ni rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Sema watanzania ni rahisi sana kudanganyika. Sasa Kanali wa NATO ndiyo nini?

    Watu wako Kanali wa NATO Kanali wa NATO! Unaweza kudhani wanatania kumbe ndiyo wameishaamini hivyo. NATO ina Kanali na jeshi tokea lini? Sijui ni Gen Z hawa ambao hawakusikiliza Dochivele ndiyo weupe hivi kichwani? Anyway, salama iwe na Polepole.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara na Kilimo ni Rahisi Ukiwa Unasimuliwa

    Huwa kuna stori nyingi ambazo sio halisia au tuseme wanaosimulia wanaongeza chumvi nyingi lakini inapokuja kwenye uhalisia mambo yanakuwa tofauti kwa muhusika. Embu tukumbushane wakuu tuliyopitia kwenye biashara na kilimo katika harakati za kujikwamua kiuchumi. Kuna wale waliambiwa ukilima...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  4. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Kupata mtoto ni rahisi kuliko kupata ajira

    ANAANDIKA BICHWA KOMWE 👌 Katika hii jamhuri yetu, na hata kwingine kokote nje ya Tanganyika, ni ukweli ulio wazi kwamba, kupata mtoto ni rahisi sana kuliko kupata ajira ya Tamisemi. Watu wengi hudhani kwamba kupata mtoto inahitaji mikito mingi au kujitutumua na pampu nyingi, LA HASHA...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Android Smartphones: Nazipenda sana Samsung lakini nalazimika kuichagua Pixel sababu ya kamera kali na size ndogo ya kuenea kirahisi kiganjani.

    N:B: Simu ndogo zisizozidi 6.3' (Mifano Pixel 9, 10, 11 Pro na Samsung plain S 24, 25, 26) Mfano Pixel 9 Pro, 10 Pro na 11 Pro zimenivutia sana kwa sababu zina size ndogo ya 6.3" ambayo ni rahisi kushika mkononi, lakini zaidi ya hapo zinakuja na camera kali sana 📸🔥. Ukilinganisha na S25 na S26...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo ni rahisi kuambukizwa kifua kikuu (TB)

    Nchini Tanzania, mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa na maambukizi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) mara nyingi hujumuisha maeneo yenye idadi kubwa ya watu na shughuli nyingi za kiuchumi. Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza kwa asilimia kubwa zaidi ikifuatiwa na mikoa mingine...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuwateka akili wa Tanzania ukiwaambia mambo ambayo masikio yao yanataka kusikia

    Ni rahisi kuwateka akili wa Tanzania ukiwaambia mambo ambayo masikio yao yanataka kusikia na ndioomaana Mitume na manabii uchwara wanafanikiwa sana wameshaijua code ya kuchezanayo
  8. Labani og

    JamiiForums Tanzania Je Kuna timu ni rahisi kuiongoza kama Simba?

    Baada ya kufanya research Kwa muda mrefu nimekuja ku conclude kuwa hakuna timu rahisi kuiongoza kama Simba since mashabiki ni (mbumbumbu) sorry nmekosa tafsiri sahihi Mangungu anahojiwa baada ya kukosa ubingwa yeye anajibu kuwa kwenye ligi hakuna fairness ....je alikuwa wapi ku take action...
  9. masai dada

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi mno kutoboa biashara ambayo una ujuzi,hobby,taaluma sawia

    kuna siku moja mtu aliniuliza unapenda kitu gani mbali na kazi yako kukifanya kutengeneza pesa bila kupepesa macho nikasema kupika, kuna uzi flani hapa jf ulianzishwaga nyakati za nyuma kidogo ,sikumbuki title ila nilicoment nikasema unaweza ukatengeneza brand yako hata ya chips tu ni swala la...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanywaji wengi wanapenda Serengeti Lager ndogo wakati kubwa ni rahisi zaidi?

    Hapa nilipo Serengeti Lager kubwa na ndogo zoto ni bei mmoja Tsh2500 ila ndogo ndio zinatembea zaidi, wanaokunywa kubwa wanahesabika!
  11. H r n

    JamiiForums Tanzania Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa

    Kuwaambia wengine move on ni rahisi sasa ngoja yakushenyete sasa 😀😀😀💔🙌 Call it love.
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumvua nguo za ndani huwa ni rahisi na fasta sana, lakini tendo la kumvalisha husahaulika kabisa baada ya mgegedo?

    nini siri ya hali hiyo ya kipekee muwapo faragha na mwenzi wako hasa wa mara ya kwanza? Eti wanaume, kulikoni unaingia faragha na mwenzi wako huku ukimuharakisha achojoe nguo zake na wewe ukikimbilia zaidi kuvua pichu? ni nini huchochea hali hiyo? Na ni kitu gani kinakufanya usimvalishe baada...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa Tanzania ni rahisi sana kuamini utapeli wa forex trading?

    Imenishangaza sana kuona kwa Tanzania YouTube Podcasts za kitapeli za forex trading ndizo zinakimbiza kwa views!
  14. PSEUDOPODIA

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na uwezo mdogo wa kufikiri (kilaza) ni rahisi sana kudanganywa

    Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi kulikuwa na dogo mmoja kwao mambo safi sana. Dogo alikiwa anakuja shule na hela kibao kaiba kwao, tulikuwa tunamdanganya tu dogo anatuchotea mihela. Mfano mimi kuna peni nilinunua shilingi mia tano ukiandika inawaka taa, dogo akaipenda nilimuuzia elf 85...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu alikua anauwezo wa kumnyanyua Ng'ombe, Ni rahisi nitawafundisha. hata wewe unaweza ukiamua

    alichofanya ni hivi: alianza kumnyanyua ndama akiwa bado mdogo kabisa alivozaliwa, akawa anamnyanyua huyo ndama kilasiku. siku zilivyokua zinaenda ndama anazidi kukua. nayeye uwezo wake wa misuli unazidi kukua, alikua anamnyanyua kilasiku bula kukosa. baada ya muda ndama alikua na kufikia kua...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Teknolojia za Uundaji wa Programu: Native vs. HTML, CSS, na JavaScript ni ipi ni rahisi na ina ubora zaidi

    Native ni nini ? "Native" inamaanisha kwamba programu imeundwa kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mfumo maalum wa uendeshaji wa kifaa, kama vile Android au iOS, na hutumia lugha na zana za maendeleo za asili za mifumo hiyo. HTML, css, js ni nini ? HTML, CSS, na JavaScript ni teknolojia za...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukiiba Kitoweo jikoni ni rahisi kugundulika kuliko ukiiba mboga za majani au maharage?

    Tafakari ya kina
  18. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni rahisi sana kutabiri atakachozungumza Samia na Wazee wa Dar Dec 02

    1. Maridhiano 2. Ahadi ya Katiba Mpya. 3. Hadaa na ulaghai mwingi anaodhani utawafanya waTanzania wavumilie utawala wake mbovu Asichoweza kuzungumzia: 1. Mauaji ya waTanzania 2. kukiri na kujutia sababu za msingi zilizopelekea kutokea mauaji
  19. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara?

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara? Huu ni utafiti wangu tu TANZANIA KWANZA
  20. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuitwa mwanaume Ila ni ngumu kuwa mwanaume

    Neno mwanaume siyo suala la kuvaa vizuri na kufuga ndevu Neno mwanaume linamkataa yule ambae akiachwa na mpenzi wake anaigeukia pombe Neno mwanaume linamkataa yule ambae akifukuzwa kazi anaanza kutafuta wa kumlaumu Mwanaume ni yule ambae hata Kama hakuna njia anakwambia songa mbele Yule...
Back
Top Bottom