kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
Waziri mkuu mstaafu Cleopa Msuya imekua nadra sana kumsikia wala kumwona katika shughuli mbali mbali za cha chama na serekali. Tangu nafuatilia siasa enzo za Rais Kikwetu sio mtu wa kuongea wa kushiriki jambo lolote la kitaifa Tofauti na wenzake akina J.S.Warioba, J.S Malecela, E.N Lowassa na M.K.P.Pinda.
Hata kwenye dhifa kubwa za kitaifa kama sikukuu za uhuru na muungano hayupo, uapisho wa hiongozi wakuu haonekani hata kwenye misiba pia hahudhurii. haonekani wala kuzungumziwa kama mawaziri wakuu wastaafu wenzake. Nini kilimsibu waziri mkuu huyu mstaafu mpaka akawa kimya na kutosikika kabisa kiasi hiki hata kuwe na tukio kubwa kitaifa yeye anapiga kimya tuu.?