JamiiForums Tanzania
Tafakuri
Tafakuri
❝Je, kama ningezaliwa katika dini nyingine kabisa, nikakulia humo na nikafa nikiwa bado kwenye dini hiyo — je, kwa mujibu wa dini nyingine nitahesabika nimepotea au kwenda motoni?
Na kama Mungu ndiye aliyeniumba, kwa nini tena aje kuniadhibu kwa kitu ambacho mazingira yangu ndiyo...