Asilimia 100 hujifichia CCM kutenda maovu na haramu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,243
103,925
Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu.

Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia nguvu utagundua.

Mfano mdogo tu ni hili sakata la uhamiaji na gari lililodakwa likivusha wahamiaji haramu 20. Gari hilo linatajwa kuwa mali ya Habib Nasser. Huyu ni mwenyekiti wa CCM kata ya Ilala na mjumbe wa Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi CCM-DSM.

Hiyo bendera ya CCM haikuwekwa bahati mbaya, alijua uhakika. Hiyo ni ajali kazini au kuna watu walimchoma. Tofauti na hapo, goma likishakuwa na bendera ya chama trafiki wanapunga mkono tu unateleza.

Hawa matajiri wanaopambania vyeo vya udiwani, ubunge lengo namba moja inakuwa kuficha vitu vyao haramu ikiwemo ukwepaji kodi. Hivyo hivyo kwa watu wa kawaida. Lengo namba 5 ndio inaweza kuwa kutumikia nchi.

Hata hawa vijana unaowaona humu mitandaoni ikiwemo JF ni njaa tu hakuna kingine.

Watch out mzee baba
 
Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na madhabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.

Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.

Epuka kutoa jumuisho la ujumla.

CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.

Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu.
 
Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu.

Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia nguvu utagundua.

Mfano mdogo tu ni hili sakata la uhamiaji na gari lililodakwa likivusha wahamiaji haramu 20. Gari hilo linatajwa kuwa maki ya Habib Nasser. Huyu ni mwenyekiti wa CCM kata ya Ilala na mjumbe wa Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi CCM-DSM.

Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na mashabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.

Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu
 
Hata mwenyekiti wa CCM mwenyewe utakuwa anashangazwa na huu uongo wako
 
Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na madhabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.
Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.
Epuka kutoa jumuisho la ujumla.
CCM ndio inayokufanya uishi kwa amani na hata kukupa uhuru wa kuandika utumbo ukumbini hapa.
Kiheshimu chama hiki kikongwe kilichosimama katika misingi ya haki na uadilifu.
Chawa mkubwa wewe huna lolote
Ccm imefanya nini ambacho kinaeleweka zaidi ya ufisadi kiasi kwamba maisha ya watu wengi yamekuwa magumu acha njaa wewe
 
Chawa mkubwa wewe huna lolote
Ccm imefanya nini ambacho kinaeleweka zaidi ya ufisadi kiasi maisha ya watu wengi yamekuwa magumu acha njaa wewe
Ndio ujinga wenu mlio wengi wa upande ule wa manyumbu' mnapoelezwa ukweli mnakimbilia kuita watu machawa':
Kama hujaona kilicho/kinachofanywa na CCM basi una mtindio wa ubongo.
Kujadili jambo au kubishana na mtu wa aina yako ni kuupoteza muda.
 
Ni kweli. Mfano, kazi ya mwanzo ya Msukuma kabla hajawa mbunge ilikuwa ni utekaji wa mabasi na uporaji wa mali za abiria. Hivi Sasa amejificha ccm na maovu yake hayazungumzwi kabisa.

Huwa nacheka sana anapokuwa kwenye media akijifagilia kuwa alikuwa machinga na mshona viatu.
 
Ndio ujinga wenu mlio wengi wa upande ule wa manyumbu' mnapoelezwa ukweli mnakimbilia kuita watu machawa':
Kama hujaona kilicho/kinachofanywa na CCM basi una mtindio wa ubongo.
Kujadili jambo au kubishana na mtu wa aina yako ni kuupoteza muda.
Chizi uliekosa kazi na kuisifia genge la wahuni wenzako
 
Kama hujagundua hili bado wewe hufikirii sawasawa. Watu wote hupenda kuwa CCM na kupigania kupata nafasi zaidi na zaidi kama sehemu salama ya kujifichia maovu na haramu.

Hii inahusu viongozi wote kuanzia juu mpaka chini. Kuanzia mwenyekiti wa shina mpaka namba moja. Chunguza hilo bila kutumia nguvu utagundua.

Mfano mdogo tu ni hili sakata la uhamiaji na gari lililodakwa likivusha wahamiaji haramu 20. Gari hilo linatajwa kuwa maki ya Habib Nasser. Huyu ni mwenyekiti wa CCM kata ya Ilala na mjumbe wa Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi CCM-DSM.

Hiyo bendera ya CCM haikuwekwa bahati mbaya, alijua uhakika. Hiyo ni ajali kazini au kuna watu walimchoma. Tofauti na hapo, goma likishakuwa na bendera ya chama trafiki wanapunga mkono tu unateleza.

Hawa matajiri wanaopambania vyeo vya udiwani, ubunge lengo namba moja inakuwa kuficha vitu vyao haramu ikiwemo ukwepaji kodi. Hivyo hivyo kwa watu wa kawaida. Lengo namba 5 ndio inaweza kuwa kutumikia nchi.

Hata hawa vijana unaowaona humu mitandaoni ikiwemo JF ni njaa tu hakuna kingine.

Watch out mzee baba
Ni kweli
 
CCM ni chaka la maovu yote yanayofanyika hapa nchini.
 
Ndio ujinga wenu mlio wengi wa upande ule wa manyumbu' mnapoelezwa ukweli mnakimbilia kuita watu machawa':
Kama hujaona kilicho/kinachofanywa na CCM basi una mtindio wa ubongo.
Kujadili jambo au kubishana na mtu wa aina yako ni kuupoteza muda.
Bora wajinga wanaweza kuelemishwa lakini wewe ni mpumbavu unayetetea uchafu wa CCM ambao kila mtu anauona,ungekaa kimya ingependeza zaidi.
 
Back
Top Bottom