unafanyaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Unapopoteza hukumu unafanyaje wakuu

    Habari wote Kuna dogo katoka kuchukua hukumu akapoteza maeneo ya Mbezi. Hukumu hii ilikuwa kumwondoa msimamizi wao wa mirathi. Baada ya kupiga nkamwomba anipe mda nijee jukwaani kwan kuna procedure gani za kufanya. Baada ya kupotexa alimpigia hakimu akamwambia inabidiii arudi tena Mbeya...
  2. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

    Wakuu, akili imezima Wapangaji hawalipi na niko mbali
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi unafanyaje minadi na watu kama wabongo🤣🤣, mwenyekiti yeye akitoka akafanye mambo yake na akale upepo wa bahari kuuguza majeraha yake.

    Wabongo hamfai, ustadi wenu ni mitungi, kubeti na mikasi tu 🤣🤣 Yani mwamba amekimbiwa na watu kama vile bomu limeanguka pale HQ 🤣🤣
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kumsahau mtu uliyempenda sana unafanyaje?

  5. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

    Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
  6. Braza Kede

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unafanyaje kama mumeo anataka kumfukuza shambaboi wenu wakati wewe mazahausi hautaki shambaboi aondoshwe?

    Baba mwenye nyumba kashakomaa lazma shambaboi asepe kwao wewe lakn wew mazahausi hautaki shambaboi aondoshwe. Huu mtiti unaishaje wakuu?
  7. cold water

    JamiiForums Tanzania Ofisi usipoipenda, unafanyaje?

    Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna, Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya uwinga pale kariakoo haina tofauti na utapeli. Je unafanyaje kuepuka kuuziwa bidhaa kwa bei ghali na hawa vijana wanaojiita mawinga

    Habari zenu Kukua kwa mitandao ya kijamii nako kumeongeza idadi kubwa ya vijana wanaojinasibu kuwa ni mawinga hususani pale katikati ya jiji la Dar-es-salaam, naizungumzia kariakoo. Kariakoo ni alama ya biashara katika nchi ya Tanzania ,ni sehemu yenye maduka mengi sana ya bidhaa mbalimbali...
  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Nini ufanye kama mtu uliye naye kafariki ghafla?

    Hapa tunaongelea kifo cha kawaida au cha asili. Unachukua hatua gani kama mtu uliyenaye kafariki ghafla na wewe ndio upo hapo? Tuelimishane hapa utafanyaje hatua gani, hatua kwa hatua. maana kuna watu huwa wanatoka mbio baada ya matukio kama haya kutokea mahali walipo. Hatuombei mambo haya...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Influencer/brand ambassadors huwa wana ushawishi wa maana kwa watu kununua au kubadilisha bidhaa au huduma fulani?

    Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  12. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje?

    Kuna yule jamaa yako, yeye anakupigia simu tu anapohitaji pesa, ukiona simu yake tu, unajiambia “anahiji pesa”, usipompatia anakasirika. Anakulalamikia sana. Yeye anajua una pesa na utampa. UNAFANYAJE na mtu huyu?
  13. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mabaharia! Umeona manzi umeizimia! Kimwonekano unaona kuimudu ni mziki mnene! Kuweka heshima ya baharia unafanyaje?

    Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material...
  14. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kuishi maisha ya kigeto geto bila kupika?

    Kwa miaka 4 sasa na mwezi mmoja nimeishi bila kujipikia nikila kwa migahawa nfanya hivi kwa maisha haya ya kutojipikia kwa sababu mimi siyo mtu wa kukaa sehemu moja nikatulia hii ni sababu ya mazingira yangu ya utafutaji nakaa sehemu kwa muda mfupi baadae naenda eneo jingine nikiridishe kwenye...
  15. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mashine ya EFD ikileta ujumbe huu call in service unafanyaje?

    Jamani naombeni msaada machine yangu ya efd imeniandikia call in service. Nikitaka kutoa risiti hivyo inachukua muda kutoa
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuhudhuria Art Exhibitions kwenye nchi zingine unapaswa kufanya nini?

    Habarini wanajamvi, Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
  17. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na abiria anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?

    Baadhi ya abiria wamekuwa na tabia hii ya kuchungulia kinachoendelea kwenye simu za majirani zao wanapokuwa kwenye usafiri wa umma bila kujali hawapaswi kufanya hivyo. Ukikutana na abiria kama huyu akiwa anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mkeo lodge wote mnatoka unafanyaje???

    BAHATI HAKUWA MKE WANGU NI MKE WA KAKAYETU MMOJA MAJUZI KATI NILIENDA KUPUMZIKA LODGE MOJA SINZA NIKIWA NATOKA GAFLA NIKAONA NA YEYE KATANGULIZWA MBELE NA JAMAA AKAPANDA CRUISER MOJA MATATAA TULIPOANGALIANA TULIPEANA TU SMILEFACE NKAWAZA SANAA WAKEZETU HAWAA MMMH..MUMEWE N DEREVA WA...
  19. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Hivi huwaga unafanyaje; Pesa ya kodi inakaribia na hauna kitu daaah!

    Kuna mazingira kama haya, umekopa pesa kwa mtu uizungushe ikaferi, matarajio ulipe Kodi, mama mwenye nyumba ulishamuahidi MWEZI WA 10 tarehe 18 unampatia pesa yake leo tarehe 2. Aiseeee na ingebidi MWEZI uliopota umalize deni. Maokoto zero kula kwenyewe kumekuwa kwa tabu saaana, kulala njaa...
  20. Money Penny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

    Haya wanaume mkuje! Imagine kuna mrembo unamfukuzia unampenda Sana, ukapata bahati ya Kuongea naye. Mrembo abakujibu vizuri alafu baadae anakuoga anakwambia, "Haya asante Kaka Kwaheri" Hapo mwamba unafanyaje?
Back
Top Bottom