Wananchi hawana muda was kwenda kumsikiliza mouth piece ya mabeberu.

Lisu kaletwa na mabeberu ili aende ikulu kuwapatia rasilimali za nchi hii.

Hatumtaki.
 
Kimenuka ! Tulitahadharisha tangu awali kwamba kuiteketeza ccm nchi nzima tunahitaji siku 7 tu , wabishi hawakuelewa .
 
Mkuu usianze kushabikia ushindi kaz bado sana ... Tengenezeni timu imara izunguke kila kona ya hii nchi mutangaze sera zenu zieleweke...
Kimenuka ! Tulitahadharisha tangu awali kwamba kuiteketeza ccm nchi nzima tunahitaji siku 7 tu , wabishi hawakuelewa .
 
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na Chamwino kwa siku tatu mfululizo katika Jiji la DSM...
Ll the best... Mbeya we're waiting for him

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
 
Wanachonifurahisha chadema hutasikia sijui wasaniii wameitwa sijui diamond sijui kiba, na watu wanajaa nyomi hatari, mtu shazi

..Dr.Bashiru aliwahi kusema CCM haitatumia wasanii wa nje ya chama ktk kampeni za 2020.

..hivi majuzi amebadili gia angani, amesajili wasanii kwa maelfu sijui watazungumza vipi na wananchi wakati wa kampeni.
 
Sasa rasmi tumeanza.. Mataga kaeni mkao wa kutulia. Najua masikio yote yatakuwa huko kwa Lissu.
 
Kampeni za kistaarabu maana yake nini? Tusiseme kuwa yule mgombea aliyeshindwa kujaza Form ndo Mhalifu no.1 aliyetaka kumwua mgombea wetu?
Nimetoa rai.

Naanzaje kumuelimisha mwanachama wa platform inayowahusu "great thinkers" maana ya kampeni za kistaarabu??
 
MIDAHALO INGEANZA KWANZA MAANA KUNA WASHAMBA WANASEMA WAMENUNUA NDEGE,WANAJENGA SGR,WAMEJENGA VITUO VYA AFYA,NK MIAKA MITANO YOTE WALITAKA WAFANYE NINI?MBONA HAWASEMI WALIMSHAMBULIA TINDU LISSU,WALIUA WATU HUKO KIBITI,WALIIBA MICHANGO YA MAAFA YA WANA-KAGERA,NK?TUNAWASUBIRI!
 
Back
Top Bottom