Orodha ya mishahara ya Marais wa Afrika ni jambo la kujiuliza na kutafakari

Mar 15, 2018
26
36
Ni Rais ghani Afrika anayepokea mshahara mkubwa kuliko wote Afrika , kwa mujibu wa mtandao wa Africa business , walichapisha chapisho la viongozi wa Afrika wanaopokea mshahara mrefu kuliko wote, ambapo wengi wa viongozi hao wana utajiri wao binafsi ukiachana na uongozi.

Ambapo kipindi cha uchaguzi viongozi hupelekea kupigana kutokana kugombea nafasi ya uongozi wa nchi kutokana na ukusanyajji wa taarifa mbalimbali ikiwemo CIA WORLD FACTBOOK inaonesha mishahara ya Raisi

Namba moja;
Paul Biya ni Rais wa Cameroon ambapo ameingia madarakani november 1982 hadi sasa ana miaka 88 akipokea Bilioni 1.5 kwa mwaka.
Namba mbili;
Mfalme Mohammed VI wa Moroko aliingia madarakani mwaka 1999 baada ya kifo cha baba ake ambapo kwa mwaka anapokea Bilioni 1.1
Namba tatu;
Cyril Ramaphosa ni rais wa Afrika kusini ambapo ameingaia madarakani 2018 hadi sasa akipokea Milioni 980 kwa mwaka ni miongoni wa matajiri Afrika kusini.
Namba nne;
Uhuru kenyatta ni Rais wa awamu ya nne kenya akipokea milioni 448 kwa mwaka pia akiwa na utajiri unaokadiriwa kufikia Trilioni 1.5
Namba tano;

Yoweri Museveni ni miongoni wa marais walotawala kwa kipindi kirefu Afrika kwa miaka 34 akipokea milioni 427 kwa mwaka.
Namba sita
Rais wa Algeria Abdelmadjid Tebboune akipokea milioni 398 kwa mwaka.
Namba saba
Rais wa Equatorial Guinea Teodoro Obiang Nguema Mbasogo akipokea milioni 356 kwa mwaka.
Namba nane
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akipokea milioni 341 kwa mwaka
Namba Tisa
Rais wa Republic of Congo Denis Sassouakipokea milioni 252 kwa mwaka. Namba Kumi
Rais wa Ivory coast Alassane Ouattara akipokea milioni 233 kwa mwaka

Ni Rais ghani Afrika anayepokea mshahara mkubwa kuliko wote Afrika , kwa mujibu wa mtandao wa Africa business , walichapisha chapisho la viongozi wa Afrika wanaopokea mshahara mrefu kuliko wote, ambapo wengi wa viongozi hao wana utajiri wao binafsi ukiachana na uongozi.
Ambapo kipindi cha uchaguzi viongozi hupelekea kupigana kutokana kugombea nafasi ya uongozi wa nchi kutokana na ukusanyajji wa taarifa mbalimbali ikiwemo CIA WORLD FACTBOOK inaonesha mishahara ya Raisi
Namba moja;
Paul Biya ni Rais wa Cameroon ambapo ameingia madarakani november 1982 hadi sasa ana miaka 88 akipokea Bilioni 1.5 kwa mwaka.
Namba mbili;
Mfalme Mohammed VI wa Moroko aliingia madarakani mwaka 1999 baada ya kifo cha baba ake ambapo kwa mwaka anapokea Bilioni 1.1
Namba tatu;
Cyril Ramaphosa ni rais wa Afrika kusini ambapo ameingaia madarakani 2018 hadi sasa akipokea Milioni 520 kwa mwaka ni miongoni wa matajiri Afrika kusini.
Namba nne;
Uhuru kenyatta ni Rais wa awamu ya nne kenya akipokea milioni 448 kwa mwaka pia akiwa na utajiri unaokadiriwa kufikia Trilioni 1.5
Namba tano;

Yoweri Museveni ni miongoni wa marais walotawala kwa kipindi kirefu Afrika kwa miaka 34 akipokea milioni 427 kwa mwaka.
Namba sita
Rais wa Algeria Abdelmadjid Tebboune akipokea milioni 398 kwa mwaka.
Namba saba
Rais wa Equatorial Guinea Teodoro Obiang Nguema Mbasogo akipokea milioni 356 kwa mwaka.
Namba nane
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akipokea milioni 341 kwa mwaka
Namba Tisa
Rais wa Republic of Congo Denis Sassouakipokea milioni 252 kwa mwaka. Namba Kumi
Rais wa Ivory coast Alassane Ouattara akipokea milioni 233 kwa mwaka

Kwa mwaka au kwa mwezi.sijaelewa bado
 
Back
Top Bottom