maghorofa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OKW BOBAN SUNZU

    Wana maghorofa wenzangu mmesikia ya Kigamboni?

    My Take Tuache short-cut. Kama bajeti inabana jenga kawaida tu
  2. M

    Maghorofa yanachipuka kama uyoga jijini Mbeya awamu hii ya Dkt. Tulia na Rais Samia

    Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia. Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu. Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii. Wito...
  3. GENTAMYCINE

    Mnaoishi katika Maghorofa marefu hasa ya Upanga tafadhali mkiwa mnaanza 'Kunaniliana' muwe mnafunga kwa muda Madirisha yenu ili msitupandishe Midadi

    Wengine tumeumbwa na Midadi hasa tukiona Minaniliano madirishani huwa tunatamani hata tuje kuomba Kolabo, ila huwa tunashindwa tu. Halafu ukijiona upo juu Ghorofani usidhani uko peke yako na huonekani kwani kuna Wengine (hasa GENTAMYCINE ) tuna Macho ambayo yakiona tu Kitu cha mbali basi...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Siku yangu ya Kwanza kupanda Lifti za kwenye maghorofa chamoto nilikipata

    Habari Wakuu! Nimejikuta ninacheka tuu. Unajua haya mambo ya kizungu yanatutoa wengi nishai, wenge, Knockout. Yalinikuta, niliyakanyaga. Picha linaanza uncle kanipigia simu niende ofisini kwake, katika moja ya balozi za nchi ndogo za mashariki ya Ulaya, sikuwahi kufika ofisi yake tangu hapo...
  5. Mwande na Mndewa

    Mtindo mpya Kariakoo ni kubomoa maghorofa na kujenga Mapya

    Kariakoo inaanza kuwa na mwonekano mpya, kila mtaa ukipita unakuta ghorofa limeangushwa linanyanyuliwa lingine, safi sana. Ila mengine bado yapo imara lakini yanabomolewa na kujengwa mapya, wacha nitafute pesa.
  6. Mamujay

    Utitiri wa maghorofa yanayojengwa Kariakoo siku hizi inaashiria nini?

    Mitaa mingi Kariakoo majengo mengi yanajengwa hii Ina ashiria nini? Naombeni majibu wale wazee wa kusoma alama za nyakati ndio naowataka.
  7. B

    Service charges katika maghorofa zazua taharuki

    02 February 2023 Dar es Salaam, Tanzania Waomba mamlaka kuigilia kati, kampuni inayosimamia huduma ya jengo la ghorofa Kuna matatizo ya kuhudumia ghorofa lenye floor 9 ambalo watu wamenunua apartment. Lift hazifanyi kazi, Bill za umeme anayesimamia jengo hapeleki TANESCO, pia service charges...
  8. The Sunk Cost Fallacy 2

    Ifahamu mikoa 10 yenye maghorofa mengi Tanzania

    Mapema mwezi wa 8 2022 Kulifanyija sensa ya watu na makazi na matokeo take kutoelewa mwezi wa 10. Kwa Mujibu wa Matokeo ya sensa,Mikoa 10 ambayo Ina majengo mengi ya maghorofa kwa maana ya makazi, biashara na Taasisi Ni Kama ifuatavyo: 1. Dar es Salaam-32,219 2. Arusha-7,180 3. Tanga-4,282...
  9. P

    Maghorofa Magomeni kumbukumbu inayoishi ya John Pombe Magufuli

    Nilikuwa nafuatilia runingani namna Rais Samia anavyowakabidhi majengo wale wananchi walioahidiwa kujengewa na hayati JPM. Alipoanza kuongea yule Bibi aliyekuwa ameongozana na Babu kama ndio wawakilishi wa wakazi 644 akawa mzalendo katika kutoa shukrani zake. Kasimama mbele ya Rais SSH lakini...
  10. Red Giant

    Sheria zinasemaje kujenga maghorofa marefu maeneo ya makazi?

    Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay. Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira . Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni...
  11. mwakavuta

    Kufanyike ukaguzi wa maghorofa ya muda mrefu kabla hayajaleta maafa kwa watu

    Wakuu habari? Nina imani wiki imeanza vyema kwenu. Nimekuwa nikijizuia kuleta hii mada hapa kwa muda mrefu lakini nakosa amani sana. Kuna tatizo linakuja huko mbeleni kwenye majengo kama hayatatuliwa mapema. Kwenye harakati zangu za kutafuta maisha kama kibarua wa ujenzi nilikutana na hali...
Back
Top Bottom