Kwanini siku hizi watoto wa miaka ya 2000 kuja juu wanaonekana kuzeeka na kuchoka mapema tofauti na umri wao?

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,734
10,041
Ukiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao.

Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!.

Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi nyuma.

Shida ni nini jamani?
 
Hili ni janga. nina mdogo wangu tukikatiza mitaa yake wanamwambia naona upo nq mdogo wako
 
Ukiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao.

Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!.

Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi nyuma.

Shida ni nini jamani?
Ukiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao.

Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!.

Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi nyuma.

Shida ni nini jamani?
Wazazi wao ambao ni below 2000 ndio wamewalisha na kuwalea wawe hivyo. Nashangaa sasa wazazi haohao waliolelewa vizuri na wazazi wao (mabibi) leo wamebadilisha malezi na wanashangaa ukuaji ghafla na unenepaji wa ajabu wa watoto wao. Tunavuna tulichopanda, lifestyle ya kizungu
 
Huenda mama zao walitumia sana dawa za uzazi wa mpango mimba zao zikaja kutungwa tayari miili ya mama zao imejaa dawa tele
hili siwezi pinga ni sahh na kingine machanjo yamekuwa mengi, mara pepo punda, sulua, tb joshua, docta muleba, mr pipa, yaan kila aina ya sindano mtoto anapigwa akiwa mchanga tofaut na miaka yetu ukipigwa ndui hapo mazima, now nina miaka 36 lakin hata ndevu sina, nakula vibint tu vya kusoma nikivaaga bukta, nikatanguzana na wanafunz ooh mbona wanafunz ndio wamezeeka, wakuu mtu wa miaka 28 kumuoa mtu wa miaka 16 hakuna changamoto tukiacha mambo ya jera
 
Hayo majina ya chanjo sasa😃😃
 
Mi mwenyewe nipo above 30 lakini wa miaka hiyo ndiyo chakula changu pendwa sababu wana maumbo makubwa kuliko mimi. Mi wananiona kama brazameni fulani hivi. Kwanza sina kitambi, upara wala mvi, ndevu zenyewe zipo chache kidevuni tu. Wamenona wakijipendekeza naruka nao bila aibu
 
Back
Top Bottom