Wanawake wanaowahi kuchoka ni wale wasiotunzwa na kujitunza

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Lugha itakayotumika inaweza Isiwe Rafiki. Hivyo msomaji kama ni una-mood swing haushauriwi kusoma andiko hili.

Ipo kasumba ya kuwa Wanawake wanawahi kuzeeka au kuchoka. Jambo ambalo sio Kweli. Kasumba hiyo imewafanya Wanawake wengi hasa WA kiafrika kuingia katika Utumwa usiomithilika. Watu waonevu na wasohaki wametumia kauli hiyo kama fimbo ya kuwachapia wanawake, lakini ukichunguza na kujiuliza swali hili, je ni kweli Mwanamke anawahi kuchoka au kuzeeka kuliko Sisi wanaume? Jibu ni Hapana.

Physiology ya wanawake ni tofauti na physiology ya sisi wanaume. Wanawake hawana misuli yenye nguvu kama yetu sisi wanaume. Logically, wanawake hawapo mahususi kwa ajili ya kazi ngumu. Kumpa mwanamke kazi ngumu inayohitaji kutumia nguvu ni kumdhalilisha, kumdhulumu na uonevu uliovuka mipaka. Ni ukatili.

Mfano kazi za kubeba zege, kupasua kuni, kubeba vitu vizito, kulima, miongoni mwa kazi zozote zinazohitaji nguvu kubwa. Mwanamke anahitaji atunzwe na ajitunze HASWA kutokana na maumbile yake jinsi yalivyo. Sio udhaifu jinsi alivyo bali zipo Roles za maumbile yake ambapo anaweza akafanya kazi na aka-fit.

Sisemi wanawake wasifanye kazi. Nop! Hata mimi Taikon siwezi ruhusu mke au binti yangu asifanye kazi. Mwanamke afanye kazi lakini sio kazi za kumdhalilisha, kumharibu utu wake kama mwanamke. Mwanamke afanye kazi za nyumbani lakini zisizidi kipimo cha maumbile yake.

SABABU ZINAZOPELEKEA WANAWAKE KUCHOKA NA KUCHAKAA;

a) Kufanyishwa makazi magumu.
Kufanya makazi magumu ambayo hayaendani na maumbile ya Mwanamke hupelekea mke kuchakazwa na kuchoka. Sio kwamba Mwanamke anawahi kuzeeka au kuchakaa nop! Bali anafanyiwa ndivyo sivyo.

b) Kukalishwa muda mrefu bila Kula na kulishwa vyakula visivyo na virutubisho.
Unamkalisha Mkeo au Binti zako masaa matano mpaka sita bila Kula alafu unategemea asikongoroke? Mifumo ya mwili ya mwanamke, homoni zake zinamchango mkubwa katika muonekano wa Mwanamke. Chakula unachompa Mkeo kinaathari katika mifumo na homoni zake.

c) Usafi na urembo Kwa Mwanamke.
Tengeneza mazingira ya uwepo wa maji nyumbani kwako angalau mkeo aoge mara mbili Kwa siku. Nunulia mkeo mafuta mazuri yatakayoifanya ngozi yake ivutie na iwe laini. Sio unaacha mke apake mafuta hata hayaeleweki. Hiyo sio HAKI.

Mwanamke ni fahari ya mume. Watu wataku-judge kwa namna mkeo na watoto wako wanavyoonekana. Mke kuchoka ni dalili mbaya katika maisha ya mwanaume anayejitambua. Ni dalili kuwa mwanaume haujitambui.

d) Mateso ya Kihisia
Physiology ya Saikolojia ya Mwanamke ni nyeti na Jambo muhimu kwake. Maumbile ya kihisia Kwa Mwanamke yanahitaji kutunzwa. Mwanamke akikosa furaha hata umtunze vipi ataonekana kachoka tuu. Usimpige Mkeo.

Usimuumizie kihisia Mkeo Kwa mambo ya usaliti sijui ku-cheat. Hakikisha anakuona wewe ni mwanaume mwaminifu kwake. Hata kama utakuwa unanunua mapomboo hakikisha asijue. Wakati anatumia Akili yake kukuchunguza, wewe tumia akili yako kuonyesha kuwa yupo salama.

Hakuna Jambo linalowakondesha Wanawake kama kuhisi wanasalitiwa. Elewa kuwa Wanawake ni kivuli cha Wanaume. Vile unavyojiona wewe ndivyo Wanawake walivyo. Elewa kuwa Wanawake watakapokukamata na kujihakikishia unam-cheat asilimia 99% lazima wakulipizie.

Yaani kisasi kwao ni uhakika. Asije akakudanganya kuwa amekusamehe. Huo ni Uongo. Ingawaje wapo wachache sana, na kati ya hao wachache kamwe usijesema mkeo ni miongoni mwao.

Tumia Akili zaidi unapodili na hisia za Mkeo kuliko Kutumia nguvu. Kumfokea Mwanamke hakubadilishi chochote Kwa Mkeo zaidi anakuona kama Mwanamke mwenzake kwani unatumia mihemko kudili na issues. Kujifanya unahasira kunamaanisha Jambo moja kubwa nalo ni uwezo mdogo wa kujidhibiti na hiyo itamaanisha kuwa kama huwezi kujidhibiti basi ni wazi huwezi kumdhibiti Mkeo.

Zingatia pia, kushindwa kumkojoza na kuufanya mwili wa Mwanamke ajihisi Mwanamke kunaweza kumchosha Mwanamke na kujikuta akianza kukuchukia, au kufikia maamuzi ya Kutoka nje ya Ndoa, kuuza ubingwa na utawala wako.

Mpendezeshe Mkeo, hiyo ndio image yako Mbele za jamii. Hakikisha anavutia. Hilo ni jukumu lako.
Usiogope kuwa ataku-cheat sijui watamuiba. Huko ni kutokujiamini kama Wanawake wanavyowaza Kwa Waume zao.

Mwanaume unawaza ku-cheatiwa kama Mwanamke bhana! Akiku-cheat unafukuza unatafuta mwingine. Mara nyingi wanaume wanaoogopa ku-cheatiwa ni wale wasiojiamini, na wasio na uwezo Kupata Mwanamke mwingine Bora.

Ukifanya majukumu yako kama mwanaume kwa mkeo, hata wanawake wengine watakuwa wanakutolea udenda, wanataka siku mkeo ajichanganye waingie wao kwenye mema ya ndoa.

Ukishindwa kumtunza mkeo hata wanawake wa nje watashukuru kuwa bora wao hawakuolewa na wewe. Soko lako litakuwa dogo sana. Wanawake wanapenda waume za watu lakini waume wanaowajibika na familia (wake zao). Wanavutiwa na wanaume halisi.

Yaani mtu anaona jinsi ulivyomchakaza mkeo halafu ati unamfuata kuwa unataka kumuoa na yeye, unafikiri atakubali? Nani anataka kuchakazwa na mwanaume asiyejali?

Unasema mkeo hajipendi, au nimchafu ilhali unamchotesha maji na makazi mengi, humnunulii mafuta. Man up Bro. Unachakaza Mkeo alafu unatamani wanawake wa wenzako au binti za watu waliopendezeshwa. Hivi kweli hiyo ni haki?

Tafuta pesa ili umtunze mkeo anayekupenda na unayempenda. Hilo ndio jukumu namba moja katika maisha yako.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
WANAWAKE WANAOWAHI KUCHOKA NI WALE WASIOTUNZWA NA KUJITUNZA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Lugha itakayotumika inaweza Isiwe Rafiki. Hivyo msomaji kama ni una-mood swing haushauriwi kusoma andiko hili.

Ipo kasumba ya kuwa Wanawake wanawahi kuzeeka au kuchoka. Jambo ambalo sio Kweli. Kasumba hiyo imewafanya Wanawake wengi hasa WA kiafrika kuingia katika Utumwa usiomithilika. Watu waonevu na wasohaki wametumia kauli hiyo kama fimbo ya kuwachapia wanawake. Lakini ukichunguza na kujiuliza swali hili, je ni kweli Mwanamke anawahi kuchoka au kuzeeka kuliko Sisi wanaume?

Jibu ni Hapana.

Physiology ya Wanawake ni tofauti na physiology ya Sisi wanaume. Wanawake Hawana misuli yenye nguvu kama yetu Sisi wanaume. Logically, Wanawake hawapo mahususi Kwa ajili ya Kazi ngumu. Kumpa Mwanamke kazi ngumu inayohitaji Kutumia nguvu ni kumdhalilisha, kumdhulumu na uonevu uliovuka mipaka. Ni ukatili.
Mfano kazi za kubeba zege, kupasua kuni, kubeba vitu vizito, kulima, miongoni mwa kazi zozote zinazohitaji nguvu kubwa.

Mwanamke anahitaji atunzwe na ajitunze HASWA Kutokana na maumbile yake jinsi yalivyo. Sio udhaifu jinsi alivyo bali zipo Roles za maumbile yake ambapo anaweza akafanya kazi na aka-fit.

Sisemi Wanawake wasifanye kazi. Nop! Hata Mimi Taikon siwezi ruhusu Mke au Binti yangu asifanye kazi. Mwanamke afanye kazi lakini sio kazi za kumdhalilisha, kumharibu utu wake kama Mwanamke.

Mwanamke afanye kazi za nyumbani lakini zisizidi kipimo cha maumbile yake.

SABABU ZINAZOPELEKEA WANAWAKE KUCHOKA NA KUCHAKAA;
a) Kufanyishwa makazi magumu.
Kufanya makazi magumu ambayo hayaendani na maumbile ya Mwanamke hupelekea mke kuchakazwa na kuchoka.
Sio kwamba Mwanamke anawahi kuzeeka au kuchakaa nop! Bali anafanyiwa ndivyo sivyo.

b) Kukalishwa muda mrefu bila Kula na kulishwa vyakula visivyo na virutubisho.
Unamkalisha Mkeo au Binti zako masaa matano mpaka sita bila Kula alafu unategemea asikongoroke? Mifumo ya mwili ya mwanamke, homoni zake zinamchango mkubwa katika muonekano wa Mwanamke. Chakula unachompa Mkeo kinaathari katika mifumo na homoni zake.

c) Usafi na urembo Kwa Mwanamke.
Tengeneza mazingira ya uwepo wa maji nyumbani kwako angalau Mkeo aoge mara mbili Kwa Siku. Nunulia Mkeo mafuta mazuri yatakayoifanya ngozi yake ivutie na iwe laini.
Sio unaacha mke apake mafuta hata hayaeleweki. Hiyo sio HAKI.

Mwanamke ni fahari ya Mume. Watu wataku-judge Kwa namna Mkeo na watoto wako wanavyoonekana.
MKE kuchoka ni dalili Mbaya katika Maisha ya mwanaume anayejitambua. Ni dalili kuwa Mwanaume haujitambui.

d) Mateso ya Kihisia.
Physiology ya Saikolojia ya Mwanamke ni nyeti na Jambo muhimu kwake. Maumbile ya kihisia Kwa Mwanamke yanahitaji kutunzwa.
Mwanamke akikosa furaha hata umtunze vipi ataonekana kachoka tuu.
Usimpige Mkeo.
Usimuumizie kihisia Mkeo Kwa mambo ya usaliti sijui ku-cheat. Hakikisha anakuona wewe ni Mwanaume mwaminifu kwake.
Hata kama utakuwa unanunua mapomboo hakikisha asijue. Wakati anatumia Akili yake kukuchunguza, wewe tumia Akili yako kuonyesha kuwa yupo sàlama.

Hakuna Jambo linalowakondesha Wanawake kama kuhisi wanasalitiwa.
Elewa kuwa Wanawake ni kivuli cha Wanaume. Vile unavyojiona wewe ndivyo Wanawake walivyo. Elewa kuwa Wanawake watakapokukamata na kujihakikishia unam-cheat asilimia 99% lazima wakulipizie. Yaani kisasi kwao ni uhakika. Asije akakudanganya kuwa amekusamehe. Huo ni Uongo. Ingawaje wapo wachache Sana, na Kati ya hao wachache kamwe usijesema Mkeo ni miongoni mwao.

Tumia Akili zaidi unapodili na hisia za Mkeo kuliko Kutumia nguvu. Kumfokea Mwanamke hakubadilishi chochote Kwa Mkeo zaidi anakuona kama Mwanamke mwenzake kwani unatumia mihemko kudili na issues. Kujifanya unahasira kunamaanisha Jambo moja kubwa nalo ni uwezo mdogo wa kujidhibiti na hiyo itamaanisha kuwa kama huwezi kujidhibiti basi ni wazi huwezi kumdhibiti Mkeo.

Zingatia pia, kushindwa kumkojoza na kuufanya mwili wa Mwanamke ajihisi Mwanamke kunaweza kumchosha Mwanamke na kujikuta akianza kukuchukia, au kufikia maamuzi ya Kutoka nje ya Ndoa, kuuza ubingwa na utawala wako.

Mpendezeshe Mkeo, hiyo ndio image yako Mbele za jamii.
Hakikisha anavutia. Hilo ni jukumu lako.
Usiogope kuwa ataku-cheat sijui watamuiba. Huko ni kutokujiamini kama Wanawake wanavyowaza Kwa Waume zao.
Mwanaume unawaza ku-cheatiwa kama Mwanamke bhana! Akiku-cheat unafukuza unatafuta mwingine. Mara nyingi wanaume wanaoogopa ku-cheatiwa ni wale wasiojiamini, na wasio na uwezo Kupata Mwanamke mwingine Bora.

Ukifanya majukumu yako kama Mwanaume Kwa Mkeo , hata Wanawake wengine watakuwa wanakutolea udenda, wanataka siku Mkeo ajichanganye waingie wao kwenye Mema ya Ndoa.

Ukishindwa kumtunza Mkeo hata Wanawake WA nje watashukuru kuwa Bora wao hawakuolewa na wewe. Solo lako litakuwa Dogo Sana.

Wanawake wanapenda Waume za Watu lakini Waume wanaowajibika na familia(wake zao). Wanavutiwa na wanaume Halisi.

Yaani mtu anaona jinsi ulivyomchakaza Mkeo alafu ATI unamfuata kuwa unataka kumuoa na yeye, unafikiri atakubali? Nani anataka kuchakazwa na Mwanaume asiyejali?

Unasema Mkeo hajipendi, au nimchafu ilhali unamchotesha maji na makazi mengi, humnunulii mafuta. Man up Bro.

Unachakaza Mkeo alafu unatamani Wanawake WA wenzako au Binti za Watu waliopendezeshwa. Hivi kweli hiyo ni HAKI?

Tafuta Pesa ili umtunze Mkeo anayekupenda na unayempenda. Hilo ndio jukumu namba moja katika Maisha yako.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
hivi wanaume wa vijijini wanao tegemea kilimo cha mkono wanapata wapi hamu ya kulala na wale wake zao, kule kijijini huwezi kutofautisha bint na mama wa makamu, wote wamechoka ile mbaya unafikili ni vibibi, wa chafu mili yao imekomaa kama mti wa karitusi, ngonzi ngumu imekauka imeja makovu miguu ina machacha yana chana ata shuka, maji ya shida tena ya chumvi, sijui kama kweli wanaweza kuvutia kimapezi sio kwa muonekano ule.

Utamu wa mke ni ule ulaini wa ngozi yake na hamu yake ya kufanya mapenzi kwa kweli atajishugulikisha kitandani, na utaenjoyi sanaa na furahi, utamu wa ndoa ni mke kubaki homu na kukujianda kwa ajili yako, mke wangu atakuja kufanya hizo kazi za shida labda ni filisike.
 
Jamani 🤔
 
Jamani
 
Well Said Taikon.

Kabisa mwanamke ni matunzo tu ,wapo wanawake wana age 50 lakini kimuonekano kama 30s.
 
Back
Top Bottom