muda gani

Iskandar Muda (1583? – 27 December 1636) was the twelfth Sulṭān of Acèh Darussalam, under whom the sultanate achieved its greatest territorial extent, and was the strongest power and wealthiest state in the western Indonesian archipelago and the Strait of Malacca. "Iskandar Muda" literally means "young Alexander," and his conquests were often compared to those of Alexander the Great. In addition to his notable conquests, during his reign, Aceh became known as an international centre of Islamic learning and trade. He was the last Sultan of Aceh Sultanate from patrilineal descendant of Ali Mughayat Syah the founder and the first Sultan of Aceh Sultanate. Iskandar Muda's death meant that the founding dynasty of Aceh Sultanate, the House of Meukuta Alam died out and was replaced by other dynasty.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mmasai anayeshutumiwa kumuua Mchina inavutia kimedani. Nipo interested nayo kuona kile jeshi letu litafanikiwa na kwa muda gani

    Habari za jumapili! 1. Wiki kadhaa zilizoisha taarifa za kuuawa mchina zilizagaa mitandaoni. 2. Mshukiwa wa mauaji hayo akiwa ni mtu mmoja ambaye jina lake halikutajwa isipokuwa kabila lake la maasai. Hii ni kusema taarifa inaripotiwa mchina auawa na mmasai. 3. Wamasai ni moja ya Makabila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukipata mtoko ya dharura inakuchukua muda gani kuwa umeshajiandaa?

    Linapokuja suala la kujiandaa kama kupata nguo ya kuvaa, viatu nk. kwa wanaume huwa sio shida sana japo wapo wenye vipingele lakini huwa nafuu ila kwa jinsia Ke, ndio pata shika japo wapo wanaojitahidi. Wanawake mpaka akapate nguo ya kuvaa ni muda hata kama ana kabati 2 za nguo na zote zimejaa...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ukim-beep mwenza wako, atachukua muda gani kabla ya kukupigia?

    Credit ya Video: Jimbo Media
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Pasi hii umedumu nayo kwa muda gani?

    Kuna pasi alafu kuna hii pasi Ya kwako imedumu kwa muda gani?
  5. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania JE WAJUA NI MUDA GANI UNAPASWA KUBADILI OIL FILTER YA GARI YAKO?

    Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change. Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu : Pressure ndogo ya oil Engine kukosa nguvu...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Unabadilisha simu kila baada ya muda gani? Na vipi vipaumbele vyako unavyobadilisha?

    Wakuu. Mimi uwa inachukua miaka miwili au mitatu kubadilisha simu, tukitoa emergency za kupoteza, kuibiwa au kuharibika. Mara zote nanunua used, uwa natafuta flagship ya miaka miwili iliopita napata kwa bei nzuri. Uwa naangalia sana camera, then memory, screen sio ishu, rangi ndio kabisaaa...
  7. Think2

    JamiiForums Tanzania Hivi ukifa sasa hivi kikao cha mirathi kujadili mali zako kitachukua muda gani?

    eti muda gani??
  8. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake. Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
  9. Kumfumaster97

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kozi ya uaskari ni muda gani wakuu isije ikawa napangwa

    Habari za muda hope mko poa Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  11. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuingia serikalini na elimu ya form 4 je muda gani unaweza kuongeza elimu yako

    Mfano umepata kazo ajira portal FORM 4. NA UNA CHET CHA DEGREE ILA HAUJAKIPANDISHA AJIRA PORTAL KUNA UWEZKANO WA KUONGEZEKA CHEO BAADA YA MUDA GANI
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole amjibu Rostam: Ulitaka nikae muda gani CCM ili ndio niwe na uhalali wa kuongea?

    Wakuu, Baada ya kuambiwa kuwa hana uhalali wa kuzungumzia masuala ya CCM maana hana muda mrefu katika chama hicho, Pole pole leo amejotokeza kuhoji kuwa walitaka akae muda gani katika chama hicho ili ndio aweze kukosoa Polepole anasema kuwa kuna wanataka wambague kwa sababu ya hoja ya kutokaa...
  13. Saoka

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kuthibitishwa Kazini?

    Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupiga rangi gari ni kiasi gani na itachukua muda gani ?

    Aina ya Gari ni Toyota Premio Body uya gari ipo fresh kabisa Gari lilikuwa limekaa miaka mitatu bila kutumika, rangi imefubaa. Makadirio ni bei gani, inaweza chukua muda gani, tagadhari, n.k.
  15. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kufanya transfer (kubadili jina la chombo cha moto) pikipiki?

    Mambo vipi Wakuu, Hivi karibuni nilianza kulipia kidogo kidogo kwaajili ya Kununua Pikipiki, kwa hawa watu hapa wapo Mbagala Zakiemu, Mimi nipo mkoa x Nimefanikiwa kulipia kidogo kidogo mpaka kumaliza, ila baada ya kumaliza wanasema kuna process mbili, Moja ni Kuhakiki Miamala (Yaani kuomba bank...
  16. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa huwa anatumia muda gani kuandika mistari yake sio kwa ufikirishi huu

    Heshima yenu wakuu, niende direct kwenye mada. Alizongwa na zimwi aliskika jirani akitoa hoja kwa kijiji, sababu ya kukosa elimu ya maambukizi walihisi kulogwa ndio tafsiri ya gonjwa la ukimwi. Huo ni ugonjwa jamani kama magonjwa mengine alisema mwalimu, Mwenyekiti alifoka na kumwambia kaa...
  17. Zee la michongo

    JamiiForums Tanzania Je inachukua muda gani hadi account kua banned?

    Ukipokea pesa ndefu kutoka nje ya nchi like USA as a remmittance money mfano 100+million TSh . Inaweza chukua muda gani hadi account wakaiban ? Je mtu anaweza fanya someexpenditure kabla hawajaiban? Je unaweza kuspend like 20m then ukareport account? 😁😁 Msije sema bangi wakuu lete...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Nikae muda gani ndo nitumie hii pesa?

    Habari zenu. Nina account mbili za miongoni mwa benki kubwa hapa nchini. Kati ya hizo account mbili ni Moja pekee huwa naitumia mara Kwa mara Kwa kuweka na kutoa pesa. Kuanzia mwezi April mwaka Jana Ile account ambayo siitumii mara Kwa mara imekuwa ikipokea pesa ambazo sijui mtumaji ni nani...
  19. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  20. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Waliopaulia mabati ya Sunda, yanapauka baada ya muda gani? Hayavuji ?

    Mambo vipi maboss, natumai mko poa. Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30. Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada ya muda mfupi? Au kama kuna jirani yako alizitumia, unaweza kunishirikisha uzoefu wake. Nataka...
Back
Top Bottom