Kwa raha hizi huko peponi walioahidiwa waislamu na mimi naanza kutafakari

Ni vyema kufahamu hivyo hatovipata kila aliyekuwa Muislam, bali Muislam swafi mwenye kutenda mema na kufanya ibada kikamilifu.
Mwenye kuzingatia yale yote yaliyokatazwa, sio rahisi Sheikh!

Hapa tu umeshaanza kutamani hizo ahadi, mitihani mingine utaivuka?
Lakini, karibu katika Uislam.
 
Utapeli wa kidini. Yaani wewe na akili Yako timamu unajua mtu akifa anafufuka. Siyo kweli kabisa. Halafu kusema watapewa mabikra 70 ni mawazo ya kimalaya na wakati dini inapinga uzinzi. Je wenye ukimwi na magonjwa mengine ya kuambikiza itakuwaje. Tuwe na critical thinking na siyo kufuata mkumbo tu
 
Back
Top Bottom