Hiyo ratiba imelenga kumsaidia Halima Mdee Tanganyika Packers na John Mrema Tabata temeke wanaenda tu kukamilisha ratiba waislamu wasione wamewabagua kwenye uzinduzi

Wagombea wengine majimbo mengine ya Chadema mtajijua
 
Chadema media mnashindwa kutoa ajira kwa vijana wa kusambaza habari?

YouTube yenu habari za Lissu zinatoka baada ya masaa 24 tangu aongee na waandishi wa habari.

Mnakwama wapi?

Kama ni pesa njooni PM niwape
 
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na Chamwino kwa siku tatu mfululizo katika Jiji la DSM...
kamanda nini hoja 2

(1) iwepo acct tuchangie kampeni.

(2) watakaojumlisha matokeo ya uchaguzi wafanyie nje ya nchi yasijetijea ya 2015 wakavamiw
 
Back
Top Bottom