Wewe jamaa una mtindio wa ubongo.Ndio
Humtaki wewe peke yako. Watanzania wote kwa umoja wetu tunamtaka Lissu.Wananchi hawana muda was kwenda kumsikiliza mouth piece ya mabeberu.
Lisu kaletwa na mabeberu ili aende ikulu kuwapatia rasilimali za nchi hii.
Hatumtaki.
Mwandishi wa thread ameandika kwa jazba sana..Naona kwa joto hili haelewi hata miezi inaendaje tenaHuo mwezi kwenye hizo tarehe uko sawa kweli?? Check with that please.
Ni swali la msingi sana mkuu.Sometimes Jo unajitoa ufahamu bila sababu
Kimenuka ! Tulitahadharisha tangu awali kwamba kuiteketeza ccm nchi nzima tunahitaji siku 7 tu , wabishi hawakuelewa .
Mbona mmechagua viwanja vidogo vidogo bwashee?
Ll the best... Mbeya we're waiting for himJiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na Chamwino kwa siku tatu mfululizo katika Jiji la DSM...
Wanachonifurahisha chadema hutasikia sijui wasaniii wameitwa sijui diamond sijui kiba, na watu wanajaa nyomi hatari, mtu shazi
Na hivyo ndivyo tutakavykuwa na uchaguzi wa kistaarabu piaBila kuingiliwa zitakuwa kampeni za kistaarabu sana....sisi ni walimu wa sheria TUNAJITAMBUA
Safi sanaSiku zote Chadema inafanya kampeni za kistaarabu
Tufanyeni kampeni za kistaarabu
Haswaaaa dada mkubwaBila kupigana risasi
Nimetoa rai.Kampeni za kistaarabu maana yake nini? Tusiseme kuwa yule mgombea aliyeshindwa kujaza Form ndo Mhalifu no.1 aliyetaka kumwua mgombea wetu?
Imetoka hiyo 😂😂Vipi kuhusu wagombea wetu kuenguliwa ndo imetoka ama kuna nini kinaendelea?