Search results

  1. kidadari

    Nini tofauti ya RPG na Anti-tank missile?

    Naomba kujilishwa tofauti kati ya Rocket Propelled Granade (RPG) na Anti-tank Missile katika uwanja wa vita. Kwa maana katika mwonekano wake ni kama vinnafanana na vinaweza kufanya kazi sawa. Pia tofauti kati ya mizinga na kombora/missile.
  2. kidadari

    Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameamuru jeshi la Urusi kuweka vikosi vyake vya nyuklia katika "tahadhari maalum" - kiwango cha juu cha tahadhari kwa Vikosi vya Kimkakati vya Kombora vya Urusi. Akizungumza na maafisa wakuu wa kijeshi, akiwemo Waziri wa Ulinzi Sergei Shoigu, alisema mataifa ya...
  3. kidadari

    Ukweli kuhusu kampuni ya upimaji na uuzaji wa viwanja ya Cdqlink investment company

    Nimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamelimit coments kiasi wateja hawawezi coments zaidi ya kuwasiliana kwa namba za simu tuu. Kampuni inajitanabaisha kua...
  4. kidadari

    Azam Tv; bei ya Ving'amuzi ni kitanzi kwenu

    Ni ukweli usio na kipingamizi kua king'amuzi cha Azam ni kati ya vingamuzi vinavyopendwa Tanzania na pia nchi kadhaa za Africa Mashariki, lakini bei yake imekua gumzo sana mtaani kiasi cha kuzua maswali je ni nini hasa kinapelekea bei kua kubwa kiasi hicho. Kwa mkoa wa Iringa Mbeya na Njombe...
  5. kidadari

    Naomba ufafanuzi kuhusu Tractors zilizotumila Afrika Kusiniin South Africa

    Kuna makampuni mengi South Africa yanauza matekta na zana za kilimo kwa bei ambayo sio mbaya sana huku yakiwa kwenye ubora mzuri. Kwa wenye ujuzi au waliowahi kununu vip ubora wake upoje na pia kuna changamoto gani kwenye hizo zana za kilimo.?
  6. kidadari

    Tunasubiri mwisho wa Kodi/Tozo ya REA

    Wakati asilimia kubwa ya nchi inakaribia kuunganishwa umeme hasa maeneo ya vijijini ambapo palikua hapajafikiwa kwa asilimia kubwa. Ikumbukwe kodi/tozo ya REA iliwekwa mahsusi kwa ajili ya kusaidia kupatikana kwa fedha za kusambaza umeme vijijini ambapo mpaka sasa zaidi ya 84% ya vijiji vyote...
  7. kidadari

    Scratch kwenye Wasafi Tv ni swaga au ubovu wa mitambo

    Nimekua nafuatilia Wasafi Tv kunakuwepo na scratching kwenye picha kitu ambacho sio kizur kwa watazamaji. Cha ajabu sioni kama jambo linalochukuliwa kwa uzito na Wasafi media. Mpaka najiuliza lile ni tatizo la kiufundi au swagga tuu?
  8. kidadari

    Products from Dodoma wine "DOMPO"

    Binafsi sikujua kua kiwanda cha Dodoma wine kina products nyingi zaidi ya ile pendwa ya DOMPO ambayo ni maarufu sana mtaan. Leo nawaletea picha za baadhi ya product zinazotengenezwa na kiwanda hicho chenye maskani yake mji mkuui wa Binafsi Dodoma Tanzania
  9. kidadari

    HESLB bado hawajatoa VRF kwenye salary slip

    Kuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe. Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt. Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
  10. kidadari

    Baada ya makato ya simu sasa ni bei ya Mbolea

    Wakati wananchi wakipaza sauti kulalamikia tozo za miamala ya simu ambayo imeonekana kua mzigo na maumivu kwa wananchi sasa bei ya mbolea imeenda kupaa isivyo kawaida hivyo kuketa taharuki wa wakulima. Kilimo ndo uti wa Mgongo wa taifa ambapo zaidi ya 70% ya wananchi wanajishughulisha na...
  11. kidadari

    Wazo muhimu na la msingi kuhusu setting ya fire extinguisher kwenye majengo na sehemu za umma

    Nina wazo la jinsi ya kufanya setting za fire extingisher kwenye majengo na sehemu za umma ambazo zinaweza kupatwa na moto au mlipuko kiasi cha kuhitaji hatua za haraka kwenye kuukabili. Nadhan taasisi au idara za Serikali na binafsi zinaweza kufanyia kazi wazo hili ili kuleta ufanisi na sio...
  12. kidadari

    Je, mifuko iliyopo mtaani sio ya plastiki?

    Nimefanya utafiti nikagundua serekali imepiga marufuku mifuko ya plastic maafuku kama "Rambo" au "malboro" lakini kiuhalisia kama hatujatatua tatizo. Iliyopo mtaani ambayo tunaiita "Vifungashio" ila ukweli ni plastic iliyoboreshwa. Inakua disposed kwa kiasi flan lakini haimaanishi kuwa...
  13. kidadari

    Kimya cha Bodi ya Mikopo kuhusu VRF kinaashiria nini?

    Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutangazia kuondolewa kwa tozo iliyokua inaumiza wanufaika wa mkopo hasa Wafanyakazi bado kumekua na kimya kingi kutoka bodi ya mkopo kuhusu maendeleo ya mchakato huo. Bodi walitoa taarifa kua wanarekabisha tozo hiyo kwa kuiondoa pia watahuisha...
  14. kidadari

    Vipi updates za Bodi ya Mikopo (HESLB) kuhusu Value Retention Fee (VRF)?

    Baada ya tamko la Rais kuhusu kufutwa kwa Value Retantion fee iliyokua inalalamikiwa Bodi ya mkopo ilitoa taarifa kuwa wanafanya marekebisho ya taarifa za wanufauka wanaolipa mkopo na kutoa taarifa za kula hatua waliyofikia. Kimya kilichopo kinaonyesha kua yawezekana wanaweza kuja na formula...
  15. kidadari

    Tanzania kuchoma tena vifaranga kutoka Kenya?

    Vifaranga kutoka nchini Kenya vyenye thamani ya Milioni 40 vimekamatwa na mamlaka ya serekali Tanzania bila ya kuwa na vibali halali. Kwa kujibu wa taarifa toka mamlaka husika Tanzania wamesema wataviteketezwa kwa mujibu wa sheria inavyotaka. Japo vifaranga hivyo havijathibitika kuwa na...
  16. kidadari

    Wale tunaowaficha wake zetu mipango yetu tukutane hapa

    Kwenye maisha ya ndoa unatakiwa uwe na akili sana na kufanya maamuzi sometimes magumu ili maisha yaendelee. Kuna wanaoamua kufuata mfumo dume kutokana na aina ya wake zao, wengine mfumo shirikishi umewasaidia wafike mbali kimafanikio. Leo tushirikishane wale walioamua kufuata mfumo dume. Je...
  17. kidadari

    Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya ametengwa au amejitenga na siasa za CCM na s=Serikali

    Waziri mkuu mstaafu Cleopa Msuya imekua nadra sana kumsikia wala kumwona katika shughuli mbali mbali za cha chama na serekali. Tangu nafuatilia siasa enzo za Rais Kikwetu sio mtu wa kuongea wa kushiriki jambo lolote la kitaifa Tofauti na wenzake akina J.S.Warioba, J.S Malecela, E.N Lowassa na...
  18. kidadari

    Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

    Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha. Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa. Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19. Kwa station...
  19. kidadari

    I miss you Nokia C2-00

    Back in 2012 enzi Nokia bado imeshika hatamu.Simu yangu ya kwanza kununua kwa hela yangu 125,000 enzi za MidCom ndo wakala wa Nokia. Simu ilikia na battan smooth and soft kwa wale wanaopenda kuchati haina kelele. Software iko fasts ukitype unachek kwenye screen maneno yanavyojitype very fast...
  20. kidadari

    Niliyekuuzia nyumba yenye mauzauza Bunju nisamehe, sikuwa na jinsi

    Baada ya kuishi kwenye nyumba ya kupanga uswazi yenye kashkash nyingi. Manyanyaso na dhihaka nyingi nikafanikiwa kununua nyumba maeneo ya Bunju na kuhamishia makazi kule. Ukawa mwanzo wa mikosi nyumba hailaliki usiku unasikia watu wanapita koridoni ukifungua hakuna mtu. Mara unasikia watu...
Back
Top Bottom