products

Dairy products or milk products are a type of food produced from or containing the milk of mammals, most commonly cattle, water buffaloes, goats, sheep, and camels. Dairy products include food items such as yogurt, cheese and butter. A facility that produces dairy products is known as a dairy, or dairy factory. Dairy products are consumed worldwide, with the exception of most of East and Southeast Asia and parts of central Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Mwenye elimu ya stika hii ya TRA, naomba atueleweshe... mbona bidhaa za Bakhresa Food Products hazina?

    Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe. Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina. Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa...
  2. S

    Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products

    Habari za leo wanajamvi, tunamshukuru Mungu kwa yote anayotutendea. Leo nimekuja kwenu kuuliza kuhusu hizi products zinaitwa Phyto Science products nimefuatwa na ndugu yangu mmoja akinishawishi nizinunue kwa ajili ya matumizi ya Mzee wangu ambae anashida ya kupoteza kumbukumbu. Naomba...
  3. Jamii Opportunities

    Marine Products Value Chain and Value Addition consultant at Mwambao Coastal Community Network

    Position: Marine Products Value Chain and Value Addition consultant Scope of work 1. Background and survey design 6 days 1. Work with key Mwambao programmes leads in order to understand high level information about the communities where we are working and initial information of value chain...
  4. kekule benzene

    Tamu na chungu baada ya kujiunga na forever living products

    Habarini za weekend wakuu, leo nimepitia nyuzi mbalimbali zinazohusu forever living products, nikaamua na Mimi niweze kushare kitu kuhusu hii kampuni. Kwanza nakiri kuwa niliwahi kujiunga na biashara hii na nikadumu kwa miaka miwili tu Kisha nikaacha. Yafuatayo ni miongoni mwa niliyoyapata...
  5. Kilangi masanja

    Anker products special Threads

    Hello wadau habari zenu,nikiwa mdau na mnazi wa kampuni ndogo ndogo zinazochipukia,Nimetumia bidhaa mbili tatu ,ikiwemo charger na pia hizi Bluetooth speaker 🔊 ,nimejikuta naipenda na bei zao ni nzuri Sana. Tujaribu kushea experience hapa ya hizi bidhaa na ufanisi wake au changamoto zozote...
  6. ward41

    US GLOBAL PRODUCTS

    Baadhi ya bidha za Marekani zinazotamba ulimwenguni. . Iphone, Apple Computers, Ndege za Boeing, IBM, Intel, Microsoft, Facebook, Whatsapp, Coca-cola, PepsiCola, Colgate, Haya ukitoa gas na mafuta taja bidha Moja maarufu Duniani inazalishwa Russia
  7. MK254

    Kenya continues to lead in export of meat and meat products, as new Gulf frontier opens

    Did you know that Kenya is a lead exporter of meat and meat products to different destination markets? Yes. Apart from floriculture and horticultural export products that Kenya is widely known for, our Nyama is loved in other countries just as Kenyans love the famous local delicacy Nyama Choma...
  8. A

    Grace Products (Zoa Zoa) yaja na Dawa ya Meno

    Grace Products (Zoa Zoa) yaja na Dawa ya Meno Ile kampuni maarufu Bongo kwa utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za vipodozi, maarufu kwa jina la Zoa Zoa imepiga hatua nyingine mbele kwa kutoa dawa ya Meno iitwayo Zoa Zoa ya Meno. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
  9. Kilangi masanja

    Nitapenda kupokea ushauri kuhusu chapa ya DOVE

    Wadau wa Jamii Forums habari zenu, nimekuja kwenu nikiwa na maswali ila pia nitapenda kupokea ushauri kuhusu chapa tajwa hapo juu. Nimekua nikiona tu hizi bidhaa za hii kampuni ya njiwa (Dove) mitandaon na sehemu mbalimbali. Nataka kujua je, hii chapa ni ya nchi gani kwa asili? Je bidhaa zao...
  10. luangalila

    Trade dispute: Uganda considers ban on Kenyan products

    Naona mzee Mseveni kaona isiwe tabu ajibu mapigo baada ya Kenya kuzuia uingizaji wa mayai, kuku na maziwa toka Uganda. Jaman hii kitu naona ni shida sasa,mchi za EAC zinapaswa kuandaa mfumo mzuri wa ufanyaji biashara pamoja. ==== December 14, 2021 Uganda is considering restricting some of...
  11. MK254

    Kenya has doubled its capacity to handle transit petroleum products to Uganda, Rwanda

    Completion of the new Kipevu Oil Terminal in Mombasa will see Kenya double its capacity to handle transit petroleum products to Uganda, Rwanda and Burundi starting January 2022 from the current 35,000 tonnes. The $385 million terminal can handle up to four vessels at a time compared with the...
  12. Jamii Opportunities

    IT Business Manager – VAS & Products at Airtel Tanzania

    About us Airtel Tanzania PLC is one of the leading providers of telecommunications and mobile money services with operations across Tanzania. Headquartered in Dar es Salaam, Airtel Tanzania ranks amongst the top 3 mobile services providers in Tanzania in terms of subscribers. Airtel Tanzania...
  13. F

    Wananchi wa NMB Bank wanapwaya kwenye kuelimisha wateja kuhusu products zao

    Habari wadau. Kwa zaidi ya mara 1. Nimegundua bank yetu ya makabwela inapwaya sana kwenye training za staff wao. Zamani kidogo Kuna siku nilienda kuprocess refund ya malipo online. Staff wote niliowakuta kila mmoja alikuwa haelewi process zilivyo. Na manager alikuwa ametoka. Ilibidi nimsubiri...
  14. kidadari

    Products from Dodoma wine "DOMPO"

    Binafsi sikujua kua kiwanda cha Dodoma wine kina products nyingi zaidi ya ile pendwa ya DOMPO ambayo ni maarufu sana mtaan. Leo nawaletea picha za baadhi ya product zinazotengenezwa na kiwanda hicho chenye maskani yake mji mkuui wa Binafsi Dodoma Tanzania
  15. noobmaster69

    SoC01 Sexual health: Are male genital enlargement products effective?

    Mbezi, Dar Es Salaam ---- Are you seduced by products that claim to enlarge the male genital? Discover the truth about male enhancement pills, pumps, exercises, and surgeries. The commercialization of male genital enlargement products and procedures is all around us. It is no surprise to learn...
  16. Rutunga M

    Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

    Wadau. Nafikiri mnamkumbuka huyu tatibu aliyekuwa maarufu Jijijini Dar Es salaam hasa miaka ya 2010 hadi 2017 . Huyu mwamba amefariki dunia akiwa katika nyumba ya kulala wageni Jijijini Dodoma na tayari amezikwa Jijini Dar huku kukuiwa na utata wa familia ya mkewe aitwaye Riziki mwenyeji wa...
  17. mzalendo namba moja

    Wale wa home made products, njooni hapa

    Kwa namna maarifa yanavyozidi kuongezeka kuna bidhaa nyingi zinaweza tengenezwa ukiwa nyumbani tu kikubwa ujikusanyie malighafi Kwanza. Mimi binafsi nmejifunza vitu vingi na nisingependa kuwa mbinafsi, naweza kushare baadhi ya maarifa niliyonayo hapa, najua wengi wanajua pia, ukiona yafaa waweza...
Back
Top Bottom