Ulizingatia Auction Sheet wakati unanunua gari iliyotumika?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,241
103,917
Hakuna anayebisha kwamba kitendo cha kukutana na namba E zikiwa nyingi mtaani kinatosha kutupa ishara kwamba idadi ya magari yanayonunuliwa na kuingizwa Tanzania inazidi kuongezeka mara dufu siku hadi siku na wengi wetu tunafahamu kwamba Japan ndiko magari ‘used’ yanakonunuliwa kwa wingi kwenye minada.

Kwa kuwa idadi kubwa ya magari yanayonunuliwa na Watanzania ni yale yaliyokwisha tumika (used), haya ni mambo matano ambayo tunatakiwa tuyazingatie sana kwenye karatasi hii maalum ya ukaguzi (auction sheet) kabla ya kununua gari iwe unalinunulia hapahapa Tanzania au umeliagiza Japan ambapo karatasi hii itakusaidia kufahamu umenunua gari likiwa katika hali gani.

1. Jambo la kwanza ni kwamba karatasi hii ( auction sheet) ina madaraja au auction grade kuanzia 0 hadi 5 zikiwa ni alama zinazokuonesha gari hilo liko vizuri kiasi gani ambapo 5 ndio alama ya juu zaidi ya ubora.

2. Kitu cha pili karatasi hii pia inaonesha grade au madaraja ya ukaguzi kuonesha hali ya ndani ya gari na hali ya nje ya gari hivyo kukupa mwanga kama utatakiwa kupita kwa Fundi rangi au Fundi wa interior.

3. Jambo la tatu ni ukaguzi wa mileage unaoonesha gari limetembea kilometa ngapi, hiki ni kipengele kingine muhimu sana unapaswa kukizingatia ili kuepuka baadhi ya Wafanyabiashara wasio waaminifu ambao huzichezea kilometa kwa kuzishusha ili kulifanya gari lionekane jipya zaidi na kumtaka Mteja alipe pesa nyingi zaidi.

4. Kipengele cha nne kinaonesha chassis number, ukubwa wa injini na kama iliwahi kubadilishwa rangi ya gari pamoja na maelezo maalum kutoka kwa Muuzaji kufafanua kama aliwahi kufanya modifications au mambo mengine.

5. kipengele cha tano ni Repair History, maelezo yanayoonesha kama gari limewahi kurekebishwa popote au kufanyiwa ukarabati bila kusahau kipengele cha Diagram, mchoro wa gari ukiwa na alama zinazoonesha sehemu zilizoharibiwa au zilizowahi kukarabatiwa ili upate mwanga.

Swali kwako uliyewahi kununua gari ‘used’, Je ulipewa hii karatasi na ukazingatia kuisoma wakati wa kulinunua ndinga lako ?

Credit: Millard Ayo
 
Zamani BF walikua wanaweka Auction Grade kwenye mtandao kila gari wanalouza. Mfano unaiona IST, kuna mahala wanaweka na grade yake ata kama ni R, 3, 3.5 etc.

Sasa sijui waliamua nini siku hizi wanaificha. (Wanaificha ila ipo). Na usipo omba kama alivosema mtoa mada hawakupi. Sasa kuomba ni hadi uanze kuchat nao (Enquires).

Ila kuna njia ambayo uwa tunaitumia wandava kupata auction grade ya magari ya BF sijui kuhusu site nyingine.

Step ya Kwanza ni kuenda kwenye ilo gari lenyewe kwenye website ya BF

Mfano hapa nimeifungua hii IST

Screenshot_20240310-141749.png

Step ya pili, na copy reference number ya ilo gari, kisha naenda Google naipaste na kuongeza mbele "auction grade"

Screenshot_20240310-141848~2.png

Kisha naenda Google:

Screenshot_20240310-142032.png

Hapo nimepata Auction Grade ni 3.5 ila hakikisha ukiibonyeza iyo search result inakupeleka kwenye gari husika. Mara nyingi inakua results ya kwanza na inakutajia gari lako mfano Toyota IST.

KUNA njia ya pili yenyewe either una search kwa Kompyuta au kama unatumia simu unaweka Desktop mode.

Hii haina mbwembwe sana, kama unatumia simu unaweka Desktop Mode kwenye browser yako kisha unaenda chini kabisa ya iyo page ya BF unabonyeza Go to PC Site.

Itakua kama mtu anaetumia computer. Hapo pembeni ya zile picha za gari utaona wameambatanisha documents inaitwa condition report. Unaidownload unapata info zote za gari. Bila kuwasumbua wala kusubiri siku nzima wakujibu.

Screenshot_20240310-142343.png

Ukiwa unatumia kompyuta ni direct tu. Iyo condition report sio Auction Sheet ila angalau itakusaidia kujua condition ya gari unalolitaka kuanzia interior exterior engine tyres etc. Mfano kwa iyo IST iko hivi:

Screenshot_20240310-142634.png

Kwahiyo utakua unajua grade na condition kidogo kabla hujawacheki kwa email.

Ukiridhika ndio watumie email ya enquiry na kunegotiate na kuomba auction sheet kama alivosema mkuu hapo juu..

Hope itamsaidia mtu kidogo
 
Zamani BF walikua wanaweka Auction Grade kwenye mtandao kila gari wanalouza. Mfano unaiona IST, kuna mahala wanaweka na grade yake ata kama ni R, 3, 3.5 etc.

Sasa sijui waliamua nini siku hizi wanaificha. (Wanaificha ila ipo). Na usipo omba kama alivosema mtoa mada hawakupi. Sasa kuomba ni hadi uanze kuchat nao (Enquires).

Ila kuna njia ambayo uwa tunaitumia wandava kupata auction grade ya magari ya BF sijui kuhusu site nyingine.

Step ya Kwanza ni kuenda kwenye ilo gari lenyewe kwenye website ya BF

Mfano hapa nimeifungua hii IST

View attachment 2930360

Step ya pili, na copy reference number ya ilo gari, kisha naenda Google naipaste na kuongeza mbele "auction grade"

View attachment 2930363
Kisha naenda Google:

View attachment 2930365

View attachment 2930369

Ukiwa unatumia kompyuta ni direct tu. Iyo condition report sio Auction Sheet ila angalau itakusaidia kujua condition ya gari unalolitaka kuanzia interior exterior engine tyres etc. Mfano kwa iyo IST iko hivi:

View attachment 2930371

Umetisha sanaaa mkuu
 
Safi sana mkuu. Umetishaaa
 
Nzuri hii
 
Asante sana mzee umeshusha madini heavy ambayo hata darasa la saba ataweza kukuelewa bila shida.
 
Hakuna anayebisha kwamba kitendo cha kukutana na namba E zikiwa nyingi mtaani kinatosha kutupa ishara kwamba idadi ya magari yanayonunuliwa na kuingizwa Tanzania inazidi kuongezeka mara dufu siku hadi siku na wengi wetu tunafahamu kwamba Japan ndiko magari ‘used’ yanakonunuliwa kwa wingi kwenye minada.

Kwa kuwa idadi kubwa ya magari yanayonunuliwa na Watanzania ni yale yaliyokwisha tumika (used), haya ni mambo matano ambayo tunatakiwa tuyazingatie sana kwenye karatasi hii maalum ya ukaguzi (auction sheet) kabla ya kununua gari iwe unalinunulia hapahapa Tanzania au umeliagiza Japan ambapo karatasi hii itakusaidia kufahamu umenunua gari likiwa katika hali gani.

1. Jambo la kwanza ni kwamba karatasi hii ( auction sheet) ina madaraja au auction grade kuanzia 0 hadi 5 zikiwa ni alama zinazokuonesha gari hilo liko vizuri kiasi gani ambapo 5 ndio alama ya juu zaidi ya ubora.

2. Kitu cha pili karatasi hii pia inaonesha grade au madaraja ya ukaguzi kuonesha hali ya ndani ya gari na hali ya nje ya gari hivyo kukupa mwanga kama utatakiwa kupita kwa Fundi rangi au Fundi wa interior.

3. Jambo la tatu ni ukaguzi wa mileage unaoonesha gari limetembea kilometa ngapi, hiki ni kipengele kingine muhimu sana unapaswa kukizingatia ili kuepuka baadhi ya Wafanyabiashara wasio waaminifu ambao huzichezea kilometa kwa kuzishusha ili kulifanya gari lionekane jipya zaidi na kumtaka Mteja alipe pesa nyingi zaidi.

4. Kipengele cha nne kinaonesha chassis number, ukubwa wa injini na kama iliwahi kubadilishwa rangi ya gari pamoja na maelezo maalum kutoka kwa Muuzaji kufafanua kama aliwahi kufanya modifications au mambo mengine.

5. kipengele cha tano ni Repair History, maelezo yanayoonesha kama gari limewahi kurekebishwa popote au kufanyiwa ukarabati bila kusahau kipengele cha Diagram, mchoro wa gari ukiwa na alama zinazoonesha sehemu zilizoharibiwa au zilizowahi kukarabatiwa ili upate mwanga.

Swali kwako uliyewahi kununua gari ‘used’, Je ulipewa hii karatasi na ukazingatia kuisoma wakati wa kulinunua ndinga lako ?

Credit: Millard Ayo

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Zamani BF walikua wanaweka Auction Grade kwenye mtandao kila gari wanalouza. Mfano unaiona IST, kuna mahala wanaweka na grade yake ata kama ni R, 3, 3.5 etc.

Sasa sijui waliamua nini siku hizi wanaificha. (Wanaificha ila ipo). Na usipo omba kama alivosema mtoa mada hawakupi. Sasa kuomba ni hadi uanze kuchat nao (Enquires).

Ila kuna njia ambayo uwa tunaitumia wandava kupata auction grade ya magari ya BF sijui kuhusu site nyingine.

Step ya Kwanza ni kuenda kwenye ilo gari lenyewe kwenye website ya BF

Mfano hapa nimeifungua hii IST

View attachment 2930360

Step ya pili, na copy reference number ya ilo gari, kisha naenda Google naipaste na kuongeza mbele "auction grade"

View attachment 2930363
Kisha naenda Google:

View attachment 2930365

Hapo nimepata Auction Grade ni 3.5 ila hakikisha ukiibonyeza iyo search result inakupeleka kwenye gari husika. Mara nyingi inakua results ya kwanza na inakutajia gari lako mfano Toyota IST.

KUNA njia ya pili yenyewe either una search kwa Kompyuta au kama unatumia simu unaweka Desktop mode.

Hii haina mbwembwe sana, kama unatumia simu unaweka Desktop Mode kwenye browser yako kisha unaenda chini kabisa ya iyo page ya BF unabonyeza Go to PC Site.

Itakua kama mtu anaetumia computer. Hapo pembeni ya zile picha za gari utaona wameambatanisha documents inaitwa condition report. Unaidownload unapata info zote za gari. Bila kuwasumbua wala kusubiri siku nzima wakujibu.

View attachment 2930369

Ukiwa unatumia kompyuta ni direct tu. Iyo condition report sio Auction Sheet ila angalau itakusaidia kujua condition ya gari unalolitaka kuanzia interior exterior engine tyres etc. Mfano kwa iyo IST iko hivi:

View attachment 2930371

Kwahiyo utakua unajua grade na condition kidogo kabla hujawacheki kwa email.

Ukiridhika ndio watumie email ya enquiry na kunegotiate na kuomba auction sheet kama alivosema mkuu hapo juu..

Hope itamsaidia mtu kidogo

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Zamani BF walikua wanaweka Auction Grade kwenye mtandao kila gari wanalouza. Mfano unaiona IST, kuna mahala wanaweka na grade yake ata kama ni R, 3, 3.5 etc.

Sasa sijui waliamua nini siku hizi wanaificha. (Wanaificha ila ipo). Na usipo omba kama alivosema mtoa mada hawakupi. Sasa kuomba ni hadi uanze kuchat nao (Enquires).

Ila kuna njia ambayo uwa tunaitumia wandava kupata auction grade ya magari ya BF sijui kuhusu site nyingine.

Step ya Kwanza ni kuenda kwenye ilo gari lenyewe kwenye website ya BF

Mfano hapa nimeifungua hii IST

View attachment 2930360

Step ya pili, na copy reference number ya ilo gari, kisha naenda Google naipaste na kuongeza mbele "auction grade"

View attachment 2930363
Kisha naenda Google:

View attachment 2930365

Hapo nimepata Auction Grade ni 3.5 ila hakikisha ukiibonyeza iyo search result inakupeleka kwenye gari husika. Mara nyingi inakua results ya kwanza na inakutajia gari lako mfano Toyota IST.

KUNA njia ya pili yenyewe either una search kwa Kompyuta au kama unatumia simu unaweka Desktop mode.

Hii haina mbwembwe sana, kama unatumia simu unaweka Desktop Mode kwenye browser yako kisha unaenda chini kabisa ya iyo page ya BF unabonyeza Go to PC Site.

Itakua kama mtu anaetumia computer. Hapo pembeni ya zile picha za gari utaona wameambatanisha documents inaitwa condition report. Unaidownload unapata info zote za gari. Bila kuwasumbua wala kusubiri siku nzima wakujibu.

View attachment 2930369

Ukiwa unatumia kompyuta ni direct tu. Iyo condition report sio Auction Sheet ila angalau itakusaidia kujua condition ya gari unalolitaka kuanzia interior exterior engine tyres etc. Mfano kwa iyo IST iko hivi:

View attachment 2930371

Kwahiyo utakua unajua grade na condition kidogo kabla hujawacheki kwa email.

Ukiridhika ndio watumie email ya enquiry na kunegotiate na kuomba auction sheet kama alivosema mkuu hapo juu..

Hope itamsaidia mtu kidogo

Be blessed
 
Back
Top Bottom