wasafi fm

Wasafi Classic Baby (more commonly known as WCB or WCB Wasafi) is a Tanzanian-based record label founded by Tanzanian musician Diamond Platnumz.

View More On Wikipedia.org
  1. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Radio 47: Diamond Platnumz ametumia pesa kutoka CCM kurebrand Wasafi FM

    Mtangazi wa Radio 47 ya Kenya Billy Miya katika kipindi cha Maskani47 amedeai kwamba Msanii wa bongo fleva kutoka hapa Tanzania Diamond Platnumz ametumia pesa kutoka CCM kurebrand Wasafi FM. March 30 Wasafi fm walizindua studio zao baada ya kufanyiw marekebisho makubwa, wengine wakihoji pesa...
  2. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Haji Manara, ajiunga rasmi na WASAFI FM

    Haji Manara amejiunga na WASAFI FM na kuuangana na Oscar Oscar, Edo Kumwembe, na Adela Tilya kwenye kipindi Cha Leo na Jana. Mara baada ya kukaribishwa, ameshaanza kuwa domokaya kiasi cha kutotaka kuwaachia wenzake nafasi ya kuongea huku akijaribu kufanya uchambuzi wa hapa na pale kuhusu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Wasafi FM. Mnachofanya sio utamaduni wa Kitanzania

    Kwa hichi kinachoendelea katika Radio ya Wasafi FM, nawashauri muweze kufunga tu moja Kwa moja hii redio. Haiwezekani Asubuhi watu tumeamka tunawasha radio zetu, ili tupate habari mbalimbali ikiwemo za Magazeti nyie mpo busy mmefungulia nyimbo za hip-hop, nyimbo za night club, nyimbo za kwenye...
  4. Ngareroo

    JamiiForums Tanzania George Ambangile kabla ya Wasafi FM alikuwa wapi? Na elimu hii ya soka kaipata wapi?

    Habari Wakuu..Me ni Shabiki mkubwa wa Basketball,Lakini Pia Nafuatilia sana Soka,,Nakubali Sana Uchambuzi Wa Kimpira Wa Kina, Nasri Khalfan, George Job, Hans Rafael, George Magunga, Farhan Kihamu, Evodius Oscar,Jemedari Said Kazumari, Geof Leah na Derrick Lissu,, Ni Wachambuzi Wazuri Sana...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi Maulid Kitenge na Zembwela siwasikii Wasafi FM, kulikoni?

    Hawa jamaa wa minyama siku hizi siwasikii redioni. Maulid Kitenge yeye namuona yuko busy na jogging tu kila siku. Je, wamefukuzwa au wako likizo?
  6. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
  7. Megalodon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pale Wasafi anayejielewa ni ni Edo tu, CHADEMA wanateswa na denial

    Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga. Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present Moment and realistic: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wapo kwenye DENIAL ya kukubali kuwa Lissu ndio...
  8. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM, wanatupitisha kwenye ulaghai na utapeli wa ujenzi wa Barabara zisizokuwa na tija Tanzania. Je ni mamlaka, Engineers au Rushwa?

    Kwanza niipongeze WASAFI FM, nadhani ndio chombo cha habari huwa wanajadiligi ishu za msingi sana. Ni ngumu sana kwenda nchi za watu kukuta maujenzi ya barabara kila mwaka hususani maeneo ya mjini. Na hata barabara zinazojengwa mjini ndani ya miezi 6 barabara zinakuwa zimeharibika. Je tatizo...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Standard FM ya Singida kuibomoa wasafi Media

    Watu wa Mikoani kama mnavyotuita tumepata Media kubwa kutoka Singida, ambayo Kwa Sasa inakamata pande zote Tanzania Umeajiri watangazaji maarufu na wana vipindi Bora sana Za chini ya kapeti ni kuwa watawang'oa watangazaji muhimu hapa wasafi media hasa timu ya Maulid Kitenge, Diva inasemekana...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zuchu amlipua Diamond na familia yake. Adai kufanyiwa Unyanyasaji na Ukandamizaji, kuiburuza mahakamani Wasafi FM

    Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu, ameandika barua ya wazi kwa Diamond Platnumz akilalamikia unyanyasaji wa mara kwa mara kutoka kwa taasisi yake Wasafi FM, kupitia maudhui ya kipindi cha Mashamsham. Zuchu amesema maudhui hayo yameathiri sanaa na afya yake ya akili, licha ya uwekezaji mkubwa wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Haji Manara Yuko Wasafi FM, Ally Kamwe kaenda Crown FM kwa hasimu wa Haji Jemedari Said, Yanga is very unprofessional

    Cjui wanayanga mumsikilize nani, Manara Yuko Wasafi badala ya kuhamasisha watu waende uwanjani kesho yeye anatamba Simba haitofunga Yanga hadi mwaka 2030, huyu mwenzake naye kavalia bukta na mjezi wa Yanga akiwa na wapambe wake wameingilia Crown FM ambayo Manara hawezi kwenda kwa sababu Yuko...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wenje kaongea utumbo sana Wasafi FM leo

    Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM: Historia ya Bibi Titi...Inaendelea

    https://youtu.be/cc4rPXasbDM?si=xe6F8oUNMEwxRjjc
  14. Leak

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Diva ni mtangazaji haramu, kakengeuka, katuweka kwenye wakati mgumu

    Kwenye maisha haya usisubiri raha kuwajua watu wako wanaokuzunguka bali subiri shida zikupate ndio utawajua watu wanaokuzunguka! Bado nashangaa sana pamoja na madhaifu ya huyu mtangazaji DIva kama walivyo binadamu wengi ni wazi hata kama mtu hampendi au unamchukia lakini linapomkuta tatizo ni...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

    Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili. Amefariki usiku wa leo. --- TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa leo Oktoba 4, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Muhimbili Kwa mujibu wa taarifa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Deborah Fernandez Mavambo na Mchambuzi wa Michezo Wasafi FM Oscar Oscar hawana Undugu kweli kwa wanavyofanana?

    Jamaa wanafanana hadi balaa.
  17. tpaul

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge ameigeuza radio ya Wasafi FM kuwa mali yake, ashawishi wenzake kupotezea habari ya Lissu

    Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu wazazi/walezi wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi. Anayejiita mtangazaji (mimi namuona kama mchekeshaji tu) Maulid Kitenge wa Wasafi FM ameshindwa kuuishi msemo huu wa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  19. Brojust

    JamiiForums Tanzania Wasafi Media na Crown Media kila moja aidha inashabikia Yanga au Simba

    Salaam wanajukwaa, kwa maoni yangu lakini (naomba niwe tayari kurekebishwa na wanaoitwa wajuaji) Naona kabisa WASAFI FM/TV ni YANGA na CROWN FM/TV ni SIMBA. Swali 1; Je, ni permanent marketing strategy za wamiliki ili kupata views na listeners wengi zaidi? Swali 2; Je, ni timing tu na vitu...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

    “Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
Back
Top Bottom