Jamaa kapaniki sana hasira eti hao hata hawajui pesa ziko wapi!? Wala sikukopa nimeyakamua mafisadi (Watanzania!?) Hizi zarau na ubaguzi kwa kuwagawa Watanzania.
 
Hahaha Magufuli kafanya kampeni tangu 2015 peke yake na akina Pole pole na Bashiru.

Waligawa pesa barabarani, leo hawajui hata waanzie wapi?!

Tume ingeweka orodha ya matusi tujifunze, badala yake wanatishia kuengua wagombea.
Hili bila shaka watajibiwa vyema na Lissu leo.
 
Katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu-2020 zinazoendelea njini ni Wagombea 2 wanaochuana vikali ulingoni kwa Tanzania Bara nao ni Rais Magufuli na Tundu Lissu.

Kama kuna mgombea wa Urais anayempa Taabu Sana Rais Magufuli basi ni Tundu Antipas LISSU wa CHADEMA.
Unaposikiliza hoja za Tundu Lissu na ukasiliza hoja za Magufuli, basi Toto Tundu anaonekana yuko Smart zaidi kuliko Magufuli.


Hebu sikiliza hoja hizi za Tundu Lissu kuhusu Uwanja wa ndege wa Chattle na sera za CHADEMA za Uhuru, Haki na Maendeleo.
 
Leo JPM atakuwa biharamulo alipo anzia siasa atapiga kura za haja acha Tundu ashike tu huko kubaya.
 
Ni kweli katiba inampa kivuli hicho lakini haiondoi matumizi ya BUSARA kwa kiongozi mwanasaisa.

**************
Wewe ni Ile sehemu ya kukalia kabisa aisee
 
Ni jambo lililo wazi na lisilopingika kwamba Lissu unahitaji kwenda vijijini kutafuta kura huko. Huko vijijini watu wamepigika kweli kimaisha. Kama ni umasikini wa kipato huko umetamalaki sana. Ukijua kucheza karata yako vizuri naamini utapindua meza asubuhi na mapema. Nenda Lissu! Nendaaa! Nendaaaa! Neeeendaaaaaa!
 
Watu wa DAR ES SALAAM huwa hawajifichi wakiamua kukudharau wala hawakufichi ona huu msafara wa Lissu siku unaenda kwenye uzinduzi wa kampeni MBAGALA ulivyodharaulika na watu wa Dar es salaa hadi unaingia uwanjani njia nzima watu walionyesha kutokujali wala kuwa na habari naye ndio maana akakimbia mji kukimbilia mikoani kwa aibu


LAKINI ona mahudhurio ya uzinduzi hapa chini wa siku ya kwanza ya LOWASSA Dar es salaam 2015 LINGANISHA na hayo ya LISSU hapo juu
Lissu watu wa DAR hawamtaki

 
Mataga mmekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa! Mnahaha sana kadri kampeni zinavyozidi kunoga!

Uzi wa namna hii ni dalili ya kuishiwa na kutafuta kujifariji!

Hujui kwamba kampeni ziko kwa ratiba na NEC ndio wamepanga ratiba?😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…