kijana wa kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiume, Njoo Tuzungumze Kiume

    Kuna kosa ambalo vijana wengi huwa tunalifanya tunapoanza mahusiano. Tunakutana na msichana leo, kesho tayari tunaanza kuishi kama mume na mke kiakili. Kila muda ni simu hasa nyakati za usiku,video calls, passwords za mitandao ya kijamii tunabadilishana,tunaanza na mipango ya majina ya watoto...
  2. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania KIJANA WA KIUME KUNYENYEKEA AJIRA NI UCHAWA.

    "Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kiwastani (16-35), kijana wa kiume ana miaka 19 ya kutengeneza mustakabari maisha yake utakavyo kuwa. Safari hii sio rahisi kwa kweli

    Uraibu Unemployment Kufirisika Msongo wa mawazo Gharama za maisha Magonjwa ya muda mrefu Mke mwenye majaribu Kutegemewa na nduguzo mapema Mtaji mdogo
  4. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar. Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
  5. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume, yaangalie mahusiano kwa mtazamo wa kibiashara

    Wengi wenu humu ndani tayari mna ule uzoefu. Unaombwa kitu/msaada na mwanamke halafu unamkatalia labda sababu hautaki au hauwezi kumsadia kwa wakati huo. Baada ya hapa mwanamke anakughost na kukata mara moja ule urafiki/ukaribu wenu. Jaribu kuvuta kumbukumbu wanawake wote waliowahi kukuomba...
  6. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Maisha mazuri ni lazima, ewe kijana wa kiume set standards zako kisha ishi

    Salaam jamiiforum forum. Kwa wakristo wenzangu , hususan Roman katoliki,Leo ni Alhamisi kuu, Ni bado saa chache tu mkombozi wetu aanze kupitia maumivu. Kwani tayari Yuda ana Vipande thelathini vya pesa. Kwa pesa ya Leo kibongobongo unaweza kuta ni milioni 300😂 maana kuuza roho ya mtu Kwa Kwa...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Maisha yanaenda kasi sana, leo hii mabinti wanafundishwa cat walk plus malingo na kijana wa kiume

  8. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume acha kabisa story na wanawake kama huna nia ya kuwala

    Nisiwachoshe Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka. Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume...
  9. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

    Wadau Habari, Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa. Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio...
  10. Tembele

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiume wa kuuza Duka -Hardware

    NAFASI YA KAZI Anatafutwa Kijana wa Kiume wa kuuza duka -Hardware (tarehe ya mwisho 15/7/2025). SIFA 🔹Awe amemaliza Kidato cha 4 🔹ANAEJUA HESABU 🔹Umri miaka 20 au zaidi 🔹ANAEISHI MADALE, WAZO, KULANGWA au maeneo jirani. 🔹Mwenye uzoefu atapewa kipaumbele. 🔹Muombaji atume maelezo mafupi...
  11. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

    1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume. Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex. Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23. Mwanamke ambae ni agemate wako...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Mambo Ambayo Hutofundishwa Shuleni: Ukweli Kila Kijana wa Kiume Anapaswa Kujua ni kwamba hakuna anayekuja kukuokoa!

    Maisha si hadithi ya kufurahisha. Si tamthilia ya kihisia unayoweza kufurahia kwa mbali huku ukiamini kuwa mambo mazuri yatakujia bila jitihada. Kila kijana wa kiume anapaswa kukabiliana na ukweli huu wa maisha—kwa maana usipoukabili, utabaki kuwa dhaifu, usiyejiweza, na mnyonge kwa njia...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya vijana kukataa ndoa ni matokeo ya kumtenga mtoto wa kiume katika malezi

    1️⃣ Tumeshuhudia ongezeko la vijana wa kiume wanaokataa ndoa au kuikwepa. Hili si jambo la bahati mbaya, bali ni matokeo ya malezi yaliyomwacha mtoto wa kiume bila mwongozo wa kutosha. 2️⃣ Kwa miaka mingi, harakati za kumwinua mwanamke zilihamasisha elimu, ajira, na haki za wanawake, jambo...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

    Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:- Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.k Elewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu...
  16. Mla Bata

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa kijana wa kiume (20's)

    Wasalaam, (Maalumu kwa kijana wa kiume kati ya umri wa miaka 20-30) Kwako mpendwa kijana wa kiume. Inaweza hii ikawa si mara ya kwanza kuona nyuzi za namna hii au zenye kufanana na hii kukuzungumzia wewe kijana wa kiume, hii ni kukukumbusha kuwa....Ni rahisi kuzaliwa na jinsia ya kiume ila...
  17. Chibule

    JamiiForums Tanzania Kosa gani kijana wa Kiume au Kike hatakiwi kulifanya? Toa ushauri

    Wakuu tushauriane hapa. Kama Mwanaume , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Mvulana Asirudie. Kama mwanamke , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Msichana Asirudie.
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni nini chanzo cha kijana wa kiume kusuka ama kuvaa hereni?

    Nyakati hizi ni kawaida kumuona kijana wa kiume akiwa amesuka ama kuvaa hereni. Zamani tulikuwa tukiwaona wasanii ndio walikuwa wakivaa hivyo labda lengo likiwa ni kutaka kujitofautisha na wasio wasanii. Lakini bado kulikuwa na maswali ya kujiuliza. Leo hii ata wasio wasanii, ni kawaida kabisa...
  19. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

    Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa. Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa...
  20. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Una ushauri gani kwa kijana wa kiume aliyopo umri wa 18-29.

    Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia. Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi. Mwaga sumu kwenye...
Back
Top Bottom