ving'amuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Ving'amuzi visivyojulikana tishio kwa DSTV na Azam

    Kuna vifaa vingi vinavyoingia tanzania kwa vile wapo sababu ya kukusanya pesa ndani ya chama ila ndio tatizo. Niliagiza ving'amuzi ambacho unalipa kwa mfumo wa crypto kinafanya channel zote dstv na azam ili mradi tu kuwa na dishi yenye masafa uweelekeo. bado nasisitizia dola tutaisikia mtaani
  2. Marathon day

    Usumbufu wa TRA kwenye kufunga ving'amuzi

    Ndugu wahusika kumekua na usumbufu mkubwa kwa kampuni zilizopewa tenda ya kufunga ving'amuzi kwa magari ya Transit. Bei hazieleweki, mtu akiamka ataviuza kwa 60,000/ siku nyingine mpaka inafika 80,000/ system zake zinasumbua, mda mwingine havisomi kwenye system. Vinaleta usumbufu sana kwa...
  3. B

    LATRA hili la ving'amuzi ni uonevu uliopitiliza

    Kama wenye mabasi hawana udhibiti wala utambuzi wa ufanyaji kazi wa ving'amuzi vya LATRA kwenye magari yao, ni vipi kuwajibishwa wao kwa mapungufu yoyote kwenye vifaa hivi? Bila shaka hawa pamoja na kufungiwa wakiwa wamelipia vibali, kodi, bima na tozo zote husika, faini nzito nzito zitakuwa...
  4. Elli

    Ving'amuzi (speed limit) "ilikuwa" mradi wa kundi dogo la watu (CCM)

    Naomba ku-declare interest kuwa mimi ni mdau wa safari (abiria) wa mara kwa mara 75% nikiwa natumia bus. Niliwahi kuandika kuhusu "uhuni" wa kile kinachoitwa ving'amuzi kwenye mabasi. Leo hii mabasi mengi yaliyosajiliwa kuanzia 2020 hayajafungwa ving'amuzi au vipo na havifanyi kazi! Mabasi...
  5. Nyendo

    Maxence Melo: Hakutakuwa na haja ya visimbuzi vingi tena baada ya miaka 5

    Awali, Mkurugenzi wa JamiiForums aliulizwa swali na mtangazaji wa EATV kuwa, mwaka 2020 alisikika akisema kutakuwa na mawasiliano bila kuhitaji line za simu, mtangazaji akasema inawezekanaje mtu kupata mawasiliano, kulipa bills nk bila kuwa na line za simu? Akijibu swali hilo Mkurugenzi...
  6. James Hadley Chase

    INAUZWA Tangazo kwa wanaohitaji visimbuzi vya Canal+ Sports

    SIFA ZA KING'AMUZI CHA CANAL+ 1. Bei ya decorder pekee ni Tsh 130,000/=, bei ya decorder na dish(complete) ni Tsh 165,000/=. Vyote hivi vitakuwa na kifurushi cha Tsh 40,000/= kwa mwezi mmoja bure. 2. Kupitia hicho kifurushi cha kuanzia utafanikiwa kuangalia mechi za ligi zote kuanzia EPL, La...
  7. Greatest Of All Time

    DStv wadaiwa kupandisha bei za vifurushi kisa tozo

    Wakati tozo za benki zikiwa bado moto, tozo za ving'amuzi inaanza rasmi Septemba 1 kwa Dstv kutangaza gharama mpya ya vifurushi. Hakika hatupumui. PIA SOMA - BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi --- DStv Wapinga na kutoa...
  8. Ituzaingo Argentina

    Naomba kujua bei ya ving'amuzi vya Azam

    Wakuu, natumaini mko poa kabisa! Naomba kujua bei za ving'amuzi vya Azam kwa sasa, vya antena na dish. Naomba pia kujua kama vitapanda bei hivi karibuni?! Ahsanteni.
  9. A

    Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Tanzania ni moja ya nchi ambazo huduma za kununua na kulipia ving'amuzi zinafanyika kwa kasi sana, hasa baada ya ushindani kuongezeka miaka kadhaa nyuma kutoka kampuni moja ambayo ilitawala soko kupata ushindani kutoka kwenye kampuni mpya zilizoanzishwa hasa moja ambayo ukuaji wake umechangiwa...
  10. David Buzzizer

    Naomba kufahamishwa haya kuhusu ving'amuzi vya Azam

    Wakuu habari za saa hizi, Naomba kuuliza, Kati ya king'amuzi cha Azam antenna na King'amuzi cha Azam Dish kipi bora na kizuri? Naona Bei ni tofauti nilitaka kujua nini ambacho hakipo katika antenna na nini ambacho kipo katika Dish.[emoji120][emoji120]
  11. kidadari

    Azam Tv; bei ya Ving'amuzi ni kitanzi kwenu

    Ni ukweli usio na kipingamizi kua king'amuzi cha Azam ni kati ya vingamuzi vinavyopendwa Tanzania na pia nchi kadhaa za Africa Mashariki, lakini bei yake imekua gumzo sana mtaani kiasi cha kuzua maswali je ni nini hasa kinapelekea bei kua kubwa kiasi hicho. Kwa mkoa wa Iringa Mbeya na Njombe...
  12. Planett

    Ving'amuzi navyo vyaanza kupandisha bei za vifurushi

    Yaani kila mtu kwa nafasi yake anatukamua! 2021 I will never forget you [emoji119][emoji119]
  13. A

    Azam TV kwanini mmeamua kipandisha bei ya ving'amuzi vyenu?

    Kwa yeyote anaefaham mantiki ya azam kulazimisha offer ya miezi 3 huku ukiilipia pale unaponunua king'amuzi. Zamani nadhani kwa sehemu nyingi vingamuzi vilikua vyauzwa kwa bei isiyozidi Tsh.150,000 lakini saivi ving'amuzi vyenu vyauzwa mpaka 250,000 huko si kuwaumiza wananchi na wateja wenu...
  14. Shujaa Mwendazake

    Mkurugenzi mkuu LATRA anapaswa kuwa Mhabusu:Tofauti ya gharama za Ving'amuzi TABOA vs TATOA

    "Mkurugenzi mkuu wa LATRA anapaswa kuwa Lockup kueleza inakuwaje Mtoa huduma yuleyule na ving'amuzi ni vilevile, lakini kwenye mabasi ambapo msimamizi ni LATRA gharama anaifanya kuwa ghali mara mbili zaidi ya kwenye Malori bila sababu za msingi kuwekwa wazi ilhali Malori yanakwenda mpaka nje ya...
  15. n00b

    LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

    KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
  16. TheDreamer Thebeliever

    Naomba unieleweshe kuhusu ving'amuzi vya Zuku na Continental

    Habari wadau! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Naomba unieleweshe kuhusu ving'amuzi vya Zuku na Continental kwa wale wazoefu nahitaji kujua kuhusu bei ya kununua vifurishi na channels zilizopo. Asanteni
  17. Evody kamgisha

    Bei za ving'amuzi vya AZAM. Je, ni kukomoa Wananchi au?

    Nimekuwa nikifatilia bei za vingamuzi mbalimbali hapa nchini nimegundua Azam ni moja ya vingamuzi vinavyouzwa kwa bei ya juu kabisa ukilinanisha na watoa huduma wengine nchini. Nimejiuliza maswali mengi kwa nini bei zao ziko juu zaidi mpaka hadi sasa sijapata jibu la uhakikia. Wananchi...
  18. sijaelewa

    Huu mwendo, bado kuna utaratibu wa ving'amuzi vya mabasi?

    Habari wanaJF nipo safarini ndani ya basi fulani ya Njombe, Mmmmhh huo mwendo, unanipa mashaka kama bado kuna utaratibu wa ving'amuzi maana huwa vinalia kila dereva akifika spidi 80 kwa saa. Kwenye hili basi hakuna hata kubeep, mara kutaka kumpita basi mwenzake mara break za ghafla. Nisaidieni...
Back
Top Bottom