Kwenye yale maombi ya Nabii kulikuwa na kijana mwenye tatizo la kupiga puli

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,220
103,815
Wakati fulani nilienda South Africa kwenye madeal binafsi na kiofisi. Kule nilipata wasaa wa kuhudhuria ibada ya nabii mmoja anayetokea Tanzania akifanya huduma zake Afrika Kusini.

Siku hiyo ilikuwa ibada ya wahitaji toka nchi mbalimbali za kigeni. Walikuwepo watu kutoka Zambia, Ghana, Africa mashariki. Wachache wakitoa UK na kijana mmoja toka USA mwenye asili ya Afrika.

Pale kila mtu anakuwa na bango akiwa ameandika matatizo yake anayotaka aombewe. Kwa hiyo unaweza kuona shida za mwenzio. Basi mnakaa mstari mnaanza kuombewa uponyaji kwa jina la Yesu.

Nikabahatika kuona bango la kijana mwenzangu mmoja. Yeye aliandika tatizo moja tu, kwamba Excessive Mastabation yaani ana shida ya kupiga puli kuliko kawaida.

Mwanzo niliona kama huyu jamaa anataka kuleta masikhara. Alipofikiwa na Nabii ikabidi kwanza ahojiwe kabla ya kuombewa. Hapo ndio nikapata uelewa kumbe puli ni tatizo serious sana kwa vijana na mabroo. Jamaa anasema anaweza kupiga puli hata mara 5 kwa siku. Kuna wakati anaweza kuwa kazini, akipata hisia anaenda washroom na simu anachukua porno anapiga puli.

Basi Nabii akamuombea sana, sijui kama alipona hiyo hali au lah.
 
Sio nikifa😁😁😁 hata nikiwa hai..... mtoto apewe jina sababu ni jina, sio apewe jina langu

Mtu anayepiga puli ni kichaa maana haiwezekani mademu wapo we unakazana kujisugua na mikono,unakuta mtu mikono migumu kazi yake ni ya zege halafu mikono hyo hyo anapigia puli
wacha afike 40s atakuwa hasimamishi kabisa ataua hisia kabisa
 
Dudu lazima ichubuke aisee
Uume ni kiungo laini mwenzake ni papuchi..lkn watu wabishi sana,utamwaga sawa lkn hutafeel kama utamu wa papuchi...wengne watajitetea kwamba sio lazima upige puli la mkono lakini ni mule mule tu hakuna enjoyment yeyote!
 
Wakati fulani nilienda South Africa kwenye madeal binafsi na kiofisi. Kule nilipata wasaa wa kuhudhuria ibada ya nabii mmoja anayetokea Tanzania akifanya huduma zake Afrika Kusini.

Siku hiyo ilikuwa ibada ya wahitaji toka nchi mbalimbali za kigeni. Walikuwepo watu kutoka Zambia, Ghana, Africa mashariki. Wachache wakitoa UK na kijana mmoja toka USA mwenye asili ya Afrika.

Pale kila mtu anakuwa na bango akiwa ameandika matatizo yake anayotaka aombewe. Kwa hiyo unaweza kuona shida za mwenzio. Basi mnakaa mstari mnaanza kuombewa uponyaji kwa jina la Yesu.

Nikabahatika kuona bango la kijana mwenzangu mmoja. Yeye aliandika tatizo moja tu, kwamba Excessive Mastabation yaani ana shida ya kupiga puli kuliko kawaida.

Mwanzo niliona kama huyu jamaa anataka kuleta masikhara. Alipofikiwa na Nabii ikabidi kwanza ahojiwe kabla ya kuombewa. Hapo ndio nikapata uelewa kumbe puli ni tatizo serious sana kwa vijana na mabroo. Jamaa anasema anaweza kupiga puli hata mara 5 kwa siku. Kuna wakati anaweza kuwa kazini, akipata hisia anaenda washroom na simu anachukua porno anapiga puli.

Basi Nabii akamuombea sana, sijui kama alipona hiyo hali au lah.
Hii wanaita 🤳 selfie 🙂
 
Mtu anayepiga puli ni kichaa maana haiwezekani mademu wapo we unakazana kujisugua na mikono,unakuta mtu mikono migumu kazi yake ni ya zege halafu mikono hyo hyo anapigia puli
Wengine wanakuwa wamepigwa matukio sana na wanawake kwa hyo wanaona bora njia hiyo.
 
Back
Top Bottom