Mathayo 19:29
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Andiko lipo wazi waliomfuata watapokea mara 100 peponi
Neno Nyumba hapo linawakilisha mke
Kama ulikuwa...