kuchoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Kuna movies ambazo ni classic kwako. Yani hata kama moja wapo ikiwekwa sasa hivi yani wewe unaiona kama mpya machoni mwako. Hata kama ni ya miaka 50 iliyopita ila bado kwako ni timeless. Zangu ni: 1: Predator 2: Rambo zote 3: Mission impossible zote 4: Sicario part 1 5: Batman: "Batman...
  2. I am Groot

    Kwanini siku hizi watoto wa miaka ya 2000 kuja juu wanaonekana kuzeeka na kuchoka mapema tofauti na umri wao?

    Ukiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao. Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!. Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake wanaowahi kuchoka ni wale wasiotunzwa na kujitunza

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Lugha itakayotumika inaweza Isiwe Rafiki. Hivyo msomaji kama ni una-mood swing haushauriwi kusoma andiko hili. Ipo kasumba ya kuwa Wanawake wanawahi kuzeeka au kuchoka. Jambo ambalo sio Kweli. Kasumba hiyo imewafanya...
  4. R-K-O

    Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

    Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga. Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia. Kufikia Leo Fredi ana miaka 41 huku Recho ana 40, unaweza kuhisi Fred alioa dada yake. Fred ni rafiki yangu, anakiri kwamba...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ngassa: Tutaendelea kutatua kero zenu bila kuchoka

    "... Tuliingia Mkataba nanyi Wananchi kwenye Uchaguzi Mkuu baada ya Chama chetu (CCM) kuinadi Ilani ya uchaguzi kwenu. Mkatupa ridhaa, sasa ni wajibu wetu kutatua kero zinazowakabili bila kuchoka. Tunafanya hivyo ukiwa ni wajibu wetu kikatiba na kisheria ndio maana leo kwenye Kata yenu Tumefanya...
  6. Yofav

    Kujihisi kama umechoka kuishi

    Habari, Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where. Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
  7. mimi mtakatifu

    Jobless mwenzangu, unafanyaje kupata nguvu mpya baada ya akili na mwili kuchoka na mapambano ya utafutaji maisha?

    Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi. Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani. Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha ikiwemo mambo ya kiimani ila bado hupati matokeo. Uvumilivu, kupambana, ubunifu, experience, knowledge...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Fei Toto aliomba kuvunja mkataba baada ya kuchoka manyanyaso

    Aliandika kwa TFF kwamba alichoka manyanyaso mbalimbali kutoka kwa uongozi. Ni mambo ya kusikitisha
  9. Mystery

    Tumsaidie Rais wetu kwa kuwazomea hawa wezi wa Mali ya Umma bila kuchoka

    Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa. Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga? Hivi hizi...
  10. IBRA wa PILI

    Fahamu kisa cha Jasusi John Gweru, Afisa Usalama aliyeikimbia Zimbabwe kwa kuchoka kuua

    Bila Shaka mko poa wakuu yesss twenzetuni uandishi tuvumiliane John gweru alikua Jasusi kutoka nchini Zimbabwe katika shirika la kijasusi la central intelligence organization (CIO). Alikua ni kijana aliependa kufanya kazi za kijasusi bila kujua kama ilikua na kazi ngumu ya ukatili na umwagaji...
  11. MK254

    Wananchi Iran waendelea kuandamana dhidi dhuluma za kidini

    Serikali inaendelea kuua wananchi wake kama jitihada za kumpigania "mungu" na uislamu....japo wananchi wamechachamaa, masuala ya kidini waachiwe kila mmoja ajiamulie, sio mwanamke anauawa kisa kipande cha nywele kimejichomoza. ================== Acity in Iran that was the scene of a bloody...
  12. big dreamer

    Jamani sijajua kuwa hili tatizo au kitu gani, sijui ni kwangu tu au tupo wengi wanaume wa hivi?

    Samahanini kwa kutowasalimia Yani ipo hivi yani hiki kitu kina nitokea sana kwa upande wangu,,,ni hali ambayo nakutana nayo sana unakuta binti niliempenda leo kutoka moyoni baada ya miaka kadhaa et nakuwa simpendi tena kama mwanzo na upendo unapungua kwa asilimia kubwa,,sio kwamba nilimtamani...
  13. Beesmom

    Tunaojihisi kuchoka na kitu fulani tufarijiane

    Najua ni muda wa kaz huu,ila tulikuwa na kaz ya kuhakikiwa Ivo imekwisha mapema sana Leo inategemea na kuwahi kwako(tunahakikiwa Kila Leo🙄). Sasa ni hivi,Kuna muda unajihisi kuchoka na Kila kitu au kitu Fulani.Kwa mfano Mimi nimechoka na 1.Mapenzi(kuwa kwenye mahusiano) 2.Kuongea na watu...
  14. L

    Mwanadamu hukinai kitu kadri anavyoendelea kukitumia

    LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY Kiufupi hii law inaelezea ukinai wa kitu unavyotokea. Kadri mtu anavyokitumia kile kitu kinamfanya akichoke na asikitamani tena. Hii law inaendana na law of diminishing marginal return, tofauti ni kwamba ya marginal return inaelezea upande wa productivity...
Back
Top Bottom