mabilionea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo mbona hata kwenye orodha ya mabilionea wa Africa hayupo ?

    Hii hapa ni orodha ya matajiri wa Africa mwaka 2026, mbona huyu jamaa hayupo kwenye hii orodha na alitamba na kujulikana kama bilionea?
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

    Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi. Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA AKUZA MABILIONEA WAPYA WAZAWA

    Serikali chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira ya kuwawezesha Watanzania, hususan vijana, kunufaika zaidi na fursa za kiuchumi. Baada ya msukumo katika sekta ya ujenzi na manunuzi ya umma, sasa mkazo unaelekezwa pia kwenye sekta ya madini, kwa kuhimiza ushiriki...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea watanzania kupitia madini

    DKT. MWIGULU: TUTENGENEZE MABILIONEA WATANZANIA KUPITIA MADINI ▪️Awataka vijana kuchangamkia fursa ▪️Aagiza leseni zisizoendelezwa zipewe vijana WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri wa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabia ya Mussa utayaona ya Mabilionea wa Kitanzania wakichangia Bilioni 10 kwenye Siasa, lakini siyo misikitini na kwa yatima

    Kuna msemo wa Kiswahili unaosema, "Ukistaajabia ya Musa, utayaona ya Firauni." Leo msemo huu unaonekana kupata tafsiri mpya katika jamii yetu. Tumeshuhudia taarifa za wafanyabiashara na mabilionea wakitoa michango ya mabilioni ya shilingi kwa shughuli za vyama vya siasa. Kisheria, mtu au...
  6. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wa Dar wawajibu mabilionea wa katoro kwa mbwembwe.

    Baada ya bilionea mstaarabu wa Katoro Kahama Sylvester Buyamba na wenzake kuvunja Internet kwenye send off ya kufukuru na kutetemesha mitandao ya kijamii Africa mashariki, kati, kusini hadi magharibi huko, nakuwashikisha adabu mabilionea uchwara wa Dar nao eti wamewajibu kwa style ya ajabu na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wasukuma wamebarikiwa ardhi zenye utajiri ila wamechelewa kuamka, tunayoona kwa sasa ni mwanzo tu, tutegemee mabilionea wengi sana wa Kisukuma

    Kahama, Geita, Katoro, Mwadui na sehemu nyinginezo kuna utajiri mkubwa sana wa madini, kwa miaka mingi sana wanufaika walikuwa wageni hasa nchi za nje lakini kwa sasa wasukuma wameanza kuamka na kujitosa kwenye fursa hizi. Na sio huko tu kwao, sikuhizi hata uende migodi kama ya Chunya, Mbeya...
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania Kama kupata hela ni rahisi kiasi hicho, watu wote wangekuwa mabilionea, Shtuka!

    Mtu anae bet always anakuwa na pressure na msongo wa mawazo Bora hizo buku buku uzichange upate mtaji..ufungue ata genge la kuuza nyanya.
  9. bless on

    JamiiForums Tanzania Siri 3 za Mabilionea Kukwepa Kodi Kisheria

    Kuna utofauti mkubwa sana kati ya kuwa maskini, kuwa mtu wa kipato cha kati, na kuwa billionaire. Mfanyakazi wa kawaida wa kila siku anayeamka asubuhi kwenda kupambana chini ya jua akipata mshahara au faida ya duka, serikali inakata kodi yake kabla hata hajaigusa. Lakini matajiri wakubwa duniani...
  10. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Mabilionea wa bongo wana mbwembwe

    Chini hapo kwenye picha ni bilionea nchini anayekuja kwa kasi sana Dr Ibra Chenza PhD anajihusisha na online marketing. Ana resort yake kafungua huko Rufiji inaitwa Oviedo. Sasa cheki hizo mbwembwe hata Elon Musk hana.
  11. Girland

    JamiiForums Tanzania Jinsi Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  12. Girland

    JamiiForums Tanzania SIRI-JINSI Aliko Dangote Alivyofanikiwa Kujenga Dangote Refinery na Nguvu ya Mtandao wa Mabilionea wa Nigeria

    Ujenzi wa Dangote Refinery si tu hadithi ya uwekezaji mkubwa—ni somo la kimkakati kuhusu uthubutu, mtaji, na nguvu ya mahusiano ya kifedha (financial networks). Mradi huu wenye thamani ya takriban dola bilioni 18–20 uligeuka kuwa refinery kubwa zaidi Afrika, lakini nyuma yake kuna simulizi la...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Tamasha la Miss Tanzania: Kuna wasanii wataenda kuwa Mabilionea

    Baada ya Tamasha hili, Kuna uwezekano mkubwa Muandaaji akafunguliwa kesi ya madai ya Mabilionea kwa kutumia nyimbo za wasanii katika Tamasha la Biashara endapo idhini yao haikupatikana. Nipo pale Tusubiri tuone panapovuja wapi
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabilionea wa PI?

    Vijana wa PI wamekua wapole sana sjawaskia mda mrefu
  15. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Mabilionea Chipukizi (2021-2035)

    1. Angela Kiziga 2. Elvis Kilango 3. Babalevo. 4. ZitoKabwe 5. Mbowe, Aikael, Slaveman 6. Hashim Rungwe. 7. Salum Mwalimu. 8. Moh'd Mchenjerwa, 9. Duly boy.
  16. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania wanasiasa wengi ni mabilionea wana ukwasi ambao hata Bakhressa na Mo wafanye biashara miaka miamoja hawawezi kuwafikia

    Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki . Ila wamechagua njia ya Ku-play low key . Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao. Hakikisha October Una-tiki√
  17. W

    JamiiForums Tanzania Elimu ya darasa la saba inatosha kwenye biashara za uchuuzi, sioni haja ya kusomea hadi chuo wakati kuna mabilionea wengi std 7

    Uchuuzi ni biashara inayohitaji basi knowledge ya kujua gharama ya kununua, kuuza na faida, sio complicated kama kununua hisa, kufungua kampuni ya bima, kufungua shule, n.k. Nunua chupi 200 uza 300 faida 100 Nunua kreti lasoda 13,000 uza 15,000 nunua simu elfu 70 uza laki 2 Biashara...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu vijana wawili mabilionea wanaofahamika kwa kutoa motisha ya maendeleo mitandaoni (Motivational speaking) wanaswa Dubai kwa ulanguzi wa Cocaine

    Ndugu wawili vijana waliojipatia umaarufu mtandaoni Tiktok kwa kuishi maisha ya kibilionea na wakitoa motisha kwa vijana wengine kupambana wakamatwa Dubai na Cocaine.
  19. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Wajumbe MMK Chadema kuwa Mabilionea kuelekea January 21

    Napenda niwaoenyezee tu... Mbughi ya Uenyekiti CDM sio siasa ya kawaida, ni kama kudai uhuru mwaka 1961. Ni vita kubwa ya siasa niliyowahi kuiona toka siasa za vyama vingi nchini Mwaka 1995. Mikakati ya kumchomoa Mbowe sio ya kitoto huko Clubhouse na whatsap groups, Bahati nzuri sana ni...
  20. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Dancing ingelipa kiasi hiki basi Moze Iyobo na Angel Nyigu wangekuwa mabilionea

    Tuache masikhara na maisha, watu wamecheza sana kiasi kwamba huyu anayejiita Chino kid hafiki hata nusu, hata akisema anaimba, watu wameimba sana, kina Jay melody, Ray vanny mwenyewe mpaka kufikia hapo ameshasota sana na hajapata mafanikio ya ghafla na haraka, amefanya mziki tukiwa tunamuona...
Back
Top Bottom