Mambo makubwa manne ya kutafakari baada ya uteuzi wa leo 20/7/022 wa Camillus Wambura, Sirro na Kingai

Error 404

JF-Expert Member
Jun 21, 2022
781
799
Kufuatia uteuzi wa leo binafsi nimeona kuna mambo Makuu manne ya kutafakari kwa kina na kuanza kufuatilia kwa kina sababu kulikuwa na sintofahamu kuhusu mambo haya .

Sitatoa Maelezo ila kila Great Thinker atatumia akili yake kuona kama kuna ukweli au la Maana watu hawa walihulisika moja kwa moja kudhihilishia Umma mambo haya :-

1. Hamza alikuwa Gaidi kweli na viongozi wametambua mchango wa viongozi wa Jeshi la polisi waliohusika katika kutambua ugaidi wake .

2. Kuna Uwezekano mkubwa Mbowe ni Gaidi ila alisamehewa

3. Kuna uwezekano mkubwa haya mambo ya kutekana ,kuuana ,kushambuliana Hayati JPM Hakuwa ana husika nayo ila Kuna kundi lilikuwa linahusika na yeye alichukulia ni sayansi ya kisiasa tu .

4. Sirro kafanya vizuri sana wizara ya Ndani ndiyo maana kahamishiwa wizara ya Mambo ya Nje .

Ni hayo tu kama kuna mengine tuendelee kufumbuana macho ,Najua vijana wenzangu wa Ufipa watanywea sana .
 
kufuatia uteuzi wa leo binafsi nimeona kuna mambo Makuu manne ya Kutafakari kwa kina na kuanza kufuatilia kwa kina sababu kulikuwa na sintofahamu kuhusu mambo haya .

Sitatoa Maelezo ila kila Great Thinker atatumia akili yake kuona kama kuna ukweli au la Maana watu hawa walihulisika moja kwa moja kudhihilishia Umma mambo haya :-

1.Hamza alikuwa Gaidi kweli na viongozi wametambua mchango wa viongozi wa Jeshi la polisi waliohusika katika kutambua ugaidi wake .

2.Kuna Uwezekano mkubwa Mbowe ni Gaidi ila alisamehewa

3.Kuna uwezekano mkubwa haya mambo ya kutekana ,kuuana ,kushambuliana Hayati JPM Hakuwa ana husika nayo ila Kuna kundi lilikuwa linahusika na yeye alichukulia ni sayansi ya kisiasa tu .

4.Sirro kafanya vizuri sana wizara ya Ndani ndiyo maana kahamishiwa wizara ya Mambo ya Nje .

Kwamba unaamini kuna watu wajinga wa kuwapoteza kwenye hizi porojo zako? Bado unaamini kuna wajinga wa hivyo huku mitandaoni?
 
kufuatia uteuzi wa leo binafsi nimeona kuna mambo Makuu manne ya Kutafakari kwa kina na kuanza kufuatilia kwa kina sababu kulikuwa na sintofahamu kuhusu mambo haya .

Sitatoa Maelezo ila kila Great Thinker atatumia akili yake kuona kama kuna ukweli au la Maana watu hawa walihulisika moja kwa moja kudhihilishia Umma mambo haya :-

1.Hamza alikuwa Gaidi kweli na viongozi wametambua mchango wa viongozi wa Jeshi la polisi waliohusika katika kutambua ugaidi wake .

2.Kuna Uwezekano mkubwa Mbowe ni Gaidi ila alisamehewa

3.Kuna uwezekano mkubwa haya mambo ya kutekana ,kuuana ,kushambuliana Hayati JPM Hakuwa ana husika nayo ila Kuna kundi lilikuwa linahusika na yeye alichukulia ni sayansi ya kisiasa tu .

4.Sirro kafanya vizuri sana wizara ya Ndani ndiyo maana kahamishiwa wizara ya Mambo ya Nje .

Ni hayo tu kama kuna mengine tuendelee kufumbuana macho ,Najua vijana wenzangu wa Ufipa watanywea sana .
MBOWE SIO GAIDI NA WALA HAKUSAMEHEWA
Ni mwehu tu ndio anaweza kusema MBOWE NI GAIDI
 
Sasa uthibitisho wa Wambura kwa Hamza mna ukubali ila Kingai kwa Mbowe mna ukataa
 
CCM ina laana, badala ya kuteua watu wenye weledi kama hawa, unateua Mapaka!🐒🐒🐒
 
Back
Top Bottom