Je, CHADEMA wakiamdamana kwa Kikokotoo Uchwara, wafanyakazi mtaunga mkono?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,219
103,807
Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.

Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.

Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.

Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
 
platform na ulowataja ni nuksi ukija kwenye suala la kuiunganisha jamii 🐒

hawana uhalali wala hawaaminiki ispokua manyumbu 🐒
 
Thubutu🐼
Usiwakatie tamaa sana , elimu tunayoitoa inaanza kueleweka

Screenshot_2024-02-20-17-45-58-1.png
 
Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.

Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.

Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.

Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Mstaafu Jo,kikokotoo hakija kunyonga🤓
 
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya wafanyakazi na misukule.
Msukule haki zote zinakuwa chini ya mgugaji wake yeye anaachiwa haki ya kujisaidia tu.
 
Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.

Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.

Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.

Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Wafanyakazi waoga kama nini, walimu ndio usisee, wengi wa walimu ni makada wa CCM
 
Hakika hapa chadema watakua wamegusa maslahi ya watanzania na watakumbukwa daima.
Kataa kubali, lakini wafanyakaz ndio main stream ya serikali ku circulate pesa yale kwa wananchi.
Pesa ya mfanyakaz ndio pesa ya

  • mama ntilie
  • konda wa dala dala
  • muuza genge au duka
  • mkulima

Kwakifupi mfanyakaz ndio mgawa rizki kwa madaraja mengine kama wafanya biashara etc
 
Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.

Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.

Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.

Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Kuna watu wazito sana siku moja walisema kama chadema atasimami ichi kikotoo 2025 mapema sana chadema wanabeba nchi , sasa sikujua yalikua ni mawazo yao binafsi au ni maono katika taasisi zao ,kikokotoo ni uhuni wa serikali ya ccm,
 
Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.

Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.

Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.

Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Nakuonya usithubutu kumtetea mtanzania kwani utajikuta uko pekeyako mahakamani unaowatetea wamesepa.
 
Wananchi na wafanyakazi wakitaka Hali ya maisha yanaweza kuwa Bora nchini
 
Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.

Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.

Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea wapi. Hata wabunge wenyewe hawakikubali ndio maana wao wanavuta mpunga wote.

Na nyinyi wafanyakazi mnatafuta mtu wa kuliamsha baada ya vyana vyenu kuwasaliti. Sasa tunaweza kuongea na Mbowe na Lissu maandamano yakaelekezwa huko. Lakini swali ni Je, mnataunga mkono?
Maandamano ya Watumishi wa umma hayasimamiwi na Vyama vya SIASA ila vyama vya WAFANYAKAZI (TUCTA)
Lazima protocol zifuatwe siyo Mihemko, na maandamano ni baada ya majadiliano na mwajiri kushindikana.
Mfanyakazi akitoka kwenda kuandamana na kina Mbowe agenda yake siyo Maslahi ya kazi bali itakuwa mambo ya Kisiasa. Ni dhahiri ataingia kwenye kesi ya kujihusisha na siasa na kama itakuwa muda wa kazi ndo kabisaaa,itaongezeka na kujihusisha na siasa tena masaa ya kazi.
Msiwapotoshe Watumishi.
Wana vyama vyao,wasuguane huko.
 
Na kwa nini waandamane Chadema? Kwani hao wafanyakazi hawana vyama vyao rasmi vya kusimamia huo mchakato wa kuandamana?
Au ndiyo kusema ndugu zetu Chadema hamna matatizo yenu ya kuyapigania kama chama? Au ndiyo kusema chama chenu ni cha matukio?

Mimi nawashauri mpiganie Katiba mpya na pia tume huru ya ucjaguzi. Masuala ya kikokotoo, wqachieni wafanyakazi wenyewe wajipiganie. Wakishindwa, watajua wenyewe.
 
Back
Top Bottom