Tanga Pazuri Sana Sema Sijui kwa Nini Pako Vile

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
5,059
8,176
Salaam wote:

Tanga ni moja ya mikoa mizuri sana kuliko hata Arusha na Kilimanjaro iliyopo jirani na Tanga yenyewe. Nazungumzia hali ya hewa na mazingira masafi, Tanga wapenda usafi, nikisema Pazuri naamanisha Mazingira.

Watu wa kutokea Tanga ni wakarimu na wastaarabu kwani wengi wao ni waislamu na wanastaha sana.

Uzuri wa watu wa Tanga wanaishi vizuri sana amani tele vitendo vya mauaji ni nadra sana hii ni kwa jamii ya walio pale mjini, vile vile hata wa vijijini wapo vizuri kuliko hata mjini, hivyo huishi vizuri.

Watu wa Tanga ni wastaarabu na wameridhika, licha ya yote wengi wanaotoka Tanga kwenda dar es salaam wakirudi makwao Tanga hubadilika hivyo kuchukiza wenzao walio salia Tanga huja na tabia za ajabu ajabu kama wizi, ushoga, na ulevi wa pombe na madawa ya kulevya.

Tanga vyombo vya usafiri huendeshwa kistaarabu tofauti na mikoa mingine, ajali huwa ni nadra pia, madereva wa tanga wako makini.

Watu wa Tanga wanaotii dini sio watu wakupenda dhuluma kabisa.

Tanga pia kuna wakiristo wastaarabu sana na wapole sana, nilifurahi kusali kanisa la chumba geni pale Tanga, na kule sahare pia parokia ya Mashahidi wa Uganda kama sikukosea.

Mapishi ya Tanga hayaja wahi kuboa abadani, msosi wali nazi, wali nazi kweli, msosi samaki nazi samaki nazi kweli....

Kwenye swala la kuoa Tanga wacha kabisa watoto wamejaaliwa mashallah! yaani wafungishwa ndoa ya mkeka unapewa mwana kwa masharti ya kuishi naye kimaadili ya dini.

Mpaka sasa Tanzania nzima hakuna sehemu penye wanawake walio wazidi wanawake wa Tanga. Hii research nina uhakika nayo 100%% wanawake wa kitanga sifa ziende kwao, maua yao tuwape 😍😍😍🤩🤩

With All That bado Tanga pako na kasumba hizi ambazo zinafanya pawe pachungu kama shubiri.

1. Maendeleo Tanga hakuna. Ushirikishwaji wa chachu za kuindeleza tanga hakuna wadau hata wa nje ya tanga.

2. Watu wa Tanga wana kauvivu fulani cha kutokuwajibika kupambana na changamoto ndogo ndogo, mfano sio watu wa kupenda kufanya vitu vikubwa kama ujenzi, au kuwa na utegemezi yaani familia kubwa yakaa pamoja na mtegemezi ni mmoja au wawili kwa watu 8 au 10 ambao ni watu wazima.

3. Tanga ni wabinafsi kiasi kwa wageni yaani hupenda kujitenga hivyo hakuna mchanganyiko wa biashara wala muingiliano wa watu.

4. Tanga kwenye biashara ni 0% hawajui kuuza wala hawana bidii na mteja ni wakarimu kwa wenyewe lakini kwa mteja si wakarimu.

Nimetoka tanga 2017 pakiwa pako na hali hiyo ninayo sema ila kwa sasa sijui.
Hivi ni kwan nini Tanga pazuri vile ila pako na dosari ile.....????

Tanga wanaanza weekend ijumaa....alafu kuamka kwa mishe mishe kitaa ni saa 5 asubuhi na kufunga maduka yao ni saa 10 jioni isipokuwa barabara ya 9 pale na 10 ndiyo kidogo kuna biashara.

Ukiwahi kuamka Tanga hukuti duka lilo wazi yaani saa mbili kamili asubuhi maduka yamefungwa 😁😁😁

Nilisahahu kuwa Tanga mjini hapo machizi ni wengi sana....lakini mapaka kama yote. Nyau nyingi.
 
Mji wa watwana na mamwinyi huo yakheee
 
Tatizo ni tamaduni ya Uislam wa kale(kabla ya Uhuru). Sehemu yote ya pwani ya bahari ya Hindi kuanzia ghuba ya Aden, Mombasa, Tanga, Mtwara Hadi Sofala ilikaliwa sana na Waislam na kumepoa kiuchumi. Pia Angalia mikoa yenye Waislam wengi kama Tabora na Kigoma Kisha angalia Hali ya uchumi.

Tatizo ni kwamba Uislam wa kale ulijali Sana Maendeleo ya elimu ya dini ukilinganisha na Ukristo wa kabla ya Uhuru ambao ulijali elimu ya darasani, uchumi na Maendeleo ya Jamii.

Zamani Kila kulipofunguliwa Kanisa, kulifunguliwa shule au hospitali ukilinganisha na palipoanzishwa misikiti ambapo hakuna jipya zaidi ya matenki ya maji. At least sikuhizi wanafungua shule, zahanati na vyuo ambayo kiasili siyo utamaduni wa Uislam
 
Tatizo ni Uislam. Sehemuyote ya pwani ya bahari ya Hindi kuanzia ghuba ya Aden, Mombasa, Tanga, Mtwara Hadi Sofala kumejawa na Waislam na kumepoa kiuchumi. Pia Angalia mikoa yenye Waislam wengi kama Tabora na Kigoma Kisha angalia Hali ya uchumi.

Tatizo ni kwamba Uislam unajali Maendeleo ya elimu ya dini Kuliko elimu ya darasani, uchumi na Maendeleo ya Jamii.
Daaah hili nalo ni shida ingine
 
Back
Top Bottom