Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
50,305
108,408
Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.

Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.

Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?

Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.

Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.

Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
 
Screenshot_2024-03-22-14-36-45-1.png

Familia moja inalalamikiwa nchi nzima , hii ni aibu kubwa sana !
 
Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.

Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.

Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?

Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.

Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.

Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
Au walizinguana mzee akamwambia hapa huambulii senti 5, tafuta za kwako
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Kuna watu na mambo yao ni mishangazo kwa jamii yenye kutafakari.Na ukiwaza kama mleta uzi utaulizwa maswali ya kijinga sana.
-Kwani hawana haki ya kuwa viongozi?
-Una wivu wa kike?
-Kwa nini baba yako hakuwa raisi ili mama yako awe first-lady mwenye ubunge na wewe ukawa mbunge mwenye uwaziri?
-Nini maana ya demokrasia na haki kwa kila mmoja bila upendeleo?
-Kwani sheria hutungwa na kupitishwa na mbunge mmoja tu?
-Ni dhambi mtu kueleza na kuomba hitaji lake kwa kutoa mawazo huru?
..and the blah blah questions go on and on!
 
Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete
Nyerere aliwaona kikwete na Lowassa kuwa ni wahuni wasiofaa kwenda ikulu.

Baada ya Nyerere kufa kikwete alikwea ikulu na akauthibitisha uhuni wake.

Wakulaumiwa hapa ni yule aliyetengeneza katiba inayomlinda rais mhuni asishitakiwe, bila shaka ni mchonga ndiye wa kulaumiwa.
 
Nyerere kama angewaona kina kikwete ni wahuni kwanini aliwaacha madarakani wakawa mawaziri huku aliona ? Unless na yeye alikuwa muhuni
 
Nchi ilikua changa wasomi walikua wachache na hawakutosha mpaka tukawa tunaazima wataalam nje ya nchi.

Babu zenu walikua hawapendi shule kutwa kuruka na ungo na mafisi tu kulogana.

Matokeo yake ndio haya.
 
Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza.

Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi ni familia yake kupeleka hoja ya kuwalipa pensheni wake wa viongozi. Kwa wasiofahamu hoja hii ilipelekwa bungeni na Mama Salma Kikwete ambaye ni mke wa Rais Kikwete. Hiki ni kiwango kikubwa zaidi cha tamaa zaidi hata tamaa ya fisi. Bila shaka hiki ndio legacy anayoacha Kikwete kwa familia yake, kutotosheka.

Pamoja na kufuja rasilimali za nchi katika kipindi chake, pamoja na mauwekezaji rasmi na yasiyo rasmi katika familia yake bado watu hawa hawatosheki?

Familia inakosa utu kabisa. Nchi ina ukata kutwa kuchwa kupokea misaada. Lakini kuna watu baba raisi, mama mbunge, kaka waziri bado hawatosheki wakaja na pensheni kwa wake wa viongozi.

Familia hii haikuona kabisa pesheni ndogo wanazolipwa watumishi wa umma, pengine ipeleke hoja bungeni na kutia ushawishi kwa Rais. Haikuona mishahara midogo yenyewe ikaona walichonacho waongezewe maradufu.

Kuna wakati Rais Magufuli alionyesha chuki ya wazi kwa Kikwete, pengine alichukia sana tamaa za Kikwete na familia yake.
Jiwe alikuwa shetan,chuki zenu kwa kikwete sababu ni muislam wapuuzi nyie,

Wapuuzi wenzenu wamepiga kelele kuhusu DP WORLD serikali makini ya samia iliwapuuzilia mbali,
Mlivyo matahila mkasema eti Vatcan inaendesha dunia,lazima serikali itaufyata,

Mmbwa nyie
 
Back
Top Bottom