ushawahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. an alpha male

    JamiiForums Tanzania Kwanini miungu yazamani ina favoritism?

    NITATUMIA HADITHI YA MUSA NA DAUDI KAMA REFERENCE. Ushawahi kujiuliza kwanini Musa akaua akatoroka, lakini akawa shujaa? Kwanini daudi akazini, akaua, lakini akawa "mtu wa moyo wa mungu"? Au historia huandikwa na washindi? Nikaja kugundua; A. HADITHI ZINA AJENDA Vitabu vya Dini sio CCTV...
  2. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Ushawahi usikia ugonjwa, Bipolar

    Naam maradhi yasiyo ya kuambukizwa yanazidi kuujaza ulimwengu. Kwa kifupi ugonjwa huu ni ile khali ya kubadili hisia kwa ghafla bila kuwa na sababu yeyote ya msingi, Kwa mfano mtu anaweza kupandwa na hasira ghafla ilhali hajakosewa na mtu yeyote, Hali kadhalika mtu huyo huyo anaweza kuwa na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kutana na tangazo gani la biashara lililokuacha katika hali ya mshangao

    Wakuu, katika harakati zetu sisi vijana, hasa upande wa kibiashara, je, ubunifu wa kutengeneza matangazo una athari zozote katika maendeleo ya biashara zetu? Kwa mfano, unakuta baadhi ya watu huweka matangazo yenye vichekesho, na baadhi yao huweza kuvutia wateja na kuwafanya wapendezwe na...
  4. Tundusami

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ushawahi nyandua mwanamke mpaka akaanza kukuhonga hela?

    kuna ile mwanzo wa mapenzi atukatai mwanamke kachukua vichenji vyako kadhaa Asa je umeshawahi kupindua meza unamnyandua mwanamke mpaka anaanza kukuhonga wewe hela?
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kuoa au kuolewa kimasihala??

    Ilikuwaje mpaka ikatokea ukaingia kwenye ndoa bila kukusudia. Wana jei efu mkuye hapa mtuelezee kidogo😅😅😅😅
  6. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kupigwa ban na WhatsApp bila sababu ya msingi?

    Hii December nimepigwa ban mara sita Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban Kurud hiv vitu vikawa vinarecover Kutuma text kidogo ti ban Ban ban Christmas ban Je wewe hii hali ishawahi kukutokea? Ni...
  7. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kuhisi tukio kabla ya kutokea na likatokea? Tuelezane, kwako ilikuwaje?

    Wakati mwingine hisia sio za kupuuzwa. Kuna nyakati unaweza kuwa mahali fulani ukahisi jambo, lakini kwa kujifanya jeuri au kutosikia sauti ya ndani, unajikuta unayapitia yale yale ambayo ulionywa mapema. Kwa kifupi, visa kama hivi vipo vingi sana kwenye maisha ya kila siku. Ngoja nikupe mfano...
  8. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufiwa na watu au mtu ambae ulimpenda sana kiasi ya kwamba haiwezi kupita siku, week au mwezi bila kumuwaza au kumuota?

    Niaje waungwana Ni nature kwa kila binadam kufa au kufiwa. Nikimaanisha kuwa kila mwana JF anaesoma, na asiesoma thread hii including myself tutakufa, tutafiwa au pengine tayari wengine tumeshafiwa. Sasa kwa wale ambao tumeshawahi kufiwa na wapendwa wetu mfano mzazi, mke, mume, mtoto, ndugu au...
  9. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kuwa na ujasiri huu?

    Nimekutana na pisi kali sana hapa chako ni chako Dodoma. Nimeipiga pombe weee,ikazima nimeileta hotel nimeivua nguo zote nikailaza bed. Nimeichezea kwa kuipiga vidole kwenye k yake na kunyonya sana matiti. Hivi sasa ndo imezinduka nimeiambia ijikague kama imeingiliwa kimwili imekiri...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kuchat, ushawahi kutoa boko kama hii?

  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ushawahi pigiwa simu ya nyumbani bila salamu unasikia fanya ufanyavyo anza safari usiku huu fika nyumbani afu anakata simu

  12. Think2

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuipiga kitakatifu? 😁

    Ushawahi kuipiga kitakatifu adi ukimuangalia unabaki unacheka tu sio kwa makelele yale😁😁😁😁
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka unawaza hapo nyuma ulikosea wapi? Part[2]

    https://www.jamiiforums.com/threads/ushawahi-kujichanganya-kimapenzi-mpaka-ukawa-unawaza-hapo-nyuma-ulikosea-wapi.2291358/ Kwema wanafamilia.... Maisha haya hayana mapumziko, hasa hasa sisi wanaume, wanakuambia utapumzika ukifa.... Misukosuko nayo ni sehemu ya maisha hata ujitahidi vipi...
  14. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Umewahi ona Mansion kali ya chini? Check this 6 Bedrooms Call us +255624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTIONNSERVICES CALL/WHATSAP +255624004650
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kufukuzwa au kumfukuza mtu nyumbani kwako kisa umemnyima au kunyiwa mbususa

    Nani kawahi kukutwa na hili jambo kufukuzwa ama alimfukuza mwanamke nyumbani kwake baada ya kunyimwa ngono au wenyewe mnavyoita kizungu sex Kisa changu mimi 👇👇 Kuna Kijana mmoja nimemuwekaga tu kama backup kipindi nikiachwa yeye yupo tu.. huyu nilisoma nae hivyo tulianzaga mahusiano tukiwa...
  16. Mobutu JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Ushawahi mpaka kufikia hatua ya kuchanganikiwa

    Wakuu, Mapenzi ni ugonjwa,Kuna wakati unaweza ukapenda mpaka ukaona Bora watu wote wafe ⚰️ili Dunia yote iwe Yako peke yako Kuna kipindi nilimpenda mdada mmoja hivi black 🖤 ❤️ sana nilikuwa nahsi kama ndipo nimefika,hata kama nikiambiwa mabaya yake hakika nilikuwa naenda kumwambia Nilikuwa...
  17. black-tz

    JamiiForums Tanzania Ushawahi zurura kweny simu yako ukakuta neno "NFC" au watumia infinix okay

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  18. black-tz

    JamiiForums Tanzania Phishing Link ni Nini? Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema: "Tazama nani anakupenda," "Bonyeza upate GB 50 za bure," au "Tazama

    Phishing Link ni Nini? Hivi ushawahi kuona zile link zinakuja WhatsApp zinasema: "Tazama nani anakupenda," "Bonyeza upate GB 50 za bure," au "Tazama nani anakuchukia kwenye group." Zile link nyingi huwa mtego – zinaitwa phishing links. Ni link zinazotengenezwa kuonekana kama halali, lakini...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujisaidia vichakani?

    Me juzi juzi tu hapa nilikua nasafiri,tumbo la kuhara likanishika ghafla..nikapaki ka mkweche kangu pembeni,nikachukua maji niliyokua nimeyanunua kwa ajili ya kunywa nikaingia kichakani nikaendesha wee mpaka nikamaliza,ila muda wote niliokua nimechuchumaa nilikua na mawazo ya itakuaje...
Back
Top Bottom