa juzi Machi 17, 2024. Huu unakuwa mchezo wa tatu kwa Feisal kukutana na Yanga toka ajiunge na Azam FC na...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu. 1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma 2. Mavazi ya staha kwa wanawake Napenda sana dress code kwa wanawake...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Ni ngumu sana kupata mwanamke full package

    Nilikuwa najipa moyo kwamba unaweza kupata mwanamke mwenye sifa angalau 80% ya vile vigezo muhimu vya kuwa mke bora. Nikasema kama wapo wanawake wazuri wa sura zenye mvuto, lakini kwa nini usipate mwenye mvuto akawa pia na tabia nzuri, mnyenyekevu, mtiifu, mwenye bidii nk? Nikaona ngoja niingie...
  13. OKW BOBAN SUNZU

    Kwenye yale maombi ya Nabii kulikuwa na kijana mwenye tatizo la kupiga puli

    Wakati fulani nilienda South Africa kwenye madeal binafsi na kiofisi. Kule nilipata wasaa wa kuhudhuria ibada ya nabii mmoja anayetokea Tanzania akifanya huduma zake Afrika Kusini. Siku hiyo ilikuwa ibada ya wahitaji toka nchi mbalimbali za kigeni. Walikuwepo watu kutoka Zambia, Ghana, Africa...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Ulizingatia Auction Sheet wakati unanunua gari iliyotumika?

    Hakuna anayebisha kwamba kitendo cha kukutana na namba E zikiwa nyingi mtaani kinatosha kutupa ishara kwamba idadi ya magari yanayonunuliwa na kuingizwa Tanzania inazidi kuongezeka mara dufu siku hadi siku na wengi wetu tunafahamu kwamba Japan ndiko magari ‘used’ yanakonunuliwa kwa wingi kwenye...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Kwanini inakatazwa kuingia na maji kwenye chumba cha mtihani?

    Wasalaam. Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza. Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Je, CHADEMA wakiamdamana kwa Kikokotoo Uchwara, wafanyakazi mtaunga mkono?

    Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha. Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi. Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    FT: Jwaneng 0-1 Wydad |CAFCL-Group B | 24/02/2024

    Ngoma ipo live Fransictown Stadium Botswana. Matokeo ya mechi hii yana athari kwa nafasi ya Mnyama Simba Sc kutinga robo fainali. 9' JG 0-0 Waydad
  18. OKW BOBAN SUNZU

    Mch. Daniel Mgogo: Kikokotoo cha pensheni ni wizi na utapeli

    Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    Kocha Al Ahl: We will play against Yanga and Madeama like never before

    "We have two finals left against Medeama and Yanga SC. We will play those games like never before.” — Marcel Koller Al Ahl coach My Take Naomba nisihusishwe vyovyote na kipigo cha Utopolo. Nawatakia kipigo chema.
Back
Top Bottom