Tafakuri binafsi: Wakati unamhudumia mdada kipesa, ushawahi kutafakari hili

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,699
Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa..

Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma vya hapa na pale, shopping za nguo kila mwezi, unasaidia wadogo zake, sometime hadi unasomesha with a view kwamba baadae aje kuwa mkeo..

Ushawahi jiuliza kama mngebadilishana nafasi za kiuchumi, wewe uwe kapuku na yeye awe anaendesha Gari halafu mkutane njiani, je huyo mdada unaemuhudumia, angekuangalia mara mbili? angeshtuka hata kujua amepishana na mwanaume?

Mke wa gsm angekuwa na hela kama za mumewe, angemfanyia birthday party huyo mumewe?

Naamini mwanaume ni Primary provider wa familia, na anatakiwa ahudumie mke, ila nimewaza tu..

Nimegundua mtu ukitumia logic, ku-enjoy mahusiano ni ngumu
 
Uzi ufungwe
Kiasilia mwanaume ndo anatakiwa awe provider kwenye familia, amhudumie mkewe na watoto kipesa, na mimi nakubaliana na hilo, ila tatizo wanawake wengi hamuwapendi wanaume mlio nao kwenye mahusiano, mko kwenye ndoa ili muukimbie umaskini, wanaume wawape ugali mshibe, siku ziende, ila kiuhalisia hamna hisia na hao wanaume Dejane
 
Wanawake hawawezi hilo, tena ukiwawaza sana utaishia kuwatukana tu, na kupita nao kisha unawaacha hapo Dunia iwakomeshe, hawana shukrani hata kidogo, mtunze utunzavyo, lakini ugua ulale ndani miezi sita na jifanye pesa imeisha uone kama hajakimbilia kwa bwana mwingine, hao hakunaga kitu
 
Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa..

Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma vya hapa na pale, shopping za nguo kila mwezi, unasaidia wadogo zake, sometime hadi unasomesha with a view kwamba baadae aje kuwa mkeo..

Ushawahi jiuliza kama mngebadilishana nafasi za kiuchumi, wewe uwe kapuku na yeye awe anaendesha Gari halafu mkutane njiani, je huyo mdada unaemuhudumia, angekuangalia mara mbili? angeshtuka hata kujua amepishana na mwanaume?

Mke wa gsm angekuwa na hela kama za mumewe, angemfanyia birthday party huyo mumewe?

Naamini mwanaume ni Primary provider wa familia, na anatakiwa ahudumie mke, ila nimewaza tu..

Nimegundua mtu ukitumia logic, ku-enjoy mahusiano ni ngumu
Screenshot_20230722-053856.png
 
Kiasilia mwanaume ndo anatakiwa awe provider kwenye familia, amhudumie mkewe na watoto kipesa, na mimi nakubaliana na hilo, ila tatizo wanawake wengi hamuwapendi wanaume mlio nao kwenye mahusiano, mko kwenye ndoa ili muukimbie umaskini, wanaume wawape ugali mshibe, siku ziende, ila kiuhalisia hamna hisia na hao wanaume Dejane
Pole sana
 
Wanawake hawawezi hilo, tena ukiwawaza sana utaishia kuwatukana tu, na kupita nao kisha unawaacha hapo Dunia iwakomeshe, hawana shuklani hata kidogo, mtunze utunzavyo, lakini ugua ulale ndani miezi sita na jifanye pesa imeisha uone kama hajakimbilia kwa bwana mwingine, hao hakunaga kitu
Pole kwa kukutana na wanawake wa aina hiyo,lkn kuna wanawake wazuri tu na wanajali sana Hasa wakiwa wamependa mtu,japo Hawa ni wachache sana,imagine wapo wanawake wanawapa Hadi Hela.

Wapo pia wanawake wanaoridhika na kidogo wanachopewa na kushukuru,kuna mwanamke anaweza kupewa 5000, na anashukuru japo anajua anayempa ana uwezo mkubwa lkn anaridhika,na kushukuru.

Wakati mwingine wanawake tunajishusha ili tuwaheshimu waume zetu,tunaridhika na tunachopewa na kushukuru,tunaridhika na hali yyte Ile aliyonayo mwanaume,lkn mwisho wa siku tunadharaulika .
 
kwanza kabisa kijiuliza swali kama hilo ni ishara kubwa ya utoto, na kujiona uko sawa na mwanamke,..iko hivi, kwa asili kabisa mwanaume ndio mtafutaji tangu kuumbwa kwa dunia hii, kwangu mm siamini kama mwanamke anaweza kutoboa na kwenda mbali kiuchumi bila ya mkono flani wa mwanaume,.hivyo kufikiria kuhusu pesa ya mwanamke ni kufikiria kuhusu pesa ya mwanaume mwenzio...

...acha kabisa kufikiri kuhusu msaada wa kifedha kutoka kwa MWANAMKE!
 
Kama unajiita mwanaume na hutaki kumpa ela mwanamke ,wewe siyo mwezetu.

Wanaume tunatoa hela kwa wanawake na bado pochi zao tunawabebea vizuri tuu huku tumewashika mkono.

Nb. UTAKI KUMPA MWANAMKE WAKO HELA SISI TUTAKUSAIDIA KUMPA NA TUTAKUCHAPIA
 
Back
Top Bottom