Nini tofauti ya RPG na Anti-tank missile?

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
Naomba kujilishwa tofauti kati ya Rocket Propelled Granade (RPG) na Anti-tank Missile katika uwanja wa vita.

Kwa maana katika mwonekano wake ni kama vinnafanana na vinaweza kufanya kazi sawa.

Pia tofauti kati ya mizinga na kombora/missile.
 
kwa kifupi tu. Ukisikia Rpg, rocket launcher,missile tofaut kuu ya hivo vitu ni
Range,masafa. Nguvu, moto unaweza kuwa generated ikipiga target, Control ya Uelekeo wa mapigo nk.

Nikisema control ya huelekeo wa mapigo namaamisha kuwa unaweza ku direct missile yako kwa kutumia controlling system, uka feed coordinates zako mchongo unaifata target kwa masafa makubwa. lakini Ukija ktk technology ya RPG, ambapo ile grenade haina system hiii,kama ilivyo risasi ktk Smg, G3,Sar,P90, etc. Yenyewe baruti ikichochewa tu, inalipuka na kurusha bomu lako ktk Uelekeo unao lenga, So ni za masafa mafupi.
 
NGOJA WARUSI WEUSI WAJE WA WAKUJIBU MAANA HUWA WANADHANI URUSI PEKEE NDO ANA SIRAHA ZA KIJESHI BORA.
SIO KILA MMOJA HUWA ANAONESHA ALICHONACHO KATIKA MAGWARIDE UCHWARA
Sio swali langu la msingi mkuu
 
kwa kifupi tu. Ukisikia Rpg, rocket launcher,missile tofaut kuu ya hivo vitu ni
Range,masafa. Nguvu, moto unaweza kuwa generated ikipiga target, Control ya Uelekeo wa mapigo nk.

Nikisema control ya huelekeo wa mapigo namaamisha kuwa unaweza ku direct missile yako kwa kutumia controlling system, uka feed coordinates zako mchongo unaifata target kwa masafa makubwa. lakini Ukija ktk technology ya RPG, ambapo ile grenade haina system hiii,kama ilivyo risasi ktk Smg, G3,Sar,P90, etc. Yenyewe baruti ikichochewa tu, inalipuka na kurusha bomu lako ktk Uelekeo unao lenga, So ni za masafa mafupi.
Nashkuru kwa maelezo yako mkuu nimeelewa .....missiles ni advanced RPG
NA vipi kuhusu mizinga ni nini?
 
kwa kifupi tu. Ukisikia Rpg, rocket launcher,missile tofaut kuu ya hivo vitu ni
Range,masafa. Nguvu, moto unaweza kuwa generated ikipiga target, Control ya Uelekeo wa mapigo nk.

Nikisema control ya huelekeo wa mapigo namaamisha kuwa unaweza ku direct missile yako kwa kutumia controlling system, uka feed coordinates zako mchongo unaifata target kwa masafa makubwa. lakini Ukija ktk technology ya RPG, ambapo ile grenade haina system hiii,kama ilivyo risasi ktk Smg, G3,Sar,P90, etc. Yenyewe baruti ikichochewa tu, inalipuka na kurusha bomu lako ktk Uelekeo unao lenga, So ni za masafa mafupi.
Wewe dogo nimekustikia,wewe ni pot tata muraaaa,napenda sana story za hizi mtabiri kweli.Umeeleza sahihi
 
kwa kifupi tu. Ukisikia Rpg, rocket launcher,missile tofaut kuu ya hivo vitu ni
Range,masafa. Nguvu, moto unaweza kuwa generated ikipiga target, Control ya Uelekeo wa mapigo nk.

Nikisema control ya huelekeo wa mapigo namaamisha kuwa unaweza ku direct missile yako kwa kutumia controlling system, uka feed coordinates zako mchongo unaifata target kwa masafa makubwa. lakini Ukija ktk technology ya RPG, ambapo ile grenade haina system hiii,kama ilivyo risasi ktk Smg, G3,Sar,P90, etc. Yenyewe baruti ikichochewa tu, inalipuka na kurusha bomu lako ktk Uelekeo unao lenga, So ni za masafa mafupi.
Kwa kuongezea, anti-tank missiles zinatumika kushambulia heavily armoured military vehicles. Kuna baadhi ya vehicles mfano APC, huwezi kuidestroy kirahisi na RPG, lazima utumie anti-tank missiles kama vile ALBM, ICBM, AAM etc.
 
Naomba kujilishwa tofauti kati ya Rocket Propelled Granade (RPG) na Anti-tank Missile katika uwanja wa vita.

Kwa maana katika mwonekano wake ni kama vinnafanana na vinaweza kufanya kazi sawa.

Pia tofauti kati ya mizinga na kombora/missile.
Jina linajielezea mbona
RPG- Rocket Propelled Granade (mlipuko unaoendeshwa na rocket)
Ko ant-tank inayotembezwa na rocket ni RPG
Ko NLAW ni RPG
 
Naomba kujilishwa tofauti kati ya Rocket Propelled Granade (RPG) na Anti-tank Missile katika uwanja wa vita.

Kwa maana katika mwonekano wake ni kama vinnafanana na vinaweza kufanya kazi sawa.

Pia tofauti kati ya mizinga na kombora/missile.
Ngoja tuwaulize Warusi na Wayukreni watakuwa na Majibu ya Kutosha kwani kwa sasa Wao ndiyo wanazitumia Kunakotukuka hizi Silaha zako tajwa hapa.
 
Anttank!!! Umeziona za Usa.....
Ni nyepes pia hapo haifki kilo 15

JamiiForums-573535729.jpg
 
Ant tank hizi ni guided missile kuelekea target kwa kutumia system controls ni self propelled.

Na RPG ni shabaha yako tu.

Ant tank ni more advanced na haikosi target Ina moto mkubwa, inakwenda masafa, unaweza ukaipiga toka engo yeyeto na ikalenga target.
 
Back
Top Bottom