Search results

  1. The Eric

    Tanasha yule aliyekuwa mwanamke wa diamondplatnumz afanya surgery ya lips.

    Hello jukwaa la celebs Siku za hivi karibuni recently...Mwanamama Socialite wa Kenya Tanasha Dona ambaye ni mwanamziki wa miondoko ya rapper, ambaye alikuwa na mahusiano na msaani maarufu nchini Diamond platnumz vile vile walibahatika kupata mtoto....... Bi dada huyo ametrend kwenye social...
  2. The Eric

    Robert Heriel na Donatila hawa members mnaonaje wakawa couple bora?

    Salaamu wana MMU... Binafsi napendekeza hawa members wawe couples kwa mwaka 2024 kama walivo wale wengine (siwataji mnawajua)......hii ni kutokana na uandishi na style yao ya uandishi.. Usisahau kutaja members unaona bado wana matching kuwa pamoja kutokana na miandiko yao kulandana ideas na...
  3. The Eric

    Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

    Salaam Wakuu Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm. Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni. Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
  4. The Eric

    Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

    Salaam! Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu. Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi...
  5. The Eric

    Nakazia, wasipewe simu kubwa

    Salaam jukwaa la MMU Ni kweli mtoa mada kaongea kishamba kwamba wasipewe simu kubwa ila mimi niko naye bega kwa bega kwa sababu hizi. 1. Hawa wa kutokea kolomije wa darasa la saba sio lazima sana wanavo fika mjini kuwaanzishia simu labda iwe ndogo, kama ni simu kubwa atashika yangu tena kwa...
  6. The Eric

    Fursa za nishati mbadala zitumike, umeme wa shirika kila siku unakatika

    Wenye side B kwenye sola na nishati nyingine hivi sasa ni muda wa kutumia hizo energy. Kama nilipo sasa ivi hakuna umeme washakata kurudi ni jioni au usiku kabisa.
  7. The Eric

    Arusha is over rated kuita watu mabilionea

    Salaam!!! Ukiwa Arusha ni kawaida kusikia mfanyabiashara wa kawaida kuitwa bilionea au utakuta machalii wa chuga wanasema aseee Olutu au Chuwa ni Zimba la kufa mtu yaani ni bilionea wa kuotea mbali baba angu 😅😅😅 Yaani arusha ukimiliki investment yoyote wewe tayari ni bilionea au Zimba...
  8. The Eric

    Wanaume tunaopenda fashion ni rahisi kupoteza ubingwa

    Salaam! Wanaume tuwe makini kwani kizuri kikizidi huwa kibaya. Ushawahi kusikia finite na infinite, chenye mwanzo na mwisho relatively..... Basi tunao penda kuvaa vizuri na kupendeza tuwe na mipaka. Hususani sie wanaume, kwa sababu wakuu vipo vingi venye urembo na urembo ni addiction huvuta...
  9. The Eric

    Unafanya nini kuhakikisha kinywa chako hakitoi harufu mbaya?

    Salaam! Ni njia zipi unatumia kulinda usafi wa kinywa chako na kufanya mdomo usitoe harufu. Kuna kuswaki kila baada ya mlo lakini wakuu imagine unaswaki asubuhi na jioni during day ila tambua kuna ile umepata breakfast then mchana lunch alafu mdomo unabaki bila usafi wa uhakika. Kuna harufu...
  10. The Eric

    Mwanamke usiache kazi kisa mwanaume

    Greetings members and guests!!!!! Napokea malalamiko/Kero/misuguano/sintofahamu n.k kuhusu wanawake kuacha kazi kisa wanaume.... Wadada acheni hizi eti unaacha kazi kisa jamaa kasema acha mwisho wa siku ni kuonewa mpaka kufikishana dawati la jinsia na mahakamani. Kwani nini mnafanya hivo...
  11. The Eric

    Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

    Salaam wote! 1993/1994 nyie kina dada, mama mliozaliwa hapo shaka bila hivi sasa mna 30 years old...... Huku mtaani naona nilipo kama wanaanza kusalimia salimia hivi yaani zile dharau dharau za 2018 zimesha isha isha hivi. Naamini na nyie mnapewa namba bila hata kuomba....😁😁 Sema sasa kuna...
  12. The Eric

    Kwanini unaogopa kupanga vyumba vya laki moja kuendelea au nyumba nzima?

    Salaam.... Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima. Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha. Wewe ni Graduate au...
  13. The Eric

    Tanga Pazuri Sana Sema Sijui kwa Nini Pako Vile

    Salaam wote: Tanga ni moja ya mikoa mizuri sana kuliko hata Arusha na Kilimanjaro iliyopo jirani na Tanga yenyewe. Nazungumzia hali ya hewa na mazingira masafi, Tanga wapenda usafi, nikisema Pazuri naamanisha Mazingira. Watu wa kutokea Tanga ni wakarimu na wastaarabu kwani wengi wao ni...
  14. The Eric

    Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

    Salaam! Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa. Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada. Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni. 1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
  15. The Eric

    Kwanini kijana wa kiume ukisema kuna hela naisikilizia huaminiki?

    Salaam! Hivi kwanini wakuu watu siku hizi ukiwaambia kuna hela nasikilizia hapa au kuna mishe naisikilizia hapa wanaona kama kijana analeta janja janja 😅😅😅 Tena ukitaka uachane na demu akuombe pesa afu umjibu kuna mishe nasikilizia hapa itiki ✅ ✔ yaani ile ikitiki nitakusanua, huyo demu lazima...
  16. The Eric

    Hivi kuna mtu alishawahi kuwa na uhusiano na kiumbe jini

    Salaam wote! Nimeaona sio vibaya nikawashirikisha hili wakuu daah, maisha ya duniani kama huyajui unaweza dhania unayajua kumbe kuna vingi vitu huvijui. hata ule chumvi nyingi lakini vipo bado vingi hutakuwa huvifahamu. Hawa viumbe tunawasikia wanaitwa majini wapo lakini mara nyingi...
  17. The Eric

    Ukikutana na demu mkali ghafla anakuwa Maskini kwako

    😁😁😁 Salaam jukwaa la MMU, Nimeanza na kucheka maana demu unakutana naye mchana eti hajala, demu wa hivi ungekutana naye asubuhi si angeomba mswaki? Yaani kisa ukali wake anajeuka kuwa yatima, huwa inakuwaje kwa hawa mabinti. Tafiti zinaonesha wengi huwa ni 20 to 27 Aged ndiyo wana hizo pigo...
  18. The Eric

    Wanawake jishughulisheni na mridhike na vipato vyenu

    Halo wanawake, Jishughulisheni wanawake na pia unachokipata wewe mwanamke ridhika nacho. Mtoto wa kike usipotulia zitakazoumia ni sehemu zako za siri. Hii ni taarifa fupi.
  19. The Eric

    Wanawake jifunzeni kumove on

    Haloo jukwaa la MMU.... Ngoja leo nitetee hawa malaika a.k.a maua a.k.a wanawake kuna swala fulani kwenye gender sijui niseme sisi wanaume hatufanyi sawa kwao. Hivi inawezekana vipi mwanamke akosee umpeleke kanisani hadi umuitie wazazi kisa kachepuka na umemfuma red handed afu wewe mwanaume...
  20. The Eric

    Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

    90% ya wanawake huwa wanakuwa single mwanaume akiwa na mtonyo. Taarifa fupi ni hii.
Back
Top Bottom