Hello everyone,
I enjoy watching movies and TV series, but sometimes finding a particular movie or a complete series can be quite difficult, especially when you are looking for content from different countries.
I recently came across Fzmovies, a platform that lets users browse movies, TV shows...
UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa wadau kukutana na kampuni hiyo kujadili changamoto zinazodaiwa kujitokeza katika mfumo mpya wa...
Maoni ya mashabiki yamezuka tena yakimuhusisha muigizaji maarufu JASON STATHAM kuhusu kucheza nafasi ileile mara kwa mara kwenye muvi mbalimbali,miaka hadi miaka.
Hii si mara ya kwanza maoni kama haya kusambaa kwa kasi mtandaoni.
Mwezi Aprili 2017, Jason alionekana kwenye kipindi cha The Jim...
Great 100 action movies to watch this weekend.
1. Mad Max: Fury Road (2015)
2. John Wick (2014)
3. Die Hard (1988)
4. The Dark Knight (2008)
5. Gladiator (2000)
6. The Matrix (1999)
7. Inception (2010)
8. Léon: The Professional (1994)
9. Kill Bill: Vol. 1 (2003)
10. Kill Bill: Vol. 2...
Habari wadau. Nilikuwa natumia hii moviebox ..... Sasa naona hakuna option ya kufownload yaani ni shida. Msaada tafadhali app nzuri... Isiyotumia torrents.... Asante.
Kama fan mkubwa sana wa movies, sometimes inabidi kuangalia genre nyingine out of my favorite genres
Napenda action na horror ila sometimes naangalia genre nyingine na ninaenjoy just fine
Kuna movie niliangalia tu just for fun nikajikuta zinaniacha na huzuni. Ndio hapa naona wamarekani wako...
Africa sijui tutakuja kuamka lini aisee
Unaona viongozi wanapambana sana na Internet linapofika suala la mambo ya msingi mustakabali wa maisha yetu na kutaka haki na utawala bora. Ukweli ni kwamba aidha watake au wasitake hawawezi kupambana na teknolojia. Mwanzo walianzaga hivihivi, wakaanza...
Mtoto anakimbia na mama yake anapigwa shaba anakufa taratibu huku anaona analia mama amka..?
Kijana anakufa taratibu wakati utumbo wote umemwagika nnje??
Watoto wanalia mamayao kafuatwa hadi ndani kapigwa shaba wanalia juu ya damu iliomwagika???
KWASASA SITOANGALIA VIDEO NYINGINE KWA...
Wakuu naombeni mnisaidie application yoyote ile ambayo naweza kudownload movies maana kuna movie au tamthliya naitafuta inaitwa orphan of a nation so nataka niidownload aisee
1: Devil's advocate
Kijana mwanasheria machachali kutoka mji mdogo ana kuwa recruited kwenda kwenye law firm ya kitajiri na anapewa kila kitu ambacho hata aliowakuta hawakuwahi kupewa, lakini anakuja kugundua aliajiriwa na shetani kutetea wafanya makosa ya hatari, kinachofata ni sokomoko.
2...
1: THE GOOD SHEPHERD
Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy...
Ijumaa Kareem!
Kwa wapenzi wa action Movies series za kijasusi basi tafuta hizi kama haujawahi kuziona;
1. The Night Agent
2. The day of Jackal
3. London Gang
4. Mobland
5. King of Jo'burg
6. Unseen
7.
Kula vyuma hivyo alafu uje hapa! Zile mbili za juu ndio muvi za moja kwa moja za vitengo
Unachohitaji ni Internet ya uhakika:
Kwa watumiaji wa android au smart TV, ingia PlayStore, download Lokke.
Ukimaliza, ifungue. Kwenye search, andika vavoo.to
Baada ya hapo, channels kibao zitakuja, endelea kumove. Unaweza kuwa unapitia kwenye sub menu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.