bodi ya mikopo elimu ya juu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwanini viongozi waliothibitika kuiba fedha za umma hawawajibishwi zikarudishwa elimu ya juu nchini ikawa bure?

    Wahitimu waliomaliza elimu ya juu kwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kutwa wanabanwa kurudisha mikopo hiyo wakati wengi wao wanahangaika mtaani bila ajira wala shughuli za kufanya. Wakati ukiangalia upande mwingine kuna ubadhirifu mkubwa unafanywa serikalini, viongozi wanaiba mabilioni kwa...
  2. Ta Muganyizi

    Serikali iingilie kati Suala la Bodi ya Mikopo. Ni Kama wamefanya makusudi maombi yashindikane

    Habari wadau. Naongea na watu wa bodi ya mikopo HESLB. Vijana wetu wanaenda kuomba mikopo kwenye website yao na hakuna msaada. Kwa mfano wamehitaji namba ya NIDA kwa hawa vijana. Baadae wanasema ni lazima Ufanye attachment ya kitambulisho cha NIDA. Watanzania kibao wana namba. Ok basi itokee...
  3. Jamaa Fulani Mjuaji

    Kwanini Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) inaendesha mambo kisiasa?

    Haya ni Maoni Yangu, kwa mtazamo wangu naona Hili swala linaumiza sana watoto wa walala hoi kwanini Bodi ya mikopo Elimu Ya Juu inaendesha mambo yake kwa ahadi za kisiasa sana. Kwenye briefing zao na taarifa ambazo huwa wanazisoma mbele ya media huwa zinajaa mbwembwe sana kuwa tuna hela Tayari...
  4. N

    Bodi ya Mikopo imefuata siasa katika kutoa mikopo na kusababisha matabaka

    Kuna kiini macho kikubwa sana ambacho waTanzania hatujakigundua katika utoaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo. Anayepewa mkopo huo ni Mwanafunzi lakini tathmini ya uhitaji wa kumpatia mkopo Mwanafunzi huyo anafanyiwa mzazi wake. Hii ni sawa na kusema kuwa Mzazi ndiye alipaswa kuomba huo mkopo...
  5. sindano butu

    Tumechoka na urasimu wa Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Leo nimeenda ofisi ya loan board ya chuo kikuu kwenda kudai statement. Nimekuta wanufaika kibao wanalalamika huduma mbovu loan board. Mtu unaenda kudai statement unaambiwa subiri ndani ya siku 7. Sasa nimekuta watu wanalalamika wamekuja kila wiki hawapewi statement na huduma hawapati. Na...
  6. kidadari

    HESLB bado hawajatoa VRF kwenye salary slip

    Kuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe. Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt. Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
  7. MPEKENYELA

    Vipi kuhusu huu mfumo wa HESLB wa kuonesha madeni?

    Samahan wadau, Kumekuwa na link inyosambazwa https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/user/register/repay?t=2 ukiingia inaonyesha deni tofauti na lile lililopo kwenye salary slip kwa wale walioanza kukatwa. Je, hii ina maana gan? Kuna marekebisho tusubiri au huu mfumo hauna correlation na...
  8. kurlzawa

    Serikali na Bodi ya Mikopo (HESLB), naomba ufafanuzi wa utaratibu wa kukata pesa ya mwisho ya kujikimu

    Habari za mda huu wakubwa, Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha Corona sasa napenda kufahamu je safari hii nini kimepeleakea hilo? Je, Rais samia ameamua kuiga...
  9. A

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) kutotoa huduma saa nzima

    Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?
Back
Top Bottom