Nikiri wazi kwamba tangu Tundu Lissu arejee na kupitishwa na tume ya taifa ya uchaguzi ameweza kubadilisha upepo wa siasa hapa nchini.

Nimefuatilia kampeni za CCM na CHADEMA tangu kampeni zianze nimejifunza mambo yafuatayo...
Pesa za ruzuku walipeleka wapi?

Pesa za wabunge kwa ajilii ya uchaguzi zipo wapi?

Kurusha kampeni mbona anaonekana online TV?
 
Ninyi mnaompaka mafuta TAL kwa mgongo wa chupa mna mpango gani naye?

TAL mwenyewe anajua wazi kwamba hawezi kushinda hata nukta moja, ninyi mnamvimbisha kichwa weee kwa kitu kisichowezekana kabisa kwake. Ukitaka kujua haya niyasemayo, nenda vijijini kaulize kama hata anafahamika.

Mwaka 2015 EL na Power na ushawishi mkubwa sana lakini matokeo ya kura kule vijijini yalikuwa kama ifuatavyo:

Kituo A-CCM Kura 312, Chadema 21
Kituo B-CCM Kura 335, Chadema 27
Kituo C- CCM Kura 297, Chadema 12
Kwa hiyo, naomba msimpagawishe TAL kwa kitu kisichowezekana, asije akapata vidonda vya tumbo baada ya kukosa.
 
Ninyi mnaompaka mafuta TAL kwa mgongo wa chupa mna mpango gani naye?
TAL mwenyewe anajua wazi kwamba hawezi kushinda hata nukta moja, ninyi mnamvimbisha kichwa weee kwa kitu kisichowezekana kabisa kwake. Ukitaka kujua haya niyasemayo, nenda vijijini kaulize kama hata anafahamika....
Kama sio lolote msiibe kura muone kama mtatoboa, maana ndio jeuli yenu hiyo
 
Pia noti hii mikutano ya ccm pamoja na wasanii huwa watu wamepooza Ni Kama wamelazimishwa kuwepo pale, pili huwa wakisema wangapi watanipa au punga mikono kwa... Wanaoinua mikono huwa ni wachache, hata umati hauna shamrashamra.

Check mikutano ya Lisu kwanza inajaa bila wasanii, pili huwa imechangamka mwanzo mwisho watu awatawanyimi mapema yaani utamani kumuona Lisu aendelee kuwepo. Mikono asilia 87 uinua wakitakiwa kufanya hivo.
 
Nothing will stop Tundu Lissu to white house
gersonmsigwa_20200916_1.jpg
gersonmsigwa_20200916_2.jpg
gersonmsigwa_20200916_3.jpg

Mpeni salam huyo mkimbizi , hii ni mleba tukielekea Kagera , mwambieni Ikulu ataisikia mdomoni tuu mpak atakaposhuka kaburini
 
Back
Top Bottom